Zitto: Baadhi ya mitambo ya Vyombo vyetu vya na dola mlitumika kumchafua BM

Zitto ameongea ukweli kabisa

Ni ajabu sana baadhi ya vyombo kutumia Wahuni kama Musiba kiwachafua Wananchi.
Maoni ya wengine ni kwamba hata Mr Funeral naye alisema ukweli mtupu, japo mchungu kwa wahusika. Hilo unaliongeleaje? Kumbuka kwamba kushinda kesi kisheria mahakamani haina maana kwamba una haki kimaadili.
 
Seif!Ila watu ni hamnazo sana kumbe!Sasa mtu wa 70 years huko si muda wake ndiyo umefika!.Aisee!.
 
Kwani si ilishasemwa vyombo vya uchapishaji vilivyopo karibu na Bagamoyo ndo alipewa musiba atukane kwa umahiri
 
Zitto anatafuta kufa kwa changamoto ya kupumua!
 
Tusubiri tuone who is holding the four aces !
 
Maoni ya wengine ni kwamba hata Mr Funeral naye alisema ukweli mtupu, japo mchungu kwa wahusika. Hilo unaliongeleaje? Kumbuka kwamba kushinda kesi kisheria mahakamani haina maana kwamba una haki kimaadili.
Na ukifikiri kwa makini Mr Funeral alikuwa akiongea kwa kujiamini sana!
 
Kasemaje tupe taarifa zaidi
 
Kwa nini watu wakisema ukweli mnakuwa wakali? Kwani ni siri kuwa vile vijarida vya musiba vilikuwa vinachapishwa kule malindi?
 
Ningemuona wa maana kama angewalaumu wale wazee na watoto wao walio mtusi na kumkejeli aliyekuwa mkuu wa nchi, hapo ningemuona wa maana huyu mnafiki pambe.
 
Jibu hoja acha kuleta propaganda zenu za kichumia tumbo. Gazeti la TANZANITE lilikuwa linachapishwa na mitambo ya Serikali na hiyo inajulikana na hakuna atakayebisha!! Kitu kilicho wazi unataka ushahidi wa nini? Acheni upuuzi menu.
Mkuu kujibu upuuzi ni tofauti na kujibu hoja, hapo hakuna hoja bali ni upumbafu tu.
 
Ex fm ni nani
 
Maoni ya wengine ni kwamba hata Mr Funeral naye alisema ukweli mtupu, japo mchungu kwa wahusika. Hilo unaliongeleaje? Kumbuka kwamba kushinda kesi kisheria mahakamani haina maana kwamba una haki kimaadili.
Hili halina ubishi, wote kwa pamoja wanasema ukweli hakuna anayemsingizia mwenzake
 
Kwa mawazo yako unadhani Zitto amekurupuka? Umekosea sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…