Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa yanatimiaUjumbe wake huu hapa chini kupitia twitter:
Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs and for the people. Wabunge watengwe, wapimwe na wafuatiliwe. Tulishauri toka mwanzo kuwa Bunge lisiendelee na vikao. Ni hatari
Hao marehemu wanaotembea kazi yao kuchekesha bungeni sio kuwatetea wananchiHuyo ni mpinzani pointi zake zaonekana pumba, angeshauri Lusinde, Mlinga au Msukuma angesikilizwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo no hazina ya ccmHao marehemu wanaotembea kazi yao kuchekesha bungeni sio kuwatetea wananchi
Hatari sana sana...
Habari kutoka Bungeni Kama ilivotolewa na Naibu Spika Tulia ya kwamba kuna Mbunge mmoja amepatikana na maambukizi ya Covid-19 zinasikitisha,zinatisha na zinanyong'onyesha katika mapambano dhidi ya Covid-19!
Kabla ya Bunge kuanza watu walishauri Bunge liahirishwe kutokana na tishio la Covid-19. Lakini Spika Ndugai alikuja na hoja dhaifu za kuwa ATI Kuna mikakati imara itakayo wahakikishia Wabunge kuwa watakuwa salama wa salimini ndani ya mjengo!
Hata baada ya Bunge kuanza Kuna Wabunge wa Upinzani kina Mh.Mbowe.Lema, Halima Mdee. Mch. Msigwa na Matiko WALISHAURI WABUNGE WAPIMWE KWANZA ILI KUJUA AFYA ZAO KABLA YA KUENDELEA NA KIKAO. Siku zote Wapinzani hata wakiwa na hoja yenye mashiko inawekwa kapuni!!
Sasa basi kwa Hali hii Mhe. Job Ndugai Spika wa Bunge la JMT na Tulia Ackson Naibu wa Spika mpigieni simu Rais Magufuli kumtaarifu kuwa maji yamezidi Unga na Ni LAZIMA BUNGE LIAHIRISHWE MARA MOJA NA WABUNGE WOTE WAPIMWE COVID-19 NA WAENDE QUARANTINE YA SIKU 14.
Nje ya hapo ni kutaka kuliangamiza Taifa kwa UZEMBE ulio wazi na dhahiri na kwa hili CCM mtawajibika mbele za Mungu na Watanzania wote.
Nawasilisha.
Kama chama nichake alianzisha yeye si kwamanufaa yawanchi hatukitaki huo ni dalili za udkiteta chama ambacho nichaukombozi kwa wananchi waachiwe wananchi watoe mawazo yaoUjumbe wake huu hapa chini kupitia twitter:
Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs and for the people. Wabunge watengwe, wapimwe na wafuatiliwe. Tulishauri toka mwanzo kuwa Bunge lisiendelee na vikao. Ni hatari
Inasemekana Chadema walifurahia sana kusikia hivi, je ni kweli?Kwenye vitabu vya dini tunasoma kwamba KWA MASHAHIDI, 2 AU 3 NENO LA MUNGU NA LITHIBITISHWE.
1. Mhe.Getruda Lwakatare(MB)...R.I.P.
2. Mhe. Richard Ndassa(MB).....R.I.P.
3. Mhe. Stephen Mahiga(MB).......R.I.P.
Hawa ni Wabunge 3 ndani ya wiki takriban mbili wamefariki 2 wakiwa Bungeni Dodoma na 1 akifia nyumbani baada ya kuhudumia vikao vya Bunge.
Kama hazitachukuliwa hatua za KUSITISHA BUNGE HARAKA basi Watz wategemee misiba zaidi....![emoji24][emoji24]