Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

Sidhani kama Zitto anaweza kuandika hivyo! lkn kama ni yy kweli basi ujinga wake utakuwa uma-martipply
Tz tunataka rais MZALENDO SIYO HABARI ZA UISLAMU AU UKRISTO ..Jpm alipendwa hadi na waislamu kwa sababu ya uzalendo na alichukiwa hadi na wakristo kwa sababu ya uzalendo. Rais wa hivyo ndiye tuna mtaka
Sasa soma hoja yako ya kwanza kabisa na hii. Ndugu yangu tuachane na mambo ya UDINI. Tulishavuka huko. Waasisi wetu walishajenga Taifa moja. Tunahitaji viongozi wazalendo siyo wa dini gani. Hii point yako ya sasa hongera. Na tuheshimu Marais wetu kama kukosoa kuwe kwa staha🙏🙏🙏
 
Nyie wakristo mna chuki mno na Waislamu, na pindi Rais akiwa muislamu hakuna hata zuri lake moja ambalo mnaliona, mkristo mwenzenu kaua watu,kateka watu,kafunga watu, katupora fedha zetu Wengine kwenye maduka ya kubadilishia fedha, mlikuwa yote hayo mnashangilia kisa tu mkristo mwenzenu mmbbwa nyie,

Leo Samia kapandisha mishahara,katoa ajira, wakati yule shetani muuaji kipindi chote akufanya hayo,

Samia Ni Rais Bora Sana kwa Tanzania,huwezi kumlinganisha na lile shetani lenu,

Asilimia kubwa wanamtukana Samia Ni wakristo na mazezeta machache yasiyo jitambua, dikteta muuaji ameharbu Sana mentality za vijana wetu shetani yule
Marais waislamu wa tz hata mtume muhamadi asinge wakubali kwa namna yoyote ...tena waislamu wakumbuke muhamadi aliwataka maswahaba kukimbilia nchi ya wakristo chini ya kiongozi mkristo kajifunzeni muhamadi alisema nini kuhusu huyo mkristo ....pia jifunzeni kwa JPM kwanini jpm alichukiwa na mabeberu ambao ni wakristo pia alichukiwa na serikari ya kenya ambayo niya wakristo na kupendwa na nchi za kiislamu kama somalia nigeria nk , mbona waislamu wengi tu wa tz wanampenda na kumkubali jpm ....mafundisho ya uislamu yanawataka waislamu kushikamana na mtu yoyote anaye pigania haki hata kama huyo mtu siyo muislamu ....sasa tatizo tz wengi siyo waislamu ni waisiharamu ndiyo maana wanapingana hata na uislamu kwa kupigania waharifu waliojivisha uislamu.
 
Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake.

Kwamba waliokosoa wanaichukia Serikali kwa sababu inaongozwa na Rais Samia ambaye ni Mwislam, kwahiyo anaona watu kuhoji wamekosa uvumilivu wa dini.

Zitto ni mdini sana hafai kuongoza nchi hii hata siku moja.

Zitto kabwe

View attachment 2251667
mbona mimi sioni connection ya heading na kilichoandikwa.Tutajuaje kama ni issue ya wanyama?
 
Tuwaulize nyie wakristo, kinachofanya mtake hii Nchi waongoze wakristo tu Ni kitu gani haswa? Ilhali kiongozi akiwa mkristo Hadi mauaji yanaongezeka,na pia wanatawala kwa mkono wa chuma!
Kuua hata mitume waliua nyinyi ndiyo waisiharamu ninao wasema hapa ila mnajidai waislamu .mbona hata sisi wananchi tunapenda kuua tukikamata majambazi tunatamani kuyaua ,tatizo siyo kuua au kutokuu
 
Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake.

Kwamba waliokosoa wanaichukia Serikali kwa sababu inaongozwa na Rais Samia ambaye ni Mwislam, kwahiyo anaona watu kuhoji wamekosa uvumilivu wa dini.

Zitto ni mdini sana hafai kuongoza nchi hii hata siku moja.

Zitto kabwe

View attachment 2251667
Moja ya watu wanaopukutika AKILI KICHWANI KWA KASI KUBWA ni pamoja na ZITTO KABWE.Inasikitisha sana,na sijui kwa nn ndugu zake hawajagundua hili ili wamsaidie ili apate MATIBABU MAPEMA.
 
