Zitto, hii ndiyo timu ya kupitia masuala ya Tume Huru ya Uchaguzi uliyotegemea au wamekuchakachua?

Chadema hamkushiriki mkutano, acheni walioshiriki waunde timu inayowafaa. Kelele za nini. Nyie tazameni tu ,train ndiyo inaondoka hivyo bila nyie. Akili za kuambiwa na Lissu muwe mnachanganya na zenu.
Wewe ni Mjing&&& issue hii unaichukulia kichama duh
 
hapa tunapigwa changa la macho wazi wazi kabisa, hamna tume huru hapo
Hivi kuna watu timamu walitarajia jambo la maana kwenye kile kikao? Chadema siku zote wako mbele ya muda yaani mkandara daah anyway ujinga ni mzigo mkubwa kwa wadanganyika
 
Fikra za watu wengine zinafikirisha sana, hata kama kina Zitto & co. wakifanikiwa kuunda tume huru kitu ambacho ni next to impossible unadhani itakuwa ni tume ya CCM na ACT tuu?
Nchi hii kuna majitu majinga sana nahayo ndio msaada wa cccm
 
Please remain within the context of the issue.. Chadema wamealikwa wawe sehemu ya mkutano, wamekataa, lakini hapo hapo wanataka wafanye maamuzi ya yanayoendelea ndani ya kikao hicho hicho wao wakiwa nje..Hakuna uhusiano na swali unalouliza.
Kwa hiyo CHADEMA kwa kuwa hawakuwepo ndio iwe kigezo Cha CCM kuweka Wana CCM kwenye hiyo timu?,

Bado walipaswa kuweka timu inayokubalika na pande zote bila kujali Kama CDM hawakuwepo au walikuwepo.
 
Jambo kubwa kwa nchi haliwezi kufanyika chini ya rais dhaifu kama wa sasa
 
Katiba mpya ndio jibu.. huwezi kuwa na tume huru kama mahakama sio huru, bunge sio huru, etc
Kabisa kabisa, mfumo wa kenya ni mzuri sana, tume ya uchaguzi, mahakama, bunge, vyombo vya usalama etc
 
Changa la macho hili.
Ukisikia mchongo maana yake ndiyo hii.
 
Please remain within the context of the issue.. Chadema wamealikwa wawe sehemu ya mkutano, wamekataa, lakini hapo hapo wanataka wafanye maamuzi ya yanayoendelea ndani ya kikao hicho hicho wao wakiwa nje..Hakuna uhusiano na swali unalouliza.
Kama kuna makosa makubwa walifanya CHADEMA ni kutoshiriki huu mkutano. Ingewasaidia kupambana wakiwa ndani. If you can't fight them, join them!
 
Chadema hamkushiriki mkutano, acheni walioshiriki waunde timu inayowafaa. Kelele za nini. Nyie tazameni tu ,train ndiyo inaondoka hivyo bila nyie. Akili za kuambiwa na Lissu muwe mnachanganya na zenu.
Mkuu na wewe changanya na za watu wenye maono na hekima
 
Tume ina Mkandala?
Tume ina Hosea?
Tume aina wanaharakati?
 
Kwa ninavyo ona na kuchambua hali halisi ya siasa CHADEMA ina inatisha na inawatatiza watu wengi, wakubwa kwa wadogo, wenye wasomi na wenzangu mimi, matajiri na wanyonge na hata wazalendo na wasio wazalendo.
 
Please remain within the context of the issue.. Chadema wamealikwa wawe sehemu ya mkutano, wamekataa, lakini hapo hapo wanataka wafanye maamuzi ya yanayoendelea ndani ya kikao hicho hicho wao wakiwa nje..Hakuna uhusiano na swali unalouliza
Mkuu bado tu!!
 
Kwa hiyo CHADEMA kwa kuwa hawakuwepo ndio iwe kigezo Cha CCM kuweka Wana CCM kwenye hiyo timu?,

Bado walipaswa kuweka timu inayokubalika na pande zote bila kujali Kama CDM hawakuwepo au walikuwepo.
Tulieni mfundishwe siasa.
 
Hii tume unayopendekeza hapa ndio sahihi na ndio inavyopaswa kuwa. Ila tume huru ya ukweli haiwalipi CCM, hivyo ni lazima wataweka tume kiini macho ya kupunguza pressure, lakini lazima waweke inayolinda maslahi ya CCM. Tume ya aina hii unayopendekeza inaweza kupatikana baada ya kutokea machafuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…