Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'



Mkuu naona huelewi principal za uchumi za kibeberu dhidi ya Afrika…endelea tu kuomba Mungu apatikane JPM mwingine…bila hivyo utaumiza kichwa sana
 
Zitto anaweza kuwa rais mzuri mara 100 zaidi ya jiwe.
Mungu ana njia zake za kutuonesha watu sahihi wa kuongoza Taifa letu.

You can imagine mtu wa aina hii ndio angekuwa Rais.

Si angejenga misikiti nchi nzima.
 
Hivi huyo aliyeandika hivyo ni amesoma chuo gani kwanini asinyang'anywe vyeti. Kauli kama hiyo hawezi ongea mtu msomi. Kwanini uwaze hivyo mtu msomi. Mtu anayeweza makabila na dini akilini mwake ni poor minded kabisa.
Kageuka popoma wa dini, siku hizi hata Serikali ipuyange vipi kukosoa ni nadra sana.
 
Siku zote inferiority complex waga inawasumbua, wanashika madaraka lakini bado wasiwasi unatawala akilini mwao.
 
Kama kweli ni zito kaandika hivyo basi watu makini wanaisha na kupukutika kwa kasi sana.
Na yeye kaandika si ana maslahi na utawala uliopo, atafanyaje tena, lazima aandike mambo ya namna hiyo
 
Wewe naye una matatizo siyo bure, tafuta Nyuzi za kumkosoa Hayati Magufuli humu zimejaa, tena waliokosoa wengi ni wagalatia wenzake.
 
Huyu karogwa sio bure, huwezi kufilisika kisiasa kiasi hiki.
 
kajiua mwenyewe kwa ushamba wake ,wenzie walikuwa wanachukua tahadhali,yeye alivyo kichwa maji akajifanya mwamba kuivimbia Covid19 hili apate sifa
Wazungu waliokufa kwa korona na madaktari waliokufa kwa korona wao ilikuwa vipi ni washamba
 
Inawezekana kuna ukweli hapa.
 
Zitto yupo kimkakati, yaani anachofanya ni kuwarushia ndoano mhangaike nayo as amefanya.

Hiyo ni njia ya kutafuta wapiga kura wajinga wasio na uelewa, watakaosema kumbe wakristo wanatuchukia ngoja niungane na muislam mwenzangu!.
Siasa hizi hazijawahi kumuacha mtu salama
 
Achana upumbavu wako! Kikwete hakuna watu? Dr Mvungi,Maandishi mwangosi? Dr Ulimboka alitekwa vipi Raise alikuwa mkristo? Ufisadi kila kona ya nchi chini ya Kikwete hukuuona! Hata huyu bibi yako Kafanya lipi la maana kila kitu kinapanda bei anasingizia Ukraine!
 
Sidhani kama Zitto anaweza kuandika hivyo! lkn kama ni yy kweli basi ujinga wake utakuwa uma-martipply Zitto ashindwe kuandika ujinga kwa akili gani aliyo nayo! Yule anaumwa wadudu wako kichwani tayari ARV zimeishiwa nguvu tegemea maajabu zaidi!
 
Tuwaulize nyie wakristo, kinachofanya mtake hii Nchi waongoze wakristo tu Ni kitu gani haswa? Ilhali kiongozi akiwa mkristo Hadi mauaji yanaongezeka,na pia wanatawala kwa mkono wa chuma!
Mimi sio mkristu.. Sina dini maana dini zote Afrika zimekuja kututesa Waarabu walituchukua utumwani na wazungu walitufanya watumwa nchini kwetu na bado wanasema mambo ya miungu yao muhimu
 
Zito kamkosoa magufuli, na bado anaendelea Hadi kwenye umauti wake, lakini hakuna aliemuita zito mdini.
Leo watu kuhoji juu ya rasilimali zao, kisa tu anaehojiwa ni dini moja na zito ndio anaitwa mdini.
Hivi huyu jamaa kumbe ni mtupu hivi, alifikaje hapo alipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…