Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake.

Kwamba waliokosoa wanaichukia Serikali kwa sababu inaongozwa na Rais Samia ambaye ni Mwislam, kwahiyo anaona watu kuhoji wamekosa uvumilivu wa dini.

Zitto ni mdini sana hafai kuongoza nchi hii hata siku moja.

Zitto kabwe

View attachment 2251667
Huu ni ushahidi kwanini tz inakwenda hatua 5 mbele na kurudi hatua 10 nyuma ni mtindo wa awamu wa urais kutoka waislamu na wakristo ...wakristo wanajitaidi kuwa wazalendo waislamu wao kwao uzalendo ni Maviii .....na huo ni ukweli kamili . Maraisi waislamu wamekua wapuuzi sana kwa kusujudia wazungu na waarabu pamoja na wahindi hadi tumefikia hapa tulipo sasa tunateseka wote waislam na wakristo na wasio na dini wote tunaumizwa na hawa viongozi hiyo dini ....huo ni ukweli kamili .....kwa sasa wananchi tujue CCM YOTE HIPO MIKONONI MWA WAHUNI WACHACHE WA KIARABU NDIYO MAANA TUNAONA MAAMUZI YA AJABU NA TETESI ZA MAAMUZI YA AJABU .
 
Tuliiva chungu kimoja tangu enzi na enzi hatuwezi kuja kutenganishwa na baadhi ya vijana uchwara wasiojitambua !! After all hizi dini zililetwa na wageni tu kutoka nje!! Walipokuja waliwakuta wenyeji wanaabudu vile walivyokuwa wanaviamini na maisha yalikuwa yanaenda !! Ukraine na Russia ni dini moja lakini wanadundana kama lote !! Tafakari chukua hatua !!

Muslims wote/wengi at some point watataka kuishi kwenye nchi inayofwata sharia, hata kama hawasemi sasa hivi ni swala la muda tu na inakuja, isitoshe watu parasitic na kama Zito Kabwe wanaona uislamu ni karata ambayo akiicheza vizuri inaweza kuwafikisha mbali kisiasa vinginevyo hawachaguliki popote, hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza mpigia kura Zito Kabwe, hivyo njia pekee ni kutumia Uislamu kama alivyofanya Lipumba na cuf.

Hivyo solution ni Partition tu hakuna jinsi!
 
HUYU NDIYE MWENYE HISA NYINGI NDANI YA CHAMA CHA CCM NDIYE MMILIKI WA HICHO CHAMA UKISIKIA NCHI KUUZWA KUNAANZIAGA KWENYE CHAMA TAWALA
Screenshot_20220606-080252_Google.jpg
Screenshot_20220606-080005_Google.jpg
 
Zitto ni msomi? Kati ya wasomi unaweza mtaja Zitto?
Zitto ni hooligan tu, hana maana, jinsi alimtukana the Late Magufuli matusi makubwa eti wanaompenda wakazikwe nae Chato, ile kauli ilitosha kumkamata na kumfungulia mashtaka na kumfunga, mbona yeye Zitto Mama yake alivyokufa hakuzikwa nae?

Nisikilizeni kwa makini, Zitto ukiacha udini, ni mnafiki na kinyonga sana kwa kila kitu, subirini Mama Samia amalize muda wake, Zitto atamtolea maneno ya hovyo hamtaamini, sbb tabia ya mtu haijifichi. Zitto is arrogant naturally, i think sbb ya kabila lake.

Unaweza kuwa sawa lakini tusiende sana kwenye kabila, itakua ni matatizo yake binafsi. Huyu jamaa kasoma ila hajaelimika. Si naambiwa alikua akifundisha chuo kabla aingie kwenye siasa rasmi?
 
Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake.

Kwamba waliokosoa wanaichukia Serikali kwa sababu inaongozwa na Rais Samia ambaye ni Mwislam, kwahiyo anaona watu kuhoji wamekosa uvumilivu wa dini.

Zitto ni mdini sana hafai kuongoza nchi hii hata siku moja.

