Tafsiri ya tume huru kwako ni ipi mpaka umuone lema akiwa mjumbe .akili za wapi nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumwingiza Jiwe madarakani,ila akikujibu nishitue.Chahali zaidi ya kutangaza kifo cha Magufuli , ambayo haikuwa na faida yoyote hata hivyo , hivi umesaidia nini taifa lako ?
We MB.WIGA wale wabunge 19 kule Bungeni wanakula kodi zetu kwakutambulishwa kama Wabunge wa chama gani ma.tako wewe?Siasa ni mahesabu. Kwa hili crediti ni CCM na ACT. After all ndiyo vyama vikubwa nchini Tanzania. Chadema ni chama chenye mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa. Si mbaya akawaacha vyama vyenye uwakilishi mkubwa wa wananchi wakapanga mambo ya kitaifa kwa niaba yao. Ndiyo democracy by representation inavyotaka.
Kwani MHESHIMIWA POLEPOLE anasemaje kuhusu hili ??
Kwani tume ya uchaguzi ni kwaajili ya chadema au kwa ajili ya nchi?.Hizo akili zako nene ziko wapi kama unashindwa kuelewa jambo dogo kama hilo.Hili jambo raia yoyote wa nchi hii anao uhuru wakulijadili maana linahusu mustakabali wa nchi kwa ujumla.sasa wewe umekalia kuwaza vyama tu.Chadema hamkushiriki mkutano, acheni walioshiriki waunde timu inayowafaa. Kelele za nini. Nyie tazameni tu ,train ndiyo inaondoka hivyo bila nyie. Akili za kuambiwa na Lissu muwe mnachanganya na zenu.
Wanaoona hila kwenye hii process siyo CDM tu hata wananchi wa kawaida. Usiwasingizie CDM kuhalalisha uhuni wa watu wachache kwa ajili ya maslahi yao..Please remain within the context of the issue.. Chadema wamealikwa wawe sehemu ya mkutano, wamekataa, lakini hapo hapo wanataka wafanye maamuzi ya yanayoendelea ndani ya kikao hicho hicho wao wakiwa nje..Hakuna uhusiano na swali unalouliza.
Kwa hiyo "GERESHA BWEGE" huwa haitolewi maoni?Please remain within the context of the issue.. Chadema wamealikwa wawe sehemu ya mkutano, wamekataa, lakini hapo hapo wanataka wafanye maamuzi ya yanayoendelea ndani ya kikao hicho hicho wao wakiwa nje..Hakuna uhusiano na swali unalouliza.
Kama unajua hilo kuwa linahusu mustakabali wa nchi, washaurini CDM wasiwe wanasusa mambo kama haya. Wao kama wawakilishi wa wananchi wawe wanashiriki kwenye michakato hii badala ya kulalamika wakiwa nje.Kwani tume ya uchaguzi ni kwaajili ya chadema au kwa ajili ya nchi?.Hizo akili zako nene ziko wapi kama unashindwa kuelewa jambo dogo kama hilo.Hili jambo raia yoyote wa nchi hii anao uhuru wakulijadili maana linahusu mustakabali wa nchi kwa ujumla.sasa wewe umekalia kuwaza vyama tu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Watu watakubeza lakini ukweli CCM haiwezi kukubali kutoka madarakani kirahisi. Hata kwenye uchaguzi kuna wagombea wengi wa vyama vya upinzani vidogo vidogo ni mamluki/kitengo.Tume inaundwa.
Ina wajumbe 10.
Mmoja mwandishi wa habari.
Mmoja jaji mstaafu
Mmoja mwanaharakati maarufu
Mmoja kiongozi wa dini (Mkristo)
Mmoja kiongozi wa dini (Muislam)
Mmoja kiongozi mstaafu wa chama cha upinzani
Mmoja kiongozi mstaafu wa chama tawala
Mmoja mhadhiri wa chuo kikuu kimoja
Mmoja mwananchi aliyetambulishwa kama mkulima.
Mmoja mwananchi aliyetambulishwa kama mjasiriamali.
Wananchi wanapiga makofi kwa sababu "hakuna mtu wa serikali hapo."
Wasichojua, watu hao 10 wote ni wa kitengo.
And this is how it works.
Na "baadhi ya washirika wenu katika harakati zenu" wapo kazini.
Yes, that is how it works.
Ukitaka kujua sifa zake huyu muulize mangi
😂Chahali zaidi ya kutangaza kifo cha Magufuli , ambayo haikuwa na faida yoyote hata hivyo , hivi umesaidia nini taifa lako ?