Zitto: Baadhi ya mitambo ya Vyombo vyetu vya na dola mlitumika kumchafua BM

Atahojiwa vipi kwa jambo linalofahamika wazi?
 
Umenena vyema sana. Nchi yetu ilipopotea kabisa ni kuvifanya vyombo hivi kuwa mali ya Rais badala ya kuwa mali ya umma wa Taifa.
 
Maoni ya wengine ni kwamba hata Mr Funeral naye alisema ukweli mtupu, japo mchungu kwa wahusika. Hilo unaliongeleaje? Kumbuka kwamba kushinda kesi kisheria mahakamani haina maana kwamba una haki kimaadili.
Kuna kamati ya maadili ambayo ina nguvu kisheria, kama ni kweli.

Lakini kwa vyovyote vile, kuna mengine ni wazi kulikuwa ni kukengeuka kwa huyo Musiba. Kama ile kuandika kwenye magazeti yake kuwa eti Zito na Maalim wamegombania shoga, utasema ilikiwa ni habari ya kweli?
 
Umenena vyema sana. Nchi yetu ilipopotea kabisa ni kuvifanya vyombo hivi kuwa mali ya Rais badala ya kuwa mali ya umma wa Taifa.
Ni katiba mpya pekee ndio inayoweza kulazimisha mabadiliko kama hayo !
 
Na kwa kuwa Zitto amesema wale jamaa ndio waliokuwa nyuma ya yule jamaa je ina maana kwa sasa wamebadilika ?? Ni nini kitakuwa kimewabadilisha ??!
 
Mbona 7shahidi upowazi kwani yale magazeti uchwara si yalichapwa kwenye mitambo ya serikali
 
Hiyo ni kijeshi au ni kisiasa au kisheria[emoji848][emoji848][emoji2960][emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thubutuu!

Madudu ya awamu ya Tano ni mengi mno, ni kama mwiba kwao; wanakosa ujasiri na uhalali wa kuhoji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…