SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ndiyo maana yule bamkwe wake alimsomea hukumu ya kifo bungeniZitto hataki kukosolewa ila yuko mstari wa mbele kukosoa wenzake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana yule bamkwe wake alimsomea hukumu ya kifo bungeniZitto hataki kukosolewa ila yuko mstari wa mbele kukosoa wenzake
Zitto yupo sahihi, asiyetaka aanzishe chama chake.Nimeshangazwa na majibu ya mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe aliyoyatoa kwenye mtandao wa twitter...
Kwa hiyo kwa akili yako finyu ya matope unataka kuaminisha watu kuwa Zitto ameongwa dola bil 10? Bwege na kubwa jinga,yaani bil 10 apewe mtu kisa SUK!Acha ubwege wewe hiyo pesa dola milion 5 kwa Serikali ni pesa ndogo mno,kwako wewe usiyejielewa utaiona kubwa , wenzako akina Zito wanatamani waongezewe, najua thamani ya hizo bilion kuliko wewe na kwa taarifa yako bila Zito kupewa pesa kama hizo wasingekubali Serikali ya mseto kamwe
Kwani wewe hujui kuwa vyama vya upinzani ni Saccos za watu walizozianzisha saccos hizo??!!
Nyie wafia vyama na itikadi mitandaoni ndo mnaowakatisha tamaa wanaodai kuwapigania, wanapo amua kuachana na nyie na kustick kwenye ya kwao mnageuza karata kuwa wamenunuliwa! Hivi kuna fikra za kitoto zaidi ya hizi?Ni bilion 10 tu, kwa mfano yeye akiweka kibindoni bilion 2, halafu nane zilizobaki akawagawia genge lake ili wamuunge mkono watulie wewe huoni kuwa inawezekana kabisa?
Jiwe anafahamika kuwa ni mwepesi wa kupenyeza rupia ili kutuliza upinzani mkali mfano mmojawapo ni jinsi alivyomtuliza Mange kwa mpunga mrefu
Swali gani hili? Yaani Ccm ilivyo unataka kulinganisha na chama cha Mbowe na Zitto!Ccm haikuanzishwa na watu?
Swali gani hili? Yaani Ccm ilivyo unataka kulinganisha na chama cha Mbowe na Zitto!
Nyie wafia vyama na itikadi mitandaoni ndo mnaowakatisha tamaa wanaodai kuwapigania, wanapo amua kuachana na nyie na kustick kwenye ya kwao mnageuza karata kuwa wamenunuliwa! Hivi kuna fikra za kitoto zaidi ya hizi?
Mange aliwahamasisha muingie barabarani kufikisha ujumbe mliokuwa nao ila hakuna kamanda hata mmoja alitekeleza tofauti kabisa na mlivokuwa wa moto mitandaoni. Same goes kwa Zitto na Lissu, hakuna kamanda hata mmoja aliewaunga mkono kwenye maandamano. Wanapogundua kuwa tunawapigania wanafiki wakaamua kufanya lililo sahihi kwao mnaanza kuwa label.. Tuacheni kuhamisha magori, tuanze kuwa responsible asee.
"Asiyemtaka Lowassa ni mchawi, aondoke CHADEMA” - Mbowe, July 2015.
Wazuri sana kwa excuse, haya yote hua mnakuja nayo baada ya kushindwa kutokea. Mnachokisema saizi ni tofauti na misimamo mnayokuwa nayo mitandaoni. As time goes kila mmoja atajutia muda wake na nguvu kuwapigania makamanda.Mange Kimambi alihimiza maandamano akiwa nje ya nchi, bila kutaja wapi watu wataanzia na kukutana, na badala ya kufika hapo nani atakuwa kinara wa hayo maandamano. Hilo moja...
Tuanzishe Struggle for Tanzania Democratic Party.Kuna nyumbu wachache, kazi yao ni kuonyesha kuwa wako frustrated kwenye mitandao tu(wanafiki). Wakati ambapo vyama vya upinzani vilihitaji msaada kutoka kwa wananchi hakuna aliejitokeza, halafu Sasa hivi ndio yanajifanya kuwa na uchingu Sana na Taifa...
Tweet haina tatizo ni nzuri. Zitto kushauri mtu ambaye anaona vyama vilivyopo havikidhi taste yake aanzishe chama chake mbona ni sawa tu. Unachojaribu kufanya hapa ni kumjengea chuki Zitto kwa uamuzi uliochukuliwa na chama chake kidemokrasia.Nimeshtushwa sana naingia tweeter nakuta hii tweet ya Zitto Kabwe. Sikutegemea kama angeweza kuandika kitu kama hichi...
Mnamkwida nani?strangle
Tweet haina tatizo ni nzuri. Zitto kushauri mtu ambaye anaona vyama vilivyopo havikidhi taste yake aanzishe chama chake mbona ni sawa tu. Unachojaribu kufanya hapa ni kumjengea chuki Zitto kwa uamuzi uliochukuliwa na chama chake kidemokrasia.
Toka kwenye keyboard ufanye siasa
Watu humu hawakukosea hata kidogo kumuita Ayatollah. Chama ni chama chake hata anapokosea hataki kukosolewa na kuja na majibu ya hovyo kama hilo aliloandika hapo juu. Sijui kama atakuja kujirekebisha huyu na kuangalia big picture to think outside the box. Umimi umemtawala sana huyo.