Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Wanataka sitting allowance aka posho. Ikiwa online itabidi wapewe online allowanceKwani haiwezekani kuendesha vikao vya Bunge online?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka sitting allowance aka posho. Ikiwa online itabidi wapewe online allowanceKwani haiwezekani kuendesha vikao vya Bunge online?
supika tu ajiangalie sana Corona ni mahiiri Kama Messi ndani ya 18 kwenye umaliziaji, haikukosi na haikupi nafasi ya kurudi India
Pia Houseparty etcZipo nyingi sana mkuu ZoomMetting,GoMeeting au Skype Meeting ni nzuri sana!!!
Wabunge wa Tanzania wengi ni wajinga sana jana pamoja na kwamba wanajifanya kusema bungeni hawajali kabisa jana nimekuta na mbunge eti anataka kunipa mkono yaani ananiamini kiasi gani mpaka anipe mkono.
Ndio nani huyo? Au MK254 ?
Naona watu wanajali posho zaoHabari kutoka Bungeni Kama ilivotolewa na Naibu Spika Tulia ya kwamba kuna Mbunge mmoja amepatikana na maambukizi ya Covid-19 zinasikitisha,zinatisha na zinanyong'onyesha katika mapambano dhidi ya Covid-19!
Kabla ya Bunge kuanza watu walishaingiliana Bunge liahirishwe kutokana na tishio la Covid-19. Lakini Spika Ndugai alikuja na hoja dhaifu za kuwa ATI Kuna mikakati imara itakayo wahakikishia Wabunge kuwa watakuwa salama wa salimini.
Hata baada ya Bunge kuanza Kuna Wabunge wa Upinzani kina Mh.Mbowe.Lema, Halima Mdee. Mch. Msigwa na Matiko WALISHAURI WABUNGE WAPIMWE KWANZA ILI KUJUA AFYA ZAO KABLA YA KUENDELEA NA KIKAO. Siku zote Wapinzani hata wakiwa na hoja yenye mashiko inawekwa kapuni.
Sasa Basi kwa Hali hii Mhe. Job Ndugai Spika wa Bunge la JMT na Tulia Ackson Naibu wa Spika mpigieni simu Rais Magufuli kumtaarifu kuwa maji yamezidi Unga na Ni LAZIMA BUNGE LIAHIRISHWE MARA MOJA NA WABUNGE WOTE WAPIMWE COVID-19 NA WAENDE QUARANTINE YA SIKU 14.
Nje ya hapo ni kutaka kuliangamiza Taifa kwa UZEMBE ulio wazi na dhahiri na kwa hili CCM mtawajibika mbele za Mungu na Watanzania wote.
Nawasilisha.
au hivyo vikao vyao viwe sehemu ya karantiniUjumbe wake huu hapa chini kupitia twitter:
Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs and for the people. Wabunge watengwe, wapimwe na wafuatiliwe. Tulishauri toka mwanzo kuwa Bunge lisiendelee na vikao. Ni hatari
Hivi Mdee si alishauri wabunge wote wapimwe,wazo halikutekelezwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wewe hauko katika science field and how it is done. Gates hakuna anachokifaya related to vaccines bila kibali cha WHO and standard protocols za WHO! Ni wahuni wa mitaani USA ndio wanafanya petition hiyo!
Wana hiyo technolojia?Kwani haiwezekani kuendesha vikao vya Bunge online?