Post ya Zitto imenifanya niyaangalie haya mambo kwa mtazamo wa kidini, na inawezekana ni kweli yanafanyika kwa sababu hizo

Kwa kweli na ile issue ya kuhamisha wamasai Ngorongoro mkuu…kuna namna hawa ndugu zetu wanatuchezea kwa inferiority complex zao…
 
Nyie wakristo mna chuki mno na Waislamu, na pindi Rais akiwa muislamu hakuna hata zuri lake moja ambalo mnaliona, mkristo mwenzenu kaua watu,kateka watu,kafunga watu, katupora fedha zetu Wengine kwenye maduka ya kubadilishia fedha, mlikuwa yote hayo mnashangilia kisa tu mkristo mwenzenu mmbbwa nyie,

Leo Samia kapandisha mishahara,katoa ajira, wakati yule shetani muuaji kipindi chote akufanya hayo,

Samia Ni Rais Bora Sana kwa Tanzania,huwezi kumlinganisha na lile shetani lenu,

Asilimia kubwa wanamtukana Samia Ni wakristo na mazezeta machache yasiyo jitambua, dikteta muuaji ameharbu Sana mentality za vijana wetu shetani yule

Haya ya udini mnayakuza tu, mfano mimi wazazi wangu mmoja ni muislamu na mwingine mkatoliki, sasa udini wangu utaanzia wapi? Tuweke Rekodi sawa magufuli mbona tulimkosoa sana bila kujali dini au hapa jf hakukosolewa?
 
Kwahiyo kumbe unajichukia wewe mwenyewe pia !!
Wewe ujui uislamu ....uislamu unamtaka muislamu kushikamana na mtu yoyote hata kama siyo muislamu katika jambo la haki tena hiyo ni amri kutoka kwa muhamadi mwenyewe ...tatizo hawa tulio nao ni WAISIHARAMU SIYO WAISLAMU , KITABU CHA RAIS MWINYI KINAONYESHA MWINYI ALIMPAPASA MAMA YAKE MZAZI AKIWA UCHI WA MNYAMA SASA HUO NI UISILAMU GANI ,TENA MWINYI ALICHAPWA KOFI NA MUISLAMU MWENZAKE WALA SIYO MKRISTO KISA NI HAYA HAYA MAMBO YA UISIHARAMU
 
Kuua hata mitume waliua nyinyi ndiyo waisiharamu ninao wasema hapa ila mnajidai waislamu .mbona hata sisi wananchi tunapenda kuua tukikamata majambazi tunatamani kuyaua ,tatizo siyo kuua au kutokuu
Sasa Tanzania haitoongozwa Tena wahuaji na wenye roho mbaya, akitoka Samia anaingia Ridhiwan Kikwete au January,au mwinyi wa Znz
 
Hebu tuangalie toka Rais Samia kawa Rais ameteua wakristo wanganpi na waislmu wangapi? Maana sasa tuangalie mambo kwa jicho la dini kama mnavyotaka
 
Shangazi yenu Fatma nae analalamika udini uwenda kuna ukweli sasa.
Mbona JPM ALIPENDWA NA DINI ZOTE NA WALIO MCHUKIA WALIKUWA WA DINI ZOTE ...JPM ALICHUKIWA NA MABEBERU WAKRISTO AU AMJUI
 
Haya ya udini mnayakuza tu, mfano mimi wazazi wangu mmoja ni muislamu na mwingine mkatoliki, sasa udini wangu utaanzia wapi? Tuweke Rekodi sawa magufuli mbona tulimkosoa sana bila kujali dini au hapa jf hakukosolewa?
Nyie mna chuki na kiongozi akiwa muislamu, Samia kapandisha mishahara kwa watumishi, madaraja pia ,askari wamepanda vyeo, ajira, Yule muuaji alishindwa yote, alichofanikiwa Ni kutupora fedha zetu wafanyabiashara, walah Mimi sikusamehe, nilienda Tumbatu kushtakia kwa duwa nzito nzito, nashukuru Mungu alijibu kwa madhalimu wote,

Tuliokimbia baada yakuporwa fedha, 2025 tunarudi kumnadi Samia inshallah
 
Huu wa zito nao ni upuuzi tuu..

Sidhani hoja kama ni wanyama kuuzwa bali je kuna sababu za kufanya hivyo?

Udini unaingiaje?

Tzn na Africa mambo ya udini na ukabila yana nguvu kuliko akili za watu.
Du kweli zitto kapotea yani zitto umefikia kuzidiwa akili hadi na huyu shoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe shoga agiza bakuri la rojo leo nakulipia bure kabisa..[emoji501][emoji501][emoji501]
 
Sasa Tanzania haitoongozwa Tena wahuaji na wenye roho mbaya, akitoka Samia anaingia Ridhiwan Kikwete au January,au mwinyi wa Znz
Subiri kidogo tu utajua ujui tena kwa jinsi mlivyo muua jpm .....mtajua amjui .
 
Subiri kidogo tu utajua ujui tena kwa jinsi mlivyo muua jpm .....mtajua amjui .
kajiua mwenyewe kwa ushamba wake ,wenzie walikuwa wanachukua tahadhali,yeye alivyo kichwa maji akajifanya mwamba kuivimbia Covid19 hili apate sifa
 
Back
Top Bottom