Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

Uchonganishi baina ya wapinzani umeanza!

Ukweli ni kwamba Lowasa hajawahi kujihisi kuwa ni mpinzani mwenye jukumu la kuuondoa mfumo, bali yeye alitaka awe rais tu baasi lakini hakuwahi kuamini katika vision wala mission ya Upinzani
 
Kwahapa inavyoonekana ni kuwa ACT watanufanika zaidi kwa Membe kuliko yeye atakavyofaidi kwa chama Zitto anaangalia miaka ijayo tena uchaguzi wa 2025 au 2030 ACT hakitokuwa kama kilivyokuwa hivi sasa
Kura za Zanzibar,thus wanataka kukifuta wanajua znz Hali si shwali kwa chakavu.
 
Nimemsikiliza Zitto na sababu yake/ zake kwanini suala la Membe kuhamia kwenye chama chake halitokuwa kama ilivyokuwa kwa CHADEMA na Lowassa na Sumaye na wengineo.

Sababu zake kuu ni kwamba hao waliohamia CHADEMA kipindi kile hawakujiona au hawakuonekana kuwa ni sehemu ya ‘movement’.

Pia, eti hawakujiona au kuonekana kuwa walikuwa ni sehemu ya ‘familia’ ya CHADEMA.

Muda utazungumza tu. Ila Zitto inabidi awe mwangalifu na uchaguzi wa maneno yake.

Kwenye hili nadhani Bw. Zitto anaathiriwa na kuwa ‘prisoner of the moment’.

Natumaini yeye na ACT yake watakuwa na mipango baada ya uchaguzi ujao baada ya kushindwa.

Maana ushindi huwaunganisha watu na ushindwaji hugawanyisha.

Prisoner of the moment ndiyo jibu sahihi zaidi kumuelezea Zitto kwa sasa
 
Zitto anajua fika kwamba Bara Chadema ni more popular kuliko chama chake lakini anafanya juu chini kutaka Membe ndiye awe mgombea wa Upinzani. Chadema wasikubali upuuzi wake. Anataka kuweka mgombea mmoja basi ni Lissu tu na si Membe.
Mkuu mna nia thabiti ya kung'oa chichiemu...!!
basi jitahidi kuubili umoja wa upinzani
 
Tofauti yao ni kuwa Lowassa aliingia usiku Membe kaingia asubuhi wote malengo sawa!
 
Yaani ninavyowajua wafuasi wa Mwamba (Mbowe) watalikuza hili jambo kupita kiasi. Na linaweza chochea vita kubwa sana kati ya Chademana ACT na kuondoa uwezekano wa kuungana kwenye uchaguzi huu. Hapo Nyani Ngabu (the Sukuma Genious) atakuwa amefanikiwa sana kufanya 'divide and rule'. Na CCM itapita katikati kiulanii. CCM Hoyee.....
Mleta mada anajulikana ni pro Jiwe, ni aina zile za akina Mzee Mwanakijiji

Lengo ni kuwagombanisha ACT na Chadema wasiaminiane.

Wapinzani wawe makini, fitina kubwa itapenyezwa kati yao ili wasisimamishe mgombea mmoja!

Wapinzani msiingie mtego wa CCM. kutumia watu wao kugombanisha viongozi.

Viongozi nao ni binadamu wana mioyo ya nyama, mkiwashambulia kwa vitu vidogo vidogo nao wanaumia.

Alichokiongea Zitto siyo big issue kama kicjwa cha thread aliyoanzisha mleta mada.

Mleta mada huenda hajasikiliza kipande kizima cha Interview au ana lengo la kugombanisha wapinzani kwa ajili ya manufaa ya jiwe, msiingie mtegoni!
 
Huwezi kumtenganisha Membe na ACT wazalendo kwa kuwa ndiye aliyekianzisha kwa nia ya kuidhoofisha CHADEMA kwa kuwa alitegemea kuwa yeye ndiye angekuwa ni mgombea wa CCM na kikwazo cha kuupata urais ili kuwa ni CHADEMA kwa hiyo akaona kuwa ni vema ajiponye kwa kuisambaratisha CHADEMA. hiyo ni kwa mjibu wa mwanaharakati huru Cyprian Musiba.
 
Iliandikwa sana humu miaka ya nyuma kidogo, lakini bahati mbaya sisi ni wepesi sana kusahau.
 
Tume ingekuwa huru Lowasa leo angekuwa Rais
Inawezekana.

Lakini katika hali ya namna hiyo, alitakiwa apate kura nyingi zaidi ambazo hata tume wasingethubutu kuzichezea.

Ndio maana tunawashauri wapinzani hata sasa, waweke juhudi kubwa kuhamasisha wapiga kura wajitokeze kwa wingi kupiga kura. Mshindi atakayepatikana, hasa akiwa ni wa upinzani, tume ishindwe kabisa kuzivuruga kura hizo za ushindi.

Hii ndio njia pekee iliyopo sasa hivi kuwazuia tume isiyokuwa huru kuvuruga ushindi wa wapinzani.

Tatizo ni kwamba, wapinzani hawasikii wala kujifunza chochote.

Sasa hivi wanaingia kwenye uchaguzi bila mikakati yoyote ya kuzuia tume isiharibu ushindi wao. Sasa sijui wanategemea nini?
 
Tume, polisi wote CCM
 
Tume, polisi wote CCM
Sikatai mkuu wangu, kwa sababu kuna ushahidi wa wazi unaonekana.

Sasa kwa vile sote tunatambua hivyo, ni nini kifanyike kuondoa hali hiyo? Hili ndilo ningeomba mchango wako na wa wengine hapa.

Hatuwezi kutatua tatizo kwa kuendelea kuimba tu "Tume, polisi wote CCM" , ni lazima tutafute njia ya kuwazuia hawa.
 
Sikatai mkuu wangu, kwa sababu kuna ushahidi wa wazi unaonekana.

Sasa kwa vile sote tunatambua hivyo, ni nini kifanyike kuondoa hali hiyo? Hili ndilo ningeomba mchango wako na wa wengine hapa.
Tujipange mpaka 2030 angalau kuwe na watanzania 60% wawe na elimu ya form 4, hawa wanauwezo wa kudai haki maana wanajitambua, angalia sehemu ambazo wameelimika hawaitaki CCM, Moshi, Mbeya, Iringa, Dar, Bukoba, Arusha hata Mwanza.
 
Eeenh, basi bhwanah.

Kumbe wewe tayari ni CCM?

Nilidhani najibishana na mtu anayeumizwa kweli na hali iliyopo, kumbe ni wale wale wa CCM?

Haya endelea kusubiri 2030; na wakati huo ikiwa bado upo, utakuja na visababu chungu nzima kwa nini tusisubiri hadi 2050!

Nimemalizana na wewe. Sina cha zaidi kujibishana nawe hapa.
 
Basi utatangaza wewe matokeo
 
Usilazimishe unachojua wewe kama una akili timamu, lazimisha sasa wewe unavyotaka utangaze matokeo badala ya NEC
Wewe ni mjinga na mpuuzi tu kama wapuuzi wengine niliwahi kukutana nao hapa.

Umesoma popote nilipolazimisha?
 
Back
Top Bottom