Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Kwani angekaa kimya angepungukiwa nini?Wanasiasa wanategemea siasa kuishi,sasa kama eisitii wamepata nafasi sidhani kama wangekataa,ndiyo maana da Halima aliona waende tu bungeni na wenzake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani angekaa kimya angepungukiwa nini?Wanasiasa wanategemea siasa kuishi,sasa kama eisitii wamepata nafasi sidhani kama wangekataa,ndiyo maana da Halima aliona waende tu bungeni na wenzake
Siasa siasani"Asiyemtaka Lowassa ni mchawi, aondoke CHADEMA” - Mbowe, July 2015.
Hizo kauli mbona kawaida tu.....Mbowe aliwahi kusema 2015,anayempinga Lowasa ni mchawi......mwanasiasa anajihami tuKwani angekaa kimya angepungukiwa nini?
Huwezi ona ni mbaya kama wewe ni mwana ACT mfia chama!! Binadamu huwa tunapenda vyetu banaTweet haina tatizo ni nzuri. Zitto kushauri mtu ambaye anaona vyama vilivyopo havikidhi taste yake aanzishe chama chake mbona ni sawa tu. Unachojaribu kufanya hapa ni kumjengea chuki Zitto kwa uamuzi uliochukuliwa na chama chake kidemokrasia.
Toka kwenye keyboard ufanye siasa practically.
Usinilazimishe kuwa CHADEMA, yaani kuliona alilofanya Zitto ni mpaka uwe Chadema?Kwanini CHADEMA mnaumia sana na mambo ya ACT?
Wakati anasema atampigia kula tutundulisu mlimwita shujaaa. Ila Leo kwakuwa amegoma kutengeneza kiki yakusema anatishiwa ili akaishi ugaibuni kama hiyo michezo mnayocheza kwenye kikundi chenu, leo hiii unamwita msaliti. Huuu ndo mwisho wa kiki na maigizo yenuuWatu humu hawakukosea hata kidogo kumuita Ayatollah. Chama ni chama chake hata anapokosea hataki kukosolewa na kuja na majibu ya hovyo kama hilo aliloandika hapo juu. Sijui kama atakuja kujirekebisha huyu na kuangalia big picture to think outside the box. Umimi umemtawala sana huyo.
Wanasiasa wanategemea siasa kuishi,sasa kama eisitii wamepata nafasi sidhani kama wangekataa,ndiyo maana da Halima aliona waende tu bungeni na wenzake
Swadakta, Umesema vyema kabisa. Mfano mzuri ni mwasiasa mashuhuri wa ACT- Maganga alijiondoa chama hicho baada ya kuona Zitto hafai. Akajiunga na chama kingine, sijui kama kafanya makubwa sana huko ili kutimiza matakwa yao dhikdi ya chama tawala.Tweet haina tatizo ni nzuri. Zitto kushauri mtu ambaye anaona vyama vilivyopo havikidhi taste yake aanzishe chama chake mbona ni sawa tu. Unachojaribu kufanya hapa ni kumjengea chuki Zitto kwa uamuzi uliochukuliwa na chama chake kidemokrasia.
Toka kwenye keyboard ufanye siasa practically.
Kwanini chadema mnaumia sana na mambo ya ACT?
Vipi kuhusu Chadema ni mali ya umma?Nimeshtushwa sana naingia tweeter nakuta hii tweet ya Zitto Kabwe. Sikutegemea kama angeweza kuandika kitu kama hichi...
CCM siyo Saccos bali Chama cha Siasa Cha Wanachama tofauti na Vyama vya Upinzani ambavyo ni mali na watu siyo vya wanachama.
Kila mtu anategemea kazi yake kuishi. Mwalimu anategemea ualimu kuishi, mhandisi anategemea uhandisi, mkulima anategemea kilimo, mwanasiasa anategemea siasa, wewe unategeme uchikwuemeka na kadhalika. Ndiyo dunia inatutaka tuishi, tupate chakula kwa jasho letu kwa kufanya kazi. Siasa ni kazi kama kazi zingine.Wanasiasa wanategemea siasa kuishi,sasa kama eisitii wamepata nafasi sidhani kama wangekataa,ndiyo maana da Halima aliona waende tu bungeni na wenzake
Kuwa chama cha pili cha upinzani ni pigo kubwa kwa chadema.Kwanini chadema mnaumia sana na mambo ya ACT?
Eeenh Heee, ameiga tu huyo; kwani wewe huoni kile chama kubwa ilivyofanywa kuwa mali ya mtu? Ni nani anafurukuta mbele ya mwenye chama!Nimeshtushwa sana naingia tweeter nakuta hii tweet ya Zitto Kabwe. Sikutegemea kama angeweza kuandika kitu kama hichi.
View attachment 1649184
Kwa mazingira haya, ni wazi kwamba Zitto anaichukulia ACT kama mali yake binafsi kama nyumba na gari lake, na ana uwezo wa kuamua na kufanya chochote bila kuingiliwa.
Binafsi nawaonea sana huruma wale wanajitia ACT kindakindaki. Wanamshutumu bure Mbowe, sijawahi ona ka tweet pumba kiasi hiki.
Kuna siku mtashangaa ACT imekuwa registered kama Chattle ya kuombea mkopo benki... Maana ni mali ya mtu binafsi.