Zitto ataka wabunge wote walioko Dodoma wawekwe kwenye karantini

Waendelee kupiga kazi, Rais amesema yuko bega kwa bega na wafanyakazi wote, wakati dunia inaendelea kutaabika na janga la corona, sisi kila mmoja apige kazi
 
Sasa yanatimia
 

Kwenye vitabu vya dini tunasoma kwamba KWA MASHAHIDI, 2 AU 3 NENO LA MUNGU NA LITHIBITISHWE.
1. Mhe.Getruda Lwakatare(MB)...R.I.P.
2. Mhe. Richard Ndassa(MB).....R.I.P.
3. Mhe. Stephen Mahiga(MB).......R.I.P.

Hawa ni Wabunge 3 ndani ya wiki takriban mbili wamefariki 2 wakiwa Bungeni Dodoma na 1 akifia nyumbani baada ya kuhudumia vikao vya Bunge.

Kama hazitachukuliwa hatua za KUSITISHA BUNGE HARAKA basi Watz wategemee misiba zaidi....!😭😭
 
Kama chama nichake alianzisha yeye si kwamanufaa yawanchi hatukitaki huo ni dalili za udkiteta chama ambacho nichaukombozi kwa wananchi waachiwe wananchi watoe mawazo yao
 
Inasemekana Chadema walifurahia sana kusikia hivi, je ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…