Zitto: Baadhi ya mitambo ya Vyombo vyetu vya na dola mlitumika kumchafua BM

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Zitto katoa kashfa nzito kuvihusu vyombo vya dola kwa kutumika kumchafua Membe ikiwamo mitambo ya vyombo hivyo kutumika kuchapisha magazeti ya kumchafua.

Maoni yangu:

Hii kashfa ni kubwa mno kutolewa na mfanya siasa kama Zitto tena mbele ya Amri Jeshi Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na ni lazima Mamlaka vitolee ufafanuzi tuhuma hizo.

Pia, Zitto aitwe na atoe uthibitisho wa kashfa hiyo.

Ni aibu endapo kashfa hiyo itaachwa na kufumbiwa macho pasina mtoa tuhuma hizo kuhojiwa ili athibitishe pasi na chembe ya shaka kwazo.
 
Kumjibu mpuuzi kama zitto ni kupoteza muda tu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani amechoka kuishi of anaamini katika ndumba hawamuwezi
 
Hakuna wa kumuita maana ukweli unafahamika. Dhalimu aliharibu sana hii nchi.
 
Zitto akazikwe na Membe.Mbona anachelewa kwenda Rondo.
 
Katumwa huyo na smile!

Kwani Mr smile alikuwepo kwenye kumuaga!!?

Zito ananunua ugomvi na dola tena wa bure KABISA!!!

Yeye angeaga na kutuliza tu,dola haishindwi na uchawi wa ziwa Tanganyika!

Asije sababisha akawa tagert bila kutegemewa!

Dola haitukanwi,kama yeye anajiona ni mwanaupinzani maarufu ajiulize Maalum seif watu washa sahau kabisa kwamba alikuwepo ACT wazalendo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…