Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kura za Zanzibar,thus wanataka kukifuta wanajua znz Hali si shwali kwa chakavu.Kwahapa inavyoonekana ni kuwa ACT watanufanika zaidi kwa Membe kuliko yeye atakavyofaidi kwa chama Zitto anaangalia miaka ijayo tena uchaguzi wa 2025 au 2030 ACT hakitokuwa kama kilivyokuwa hivi sasa
Prisoner of the moment ndiyo jibu sahihi zaidi kumuelezea Zitto kwa sasaNimemsikiliza Zitto na sababu yake/ zake kwanini suala la Membe kuhamia kwenye chama chake halitokuwa kama ilivyokuwa kwa CHADEMA na Lowassa na Sumaye na wengineo.
Sababu zake kuu ni kwamba hao waliohamia CHADEMA kipindi kile hawakujiona au hawakuonekana kuwa ni sehemu ya ‘movement’.
Pia, eti hawakujiona au kuonekana kuwa walikuwa ni sehemu ya ‘familia’ ya CHADEMA.
Muda utazungumza tu. Ila Zitto inabidi awe mwangalifu na uchaguzi wa maneno yake.
Kwenye hili nadhani Bw. Zitto anaathiriwa na kuwa ‘prisoner of the moment’.
Natumaini yeye na ACT yake watakuwa na mipango baada ya uchaguzi ujao baada ya kushindwa.
Maana ushindi huwaunganisha watu na ushindwaji hugawanyisha.
Mkuu mna nia thabiti ya kung'oa chichiemu...!!Zitto anajua fika kwamba Bara Chadema ni more popular kuliko chama chake lakini anafanya juu chini kutaka Membe ndiye awe mgombea wa Upinzani. Chadema wasikubali upuuzi wake. Anataka kuweka mgombea mmoja basi ni Lissu tu na si Membe.
Membe ni mpinzani wa Magu....Wewe unamuona Membe kuwa ni mpinzani kweli?
Mleta mada anajulikana ni pro Jiwe, ni aina zile za akina Mzee MwanakijijiYaani ninavyowajua wafuasi wa Mwamba (Mbowe) watalikuza hili jambo kupita kiasi. Na linaweza chochea vita kubwa sana kati ya Chademana ACT na kuondoa uwezekano wa kuungana kwenye uchaguzi huu. Hapo Nyani Ngabu (the Sukuma Genious) atakuwa amefanikiwa sana kufanya 'divide and rule'. Na CCM itapita katikati kiulanii. CCM Hoyee.....
Huwezi kumtenganisha Membe na ACT wazalendo kwa kuwa ndiye aliyekianzisha kwa nia ya kuidhoofisha CHADEMA kwa kuwa alitegemea kuwa yeye ndiye angekuwa ni mgombea wa CCM na kikwazo cha kuupata urais ili kuwa ni CHADEMA kwa hiyo akaona kuwa ni vema ajiponye kwa kuisambaratisha CHADEMA. hiyo ni kwa mjibu wa mwanaharakati huru Cyprian Musiba.
Inawezekana.Tume ingekuwa huru Lowasa leo angekuwa Rais
Tume, polisi wote CCMInawezekana.
Lakini katika hali ya namna hiyo, alitakiwa apate kura nyingi zaidi ambazo hata tume wasingethubutu kuzichezea.
Ndio maana tunawashauri wapinzani hata sasa, waweke juhudi kubwa kuhamasisha wapiga kura wajitokeze kwa wingi kupiga kura. Mshindi atakayepatikana, hasa akiwa ni wa upinzani, tume ishindwe kabisa kuzivuruga kura hizo za ushindi.
Hii ndio njia pekee iliyopo sasa hivi kuwazuia tume isiyokuwa huru kuvuruga ushindi wa wapinzani.
Tatizo ni kwamba, wapinzani hawasikii wala kujifunza chochote.
Sasa hivi wanaingia kwenye uchaguzi bila mikakati yoyote ya kuzuia tume isiharibu ushindi wao. Sasa sijui wanategemea nini?
Sikatai mkuu wangu, kwa sababu kuna ushahidi wa wazi unaonekana.Tume, polisi wote CCM
Tujipange mpaka 2030 angalau kuwe na watanzania 60% wawe na elimu ya form 4, hawa wanauwezo wa kudai haki maana wanajitambua, angalia sehemu ambazo wameelimika hawaitaki CCM, Moshi, Mbeya, Iringa, Dar, Bukoba, Arusha hata Mwanza.Sikatai mkuu wangu, kwa sababu kuna ushahidi wa wazi unaonekana.
Sasa kwa vile sote tunatambua hivyo, ni nini kifanyike kuondoa hali hiyo? Hili ndilo ningeomba mchango wako na wa wengine hapa.
Eeenh, basi bhwanah.Tujipange mpaka 2030 angalau kuwe na watanzania 60% wawe na elimu ya form 4, hawa wanauwezo wa kudai haki maana wanajitambua, angalia sehemu ambazo wameelimika hawaitaki CCM, Moshi, Mbeya, Iringa, Dar, Bukoba, Arusha hata Mwanza.
Basi utatangaza wewe matokeoEeenh, basi bhwanah.
Kumbe wewe tayari ni CCM?
Nilidhani najibishana na mtu anayeumizwa kweli na hali iliyopo, kumbe ni wale wale wa CCM?
Haya endelea kusubiri 2030; na wakati huo ikiwa bado upo, utakuja na visababu chungu nzima kwa nini tusisubiri hadi 2050!
Nimemalizana na wewe. Sina cha zaidi kujibishana nawe hapa.
Mpuuzi mkubwa wewe.Basi utatangaza wewe matokeo
Usilazimishe unachojua wewe kama una akili timamu, lazimisha sasa wewe unavyotaka utangaze matokeo badala ya NECMpuuzi mkubwa wewe.
Wewe ni mjinga na mpuuzi tu kama wapuuzi wengine niliwahi kukutana nao hapa.Usilazimishe unachojua wewe kama una akili timamu, lazimisha sasa wewe unavyotaka utangaze matokeo badala ya NEC