Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Mzee Mgaya hakuwepo kwenye msafara huo kweli??“Kwa Zitto msiwe na wasiwasi Rais JK alishamaliza kazi “ kila aliehudhuria kile kikao aliposikia Zitto ni mwenzetu alihamaki kidogo na kikao hicho kilifanyika Iringa eneo maalumu na kilihudhuriwa na viongozi wakubwa wa CCM isipokuwa Mwenyekiti wa taifa.
Ukifikiri Zitto ana tofauti na mrema, shibuda, cheyo kwa sasa unakua umekosea hao wote ni kundi moja na hawaitaki katiba mpya maana hii iliyopo wao inawafaa.
MANENO HAYO YA MZEE KALINGA WA PAWAGA ALIPOKUA AKIMUHADITHIA MZEE SHIGAHELA WA NGUDU WALIPOKUA WAKIELEKEA BUGANDO KUONA MGONJWA WAO.
Tupatupa wa Lumumba???
Jaribu kukumbuka vizuri