Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sahivi kahakikishwa ajira ya miaka 9 kikosi kazi kukusanya maoniKikwete ni muislam lakini alikua anakosolewa mpaka kudhalilishwa Zitto alikua wapi kumtetea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahivi kahakikishwa ajira ya miaka 9 kikosi kazi kukusanya maoniKikwete ni muislam lakini alikua anakosolewa mpaka kudhalilishwa Zitto alikua wapi kumtetea?
Ni mbovu sn hafai amejaa udini tupuAsivyo na aibu sitashangaa akaibika kusema Kuna namna imefanywa kwenye account yake au akakanisha kwamba ameeleweka vibaya. Ni Mzee wa kupima upepo sana
Hawa watu ndio wakifanya Magu aonekane shujaa Kwa misimamo hata kama anakosea. Ni hatari sana kuwa na watu wa namna hii wanajitanabaisha kuwa wanapigana maslahi ya umma/ wananchi.
Tuwaulize nyie wakristo, kinachofanya mtake hii Nchi waongoze wakristo tu Ni kitu gani haswa? Ilhali kiongozi akiwa mkristo Hadi mauaji yanaongezeka,na pia wanatawala kwa mkono wa chuma!Umechanganyikiwa hv dini inaumuhimu gani kwa Mwafrika
Hiyo ni kujishtukia tu, wala hakuna aliye na time na dini ya mtu, watu tunaangalia utendaji. Kwa hiyo ulitaka wanyama hai wasafirishwe tu kisa mishahara imepanda? Au kisa watu wameacha kutekwa? Kosa la mmoja halihalalishi kosa la mwingine, kila moja litakemewa kivyakeNyie wakristo mna chuki mno na Waislamu, na pindi Rais akiwa muislamu hakuna hata zuri lake moja ambalo mnaliona, mkristo mwenzenu kaua watu,kateka watu,kafunga watu, katupora fedha zetu Wengine kwenye maduka ya kubadilishia fedha, mlikuwa yote hayo mnashangilia kisa tu mkristo mwenzenu mmbbwa nyie,
Leo Samia kapandisha mishahara,katoa ajira, wakati yule shetani muuaji kipindi chote akufanya hayo,
Samia Ni Rais Bora Sana kwa Tanzania,huwezi kumlinganisha na lile shetani lenu,
Asilimia kubwa wanamtukana Samia Ni wakristo na mazezeta machache yasiyo jitambua, dikteta muuaji ameharbu Sana mentality za vijana wetu shetani yule
Hapo sasa, hapa kuna kitu.
Punguza povu haita saidia hii.Nyie wakristo mna chuki mno na Waislamu, na pindi Rais akiwa muislamu hakuna hata zuri lake moja ambalo mnaliona, mkristo mwenzenu kaua watu,kateka watu,kafunga watu, katupora fedha zetu Wengine kwenye maduka ya kubadilishia fedha, mlikuwa yote hayo mnashangilia kisa tu mkristo mwenzenu mmbbwa nyie,
Leo Samia kapandisha mishahara,katoa ajira, wakati yule shetani muuaji kipindi chote akufanya hayo,
Samia Ni Rais Bora Sana kwa Tanzania,huwezi kumlinganisha na lile shetani lenu,
Asilimia kubwa wanamtukana Samia Ni wakristo na mazezeta machache yasiyo jitambua, dikteta muuaji ameharbu Sana mentality za vijana wetu shetani yule
Unatumia nguvu kubwa kutaka kuhalalisha uovu. Kosa la mtu mmoja halihalalishi kosa la mtu mwingineTuwaulize nyie wakristo, kinachofanya mtake hii Nchi waongoze wakristo tu Ni kitu gani haswa? Ilhali kiongozi akiwa mkristo Hadi mauaji yanaongezeka,na pia wanatawala kwa mkono wa chuma!
Duh !!Tuwaulize nyie wakristo, kinachofanya mtake hii Nchi waongoze wakristo tu Ni kitu gani haswa? Ilhali kiongozi akiwa mkristo Hadi mauaji yanaongezeka,na pia wanatawala kwa mkono wa chuma!
Ni yeyeSiamini kama yeye kaandika
Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake.
Kwamba waliokosoa wanaichukia Serikali kwa sababu inaongozwa na Rais Samia ambaye ni Mwislam, kwahiyo anaona watu kuhoji wamekosa uvumilivu wa dini.
Zitto ni mdini sana hafai kuongoza nchi hii hata siku moja.
Zitto kabwe
View attachment 2251667
Kwahiyo kumbe unajichukia wewe mwenyewe pia !!Hata mimi naona hivyo pia, Sioni afya ya nchi hii ikiongozwa na waislamu japo mimi ni muislamu. Siwapendi warabu hata kidogo. Ni wanafiki mno kama sisi wafrika.
Na wengine wengi wanachomoza !!Kama kweli ni zito kaandika hivyo basi watu makini wanaisha na kupukutika kwa kasi sana.
Anaifyoza kwa ukaribu kabisaZitto ni mzito kipindi hiki lazima aongee sana kwani asali anaipata mojakwamoja
We mpumbavu utatuua sisi Binadamu wenzio kwa kutetea ujinga huu, walimsema wapi?Ukweli uko wazi, mama wanamchukia kutokana na DINI, UZANZIBAR na UWANAMKE wake.
Liko wazi, Juzi hapa imepigwa picha ametoka msikitini ijumaa, watu wameongea as if haruhusiwi kuswali.
Tumeona hapa Magufuli kila Jpili kanisani anahutubia kabisa na kutumbua watu akiwa kanisani.
Be fair, nchi ya watu wote, TANGANYIKA na ZANZIBAR.
Mtu Kama zitto KWa Sasa nikuanza kumpuuza tu impact yake katika maslahi mapana ya nchi KWa Sasa sio kipaumbele chake, kipaumbele chake anakijua yeye na watu wake wa karibu,Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake.
Kwamba waliokosoa wanaichukia Serikali kwa sababu inaongozwa na Rais Samia ambaye ni Mwislam, kwahiyo anaona watu kuhoji wamekosa uvumilivu wa dini.
Zitto ni mdini sana hafai kuongoza nchi hii hata siku moja.
Zitto kabwe
View attachment 2251667
Tuliiva chungu kimoja tangu enzi na enzi hatuwezi kuja kutenganishwa na baadhi ya vijana uchwara wasiojitambua !! After all hizi dini zililetwa na wageni tu kutoka nje!! Walipokuja waliwakuta wenyeji wanaabudu vile walivyokuwa wanaviamini na maisha yalikuwa yanaenda !! Ukraine na Russia ni dini moja lakini wanadundana kama lote !! Tafakari chukua hatua !!Solution ni Partition tu kama India na Pakistan, binafsi siamini kama Muslims na Christians wanaweza kuiva chungu kimoja!
Wanaoongoza kumpiga vita ni Waislamu wenzie. Kundi kubwa likiwa ni la wanaume.Ukweli uko wazi, mama wanamchukia kutokana na DINI, UZANZIBAR na UWANAMKE wake.
Liko wazi, Juzi hapa imepigwa picha ametoka msikitini ijumaa, watu wameongea as if haruhusiwi kuswali.
Tumeona hapa Magufuli kila Jpili kanisani anahutubia kabisa na kutumbua watu akiwa kanisani.
Be fair, nchi ya watu wote, TANGANYIKA na ZANZIBAR.
Ni aibu sana kauli kama hiyo kutolewa na msomi.