Zitto kabwe

View attachment 2251667
Huyu ni spin doctor tu,Hana jipya,sasa hv anaupiga mwingi.
Sasa hv kwavile Raisi ni Islam,mwanamke,mzenj,hayo makundi sasa hv yatazika vichwa ardhini kama hayaoni madudu yanayoendelea.
Mwinyi,Kikwete waliuza Loliondo kwa waarab,story ilipovuja,wakamuua Stanslaus Katabaro,mwandishi wa habari!!wasiojurikana walikuwepo tangu enzi za mwinyi
 
Hapo sasa, hapa kuna kitu.
Watu msicho kijua kuhusu sa100 ndiyo mnapata tabu samia anafundishwa na Rostam Azizi jinsi ya kutuliza mambo kifisadi sasa hivi mama ana mwaga pesa kila panapo onyesha kusimama dhidi yake ....kama mtakumbuka mbowe aliulizwa swali tata sana ila kwa sisi wenye akili tunajua maana ya lile swali " kwani wewe mbowe unstaka nini upewe utulie" ilo ndiyo swali lenyewe.
KWA KIFUPI SA 100 MTOA ASALI, ILI KUVUNJA VUNJA NGOME NA HATA MZOZO WA CHAMA CHA MBATIA SA100 KAMWAGA ASALI ILI KUTOKEE USALITI
 
Naona ameifuta hii tweet
Kachelewa tayari imesha tufikia na copy tunayo sema tz hakuna wanasiasa wenye uweredi wanao hifadhi kumbukumbu muhimu kama hizi ...ni muhimu kuweka kumbukumbu za upuuzi wa viongozi kama wabunge na wengineo kama karata ya kuwapiga wakati wa kampeni
 
Yaani Zitto anaandika upuuzi kama huu??? Kikwete alikuwa anapingwa na kina Lipumba, Zitto mwenyewe,na idadi kubwa ya watz waliwaunga mkono,na woote ni waislamu,na watz waliwaunga mkono bila kujali itikadi za dini zao,Leo anakera ujinga!
 
Mimi ni mkristo na kuna mambo samiah amefanya vizuri sana anastahili pongezi.

Lakini hili la kusafirisha wanyama hai nitalipinga sio kwasababu yeye ni muislamu,au kwakuwa yeye ni mzanzibar au kisa yeye ni mwanamke!!!..arooo!!!

Wanyama ni rasilimali ya taifa ,nyara za taifa ,urithi wa taifa hili,pride ya taifa hili.

Mkiwauza huko nje wakawekwa kwenye zoo zao watakuja huku kufanya nini sasa !?

Kuna mambo tuwe tunafikiria basi

Kama wamejazana huko porini hadi kuingia makazi ya watu wachinjeni tuuzieni mimi sijawahi kula nyama ya swala au nyati tangu nizaliwe hio fursa nitaichangamkia haraka sana (demand &supply).

Kama hawaliwi wavuneni ngozi,kwato,sumu muuze kama products tupate hizo hela.

Acheni mambo ya kijinga
 
Duu, I do not believe Zitto could come up with this rhetoric, Kweli unapokosa hoja kimbilio limekuwa dini. Zitto you can not come this low. Wale aliopewa Loliondo na Mzee Mwinyi wameanzisha mbuga fake tayari Uarabuni kwako Zitto hili ni udini? Tusitoe ruhusa kusafirisha wanyama hai kabisa hata kama ni nani.
 
Yaani kaandika kwa jazba na hasira kweli kweli. Sielewi Zitto anashida gani siku hizi.
Zitto ana chuki na watanzania kuliko magufuli kwa kuwa ana chuki ndani yake kwa kuwa anachukia kwanini watz tulimpenda JPM na ili tatizo la zitto wanalo viongozi baadhi ndani ya ccm na serikalini kama NAPE HATA SA100 ANALO ILO TATIZO CHUKI YA YAO KWA JPM IMEWAFANYA KUWACHUKIA WANANCHI HATA KILICHO WAKUTA WAMACHINGA NI CHUKI YA SA100 KWA JPM
 
Huu ni ushahidi kwanini tz inakwenda hatua 5 mbele na kurudi hatua 10 nyuma ni mtindo wa awamu wa urais kutoka waislamu na wakristo ...wakristo wanajitaidi kuwa wazalendo waislamu wao kwao uzalendo ni Maviii .....na huo ni ukweli kamili . Maraisi waislamu wamekua wapuuzi sana kwa kusujudia wazungu na waarabu pamoja na wahindi hadi tumefikia hapa tulipo sasa tunateseka wote waislam na wakristo na wasio na dini wote tunaumizwa na hawa viongozi hiyo dini ....huo ni ukweli kamili .....kwa sasa wananchi tujue CCM YOTE HIPO MIKONONI MWA WAHUNI WACHACHE WA KIARABU NDIYO MAANA TUNAONA MAAMUZI YA AJABU NA TETESI ZA MAAMUZI YA AJABU .

Umejadili UPUUZI na wewe ukaandika HOJA YA KIPUUZI ZAIDI! Acheni upuuzi wenu wa UDINI. Mwalimu Nyerere alijenga Taifa la Tanzania siyo Dola ya Sharia wala Amri kumi za Mungu. Msiwaingize viongozi wakuu wa nchi au Serikali zetu ktk upuuzi wenu.🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom