Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

Tumeanza kujadiliwa kimataifa kwa mambo ya kipumbavu. Sababu ya chuki za kishenzi. Hivi Tanzania ya Mwalimu ni nchi ya kujadiliwa kuhusu demokrasia? Mh rais haoni hilo doa??
Alishauriwa mapema kwamba Jpm alikuwa na kundi la wahuni hakusikia. Sasa pressure zina mpanda mama wa watu. Bado Siro yuko ofisini????
 
Mama naye inabidi ajitafakari
 
Zipo dalili za Mama kunawa na Sunsiro kustaafu kwa aibu kubwa. "... Nilikwambieni madhambi na aibu ...huo ushahidi uko wapi..."
 
Mama amaenza kutambua ukweli kuwa kesi ya Mbowe ni jumba bovu wanataka adhalilike yeye.

Majaji wa Mwendakuzimu akina Siyani, Liganga na wenzake mmesikia hilo?
 
Hao makomandoo wamekamatwa mwezi wa 8 mwaka 2020, ilikua Ni awamu ya ngapi hio?
Kusema hivyo Wenda hufatilii kesi iliyopo mahakani....hao makamando wanasema walibadilishiwa majina...huwezi jiongeza kwa nini majina yalibadilishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…