Ni mpinzani.
Acheni kulalamika miaka yote tunalalamika badala ya kukaaa vyama vyote na kuamua mgombea, bila muungano wa vyama vyote kusimamisha mgombea mmoja ni kupoteza muda kudhani ccm mtaishinda.
Sawa lakini tunachosema Membe kuhamia upinzani July, 2020 na miezi mitatu baadaye apewe nafasi ya kupeperusha bendera ya upinzani kugombea Urais siyo sawa hata kidogo.
Hii ni mbinu chafu za ccm kila mwaka kumtoa kiongozi wao ili aonekane amefukuzwa au amehama ili aende upinzani ili kuudhoofishaNi dharau kwa wanachama waliotumia muda wao mwingi na pengine kuhatarisha maisha yao kwa ajili ya chama
Tukikumbuka ya Lowassa 2015, ndio mpaka leo CHADEMA ina changamoto nyingi maana alikirudisha chama nyuma
Kada La CCM limeanzisha Mada,
Special kwaajili ya "Kuyagonganisha Vichwa" Misukule ya Vyama halafu lenyewe limekaa kando lina SIP WINE.
Very stupid.
Tusubiri " Magu's Ubatizo wa Moto Part 2"
Kumbe Bado Hamjajitambua.
Kilizaliwa kipindi cha uchaguzi kikatulia kimeamka tena kipindi cha uchaguzi baada ya uchaguzi atabaki zitto na wale wanao nufaika na kuwepo kwakeAct ni kikundi cha kufifisha upinzani hapa Tanzania, jaribuni kujiuliza namna ilivyo anzishwa na kipindi ilicho anzishwa
Kilizaliwa kipindi cha uchaguzi kikatulia kimeamka tena kipindi cha uchaguzi baada ya uchaguzi atabaki zitto na wale wanao nufaika na kuwepo kwake
Asante mkuuAsante sana mkuu kwa kulielewa hilo
Asante mkuu
Hakuna kitu kinachoniudhi nchi hii kama watu watu wa Idara, Wajeda, na mamwera kutumika kwa ajili ya chama! Hivi hawa ndio watawatetea wananchi kweli? Ni wazalendo wa Taifa au Chama?Membe ni mtu mkubwa sana idarani na huko Act amekwenda kufanya kazi ya idara kwa uaminifu mkubwa
Zitto utakuja juta na chama chako chenye wanachama 6
Hakuna kitu kinachoniudhi nchi hii kama watu watu wa Idara, Wajeda, na mamwera kutumika kwa ajili ya chama! Hivi hawa ndio watawatetea wananchi kweli? Ni wazalendo wa Taifa au Chama?
Inaumiza sana kwa kweli watu ambao walitakiwa kuwa neutral lakini wanajidhihirisha kabisa kuwa upande fulani! Uzalendo utakuwepo kweli hapo?Ni mistake kubwa sana nadhani kungekua na sheria ya kuwazuia kujihusisha na siasa
Chadema wabaguzi Sana.