Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

Hata mimi naona hivyo pia, Sioni afya ya nchi hii ikiongozwa na waislamu japo mimi ni muislamu. Siwapendi warabu hata kidogo. Ni wanafiki mno kama sisi wafrika.
Very true mm baba ni muislamu mama ni mkristo ....ni ukweli waislumu kuongoza nchi wanaturudisha nyuma kila mara tazama maraisi wakristo tz na waislum tz hakuna mzalendo hata mmoja katika marais wa tz waislamu wote wanasujudia mabeberu na waarabu
 
Ukweli uko wazi, mama wanamchukia kutokana na DINI, UZANZIBAR na UWANAMKE wake.

Liko wazi, Juzi hapa imepigwa picha ametoka msikitini ijumaa, watu wameongea as if haruhusiwi kuswali.

Tumeona hapa Magufuli kila Jpili kanisani anahutubia kabisa na kutumbua watu akiwa kanisani.

Be fair, nchi ya watu wote, TANGANYIKA na ZANZIBAR.
Una element za udini.
 
LOOooh, huyu bwana mbona kaharibikiwa kiasi hiki sasa!

Dini itahusika vipi katika jambo hili la wanyama, na isiwe kwa jambo jingine ambalo pengine lingekuwa na mashaka kidogo juu yake?

Kabwe anategemea kufika wapi katika siasa na mawazo kama haya!

How low can he get than this?
Huyo kapata laana ya JPM na laana ya JPM ndiyo hii kuwa chukia watz na tz kwa sababu ya kumchukia JPM ni kama laana aliyo nayo NAPE
 
Tukumbuke Huyu Zitto amewahi kuunda kundi la ",kigoma all stars" na kuchanganya ukanda,watu walikemea Hilo jambo,sasa kahamia kwenye Udini.
 
Siku hizi JF of GT's imejaa midomo ya bata, watu wanapayukapayuka hovyohovyo dhidi ya wenzao ili mradi waonekane ni wazalendo.
 
Ukweli uko wazi, mama wanamchukia kutokana na DINI, UZANZIBAR na UWANAMKE wake.

Liko wazi, Juzi hapa imepigwa picha ametoka msikitini ijumaa, watu wameongea as if haruhusiwi kuswali.

Tumeona hapa Magufuli kila Jpili kanisani anahutubia kabisa na kutumbua watu akiwa kanisani.

Be fair, nchi ya watu wote, TANGANYIKA na ZANZIBAR.
Mama anachukiwa hata na waislamu kwa sababu anasujudia mabeberu tena hao mabeberu ni wakristo tofauti kabisa na jpm ...jpm alikuwa anapingana na mabeberu ya kikristo madini yetu yaliyo kamatwa bandarini yalikuwa chini ya mabeberu wa kikristo na kama kuna watu walimchukia Magufuli sana ni mabeberu wakristo na JPM alipendwa na mataifa mengi yenye waislamu kuanzia somalia ,nigeria , nk hivyo usitufanye sisi wajinga. Sa 100 ana chukiwa kwa upumbavu wake mwenyewe ....mwanamke mpumbavu uvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe..
 
Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake.

Kwamba waliokosoa wanaichukia Serikali kwa sababu inaongozwa na Rais Samia ambaye ni Mwislam, kwahiyo anaona watu kuhoji wamekosa uvumilivu wa dini.

Zitto ni mdini sana hafai kuongoza nchi hii hata siku moja.

Zitto kabwe

View attachment 2251667
Huu wa zito nao ni upuuzi tuu..

Sidhani hoja kama ni wanyama kuuzwa bali je kuna sababu za kufanya hivyo?

Udini unaingiaje?

Tzn na Africa mambo ya udini na ukabila yana nguvu kuliko akili za watu.
 
Umejadili UPUUZI na wewe ukaandika HOJA YA KIPUUZI ZAIDI! Acheni upuuzi wenu wa UDINI. Mwalimu Nyerere alijenga Taifa la Tanzania siyo Dola ya Sharia wala Amri kumi za Mungu. Msiwaingize viongozi wakuu wa nchi au Serikali zetu ktk upuuzi wenu.[emoji120][emoji120][emoji120]
Nijibu kwanini jpm alichukiwa na mabeberu ya kikristo hapo utajua kwanini waislamu wengi wa tz na nchi nyingine walimpenda JPM
 
Kama kweli kaandika yeye ajitathimini kama kweli ni mwana halisi wa nchii au anatumika.

Asitugawe.
 
Umejadili UPUUZI na wewe ukaandika HOJA YA KIPUUZI ZAIDI! Acheni upuuzi wenu wa UDINI. Mwalimu Nyerere alijenga Taifa la Tanzania siyo Dola ya Sharia wala Amri kumi za Mungu. Msiwaingize viongozi wakuu wa nchi au Serikali zetu ktk upuuzi wenu.[emoji120][emoji120][emoji120]
Tz tunataka rais MZALENDO SIYO HABARI ZA UISLAMU AU UKRISTO ..Jpm alipendwa hadi na waislamu kwa sababu ya uzalendo na alichukiwa hadi na wakristo kwa sababu ya uzalendo. Rais wa hivyo ndiye tuna mtaka
 
Zitto yupo kimkakati, yaani anachofanya ni kuwarushia ndoano mhangaike nayo as amefanya.

Hiyo ni njia ya kutafuta wapiga kura wajinga wasio na uelewa, watakaosema kumbe wakristo wanatuchukia ngoja niungane na muislam mwenzangu!.
 
Iyo ni propaganda hata kama zitto simwelewi hawezi kusema uchafu huo acheni kusingizia watu
mbona unamsaidia kukanusha kwani yeye hana mdono?mbona kutwa anashinda humu ndani!tunaomjua zitto tumenyamaza na wasiomjua ndo wanapanua midomo.inawezekana pia JPM alikuwa muislamu!
 
Jifunzeni kuthibitisha habari kabla ya ku accuse watu hasa nyakati hizi za Prooaganda

rudi kapitia hizi conversation kwa kutuliza akili utajua mjadala ulianza wapi hadi ukamfikia John Mrema ukaenda ukarudi
Zito Huwa ana akili kubwa mno lkn sipendi kuamini huu utopolo kausema ni mtu mwerevu anayechagua aseme nini unless amerukwa akili
 
Huyo mzito kabwela aje akanushe hapa, vinginevyo itaeleweka moja kwa moja kwamba yeye ndo katapika hii shudu...
 
Kwamba Twiga ni Wakristu, walutheri , wakatoliki, waislamu, wapentekoste?
Yani kuna vitu vinasikitisha kwa hasira.
 
Back
Top Bottom