nyembela
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 413
- 525
Kwani Ile michango tulioambiwa imechangwa nawasamalia wema wamesema inakwenda wapi? Maana madawa hayapulizwi mitaani vipimo bado sampuli zinapelekwa sehemu moja tu kwanchi nzima, Hali nitete
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli serikali yetu si sikivu. Kinachonishangaza, hata Hawa tunaowatumainia "viongoz wa vyama shindani" wameshindwa kutoa mapendekezo, ya kudonate walau posho za vikao vya Bunge, ili fedha hizo zije kusaidia frontliners kwenye mapambano haya. Wafanyakazi wengi wa afya wameambukizwa kwa sababu ya kukosa PPE. Serikali inakusanya mabilioni kila siku, lkn hazionekani zinafanya nn.mh Zitto liangalie hili, mtusaidie. We are dying.
Sent using Jamii Forums mobile app