Zitto: Baadhi ya mitambo ya Vyombo vyetu vya na dola mlitumika kumchafua BM

Hii kashfa ni kubwa mno kutolewa na mfanya siasa kama Zitto tena mbele ya Amri Jeshi Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na ni lazima Mamlaka vitolee ufafanuzi tuhuma hizo.

Pia, Zitto aitwe na atoe uthibitisho wa kashfa hiyo.
Anatafuta umaarufu kwa nguvu ili autumie kugombea urais, kwa hiyo wakimwita na kumhoji ni kumpa promo asiyostahili. Mtu mwenyewe afya mgogoro asije akawakatikia kwenye mahojiano.
 

Mambo ya kutishana hayapo tena hiyo dola ya kuuwa watu ilisha potea,sasa ni Tanzania huru,ya mama wa Kiislam.
 
Mbona wewe ndiye uliyechelewa sana kujua , ulikuwa wapi kusiko na mawasiliano ?

Hili jambo hata vipofu wanajua

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimependa uwasilishaji wake,kifasihi hii inaitwa _apostrophe "the figure of speech in which the dead is addressed as if he/she listens.BM Ulikuwa mpiganaji,hukuogopa kupigania utu wako hata pale viongozi wakubwa walipowatumia wahuni kukuchafua...inaleta hisia flani eee!
 
Mkuu kujibu upuuzi ni tofauti na kujibu hoja, hapo hakuna hoja bali ni upumbafu tu.
Upumbavu kwa wewe mpumbavu unayetaka ushahidi kwa kitu kilicho wazi!
Waambie handlers wako wamshitaki basi kama mna ubavu!!
 
Mum, unataka uthibitisho gani? Baadhi ni huu hapa..

 
Huko kuchafuliwa si ndio Membe akaenda mahakamani akashinda kesi alipwe mabilioni, au kuna kuchafuliwa kwingine zaidi ya ile kesi aliyoshinda Membe?

Zitto anataka ku trend tu.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…