Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

Hii "maneno" wakiona wale disciples wake wanafura ile ngumu!Hata miandiko yao tu utatambua wanaandika huku wanatetemeka kwa hasira.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiona marehemu anakusumbua. Jua Wewe ndo unaumia. Usisingizie disciples wala Jüngern. Hayati mlimpenda sana. Yani
 
Ukiona marehemu anakusumbua. Jua Wewe ndo unaumia. Usisingizie disciples wala Jüngern. Hayati mlimpenda sana. Yani
🤔🤔🤔🤔🤔😝😝😝😝
Vipi mkuu,kwani haujaukuta mwili wake pale pangoni? Atakuwa ametwaliwa mapema alfajiir!
 
Huyu mpuuzi anataka rais aingilie uhuru wa mahakama!
Hujui hata maana ya Uhuru wa Mahakama kuingiliwa Kwa hiyo badala ya kujiaibisha ungekaa kimya tu. Inayofungua kesi ni Jamhuri (serikali) chini ya DPP na inaweza kuifuta kabla upande wa Utetezi haujaanza kujitetea kama wataona haina maslahi Kwa Taifa. Kuendelea nayo ni kwamba wanaona ina maslahi kwao au wanaona aibu kuachana nayo.
 
Kesi hii ni mpango wa Mungu kuimbua CCM na Serikali yake. Iendelee hivi hivi hadi tufike Mahakama ya Rufaa. Hadi sasa tumeshawajua wasiojulikana na mbinu zao za kipumbavu. Kumbe zile maiti zilizokuwa zinazagaa kwenye fukwe za bahari na mito ni watuhumiwa waliofia mikononi mwa wazee wa PGO. Wakiwa vituoni wanapewa majina bandia ili hata ndugu zao wakifika wasiwapate. Wacha iendelee tuzidi kuyajua mengi yaliyofichika.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Samia aliteua DPP wake ndio akamshtaki Mbowe kwa hii kesi, sio DPP wa Magufuli (Biswalo Mganga)
Sasa ni jumba bovu kivipi wakati DPP ni wa Samia?
Mkuu wa Polisi na genge lake walieframe case ni zao la nani?

Rais Samia aondoe magugu yote na afute case hii dhalili kwa serikali yake na mazao yataonekana
 
Huyu mama ni sehemu ya matukio yaliyofanyika awamu ya tano.Yeye alikuwa msaidizi wa JPM,labda akiri hadharani kwamba hakuwa anashirikishwa
.Tofauti na hayo aache kuiangushia lawama iliyopita.
 
Huyu mama ni sehemu ya matukio yaliyofanyika awamu ya tano.Yeye alikuwa msaidizi wa JPM,labda akiri hadharani kwamba hakuwa anashirikishwa
.Tofauti na hayo aache kuiangushia lawama iliyopita.
Jiwe alikuwa dikteta
 
Kwa hiyo msaidizi wa shetani naye lazima awe shetani .Malaika hawezi kuwa msaidizi wa shetani.Huo ndio ukweli,au nasema uongo ndugu zangu?.
 
Back
Top Bottom