Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Doro ni mbumbumbu hajui sheria na taratibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto amesema IGP Siro anapaswa kujiuzuru maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa rais SSH kwa kukataa kumkamata askofu Gwajima.
Na kwa kufanya hivyo Siro amegoma kutii amri toka kwa rais SSH.
Source; StarTV medani za siasa.
hata namba moja kachanjwaZito bhana. Atakua naye kachanjwa bila shaka ndio iko hivi
ZITTO amemaliza mambo ya Ethiopia kule Tigray? ... Au amekula tena Ugoro leo?..
Gwajima si waziri mwenye dhamana na Jeshi la Polisi. Hivyo hawezi kumpa order askari bila kufuata utaratibu. Mbona hawatoi order kwa wanajeshi??
Polisi wako chini ya Wizara ya Mambo ya ndani. so afuate utaratibu tu
Tangu lini?😆😆IgP fakeNampongeza Sirro, bora akubali afukuzwe kuliko kutii amri zisizo na uhalali
He is smartZitto kama kawaida yake, anazima moto kwa petrol, anakaa nasikilizia, hapo anataka achochee ili Mh. Rais asipokuwa makini, ataona IGP kakaidi amri ya Waziri, ili amtimue, hapo Zitto atakenua mimeno ya migebuka hadi mwisho, kumbe IGP yuko sahihi na amefuata utaratibu na kiapo chake. Ila kwa jinsi Gwajima alivyo hovyo nataka akamatwe tu
Kifungu gani hicho kinachopa nguvu ya kumuamrisha IGP huyo waziri
Zitto amesema IGP Siro anapaswa kujiuzuru maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa rais SSH kwa kukataa kumkamata askofu Gwajima.
Na kwa kufanya hivyo Siro amegoma kutii amri toka kwa rais SSH.
Source; StarTV medani za siasa.
Ni jambo jema, next time mawaziri na viongozi wengine watasita kutoa amri kwa mihemko wakiwa majukwaani!! Miaka 5 ya JPM ilikuwa ndiyo tabia yao hii, kitu kidogo kamata huyo weka ndani, bila hata kufuata utaratibu! Hongera IGP! Kwa hulka ya Samia hili nadhani yupo upande wa IGP, kwanza yeye kama Rais hajawahi kutoa amri za kidwanzi kama hizi, hivi hawa mawaziri hadi leo hawajajua Rais huyu si sawa na yule kwenye baadhi ya mambo hasa mihemko ya majukwaani?Nampongeza Sirro, bora akubali afukuzwe kuliko kutii amri zisizo na uhalali
Gwajiboy ni mtu wa kubwabwaja, hajaanza leo!! Mtu kama huyo ni wa kumpuuza, ukianza kupambana naye wote mtaonekana ni vichaa kama yeye alivyoTuhuma anazohusianishwa nazo Gwajiboy kwenye kadhia hii, wewe huzioni?
Vipi Sirro naye hazioni?
Gwajiboy amewatuhumu SSH na vigogo kadhaa hadharani kwa rushwa.
Gwajiboy hapaswi kutakiwa kuthibitisha tuhuma zake?
Acha unafiki nduguZitto amesema IGP Siro anapaswa kujiuzuru maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa rais SSH kwa kukataa kumkamata askofu Gwajima.
Na kwa kufanya hivyo Siro amegoma kutii amri toka kwa rais SSH.
Source; StarTV medani za siasa.
Zitto anawapambanishaZitto amesema IGP Siro anapaswa kujiuzuru maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa rais SSH kwa kukataa kumkamata askofu Gwajima.
Na kwa kufanya hivyo Siro amegoma kutii amri toka kwa rais SSH.
Source; StarTV medani za siasa.
Kwa bashite alipangiwa hadi muda wa kuoga na alitii huku analia.Nampongeza Sirro, bora akubali afukuzwe kuliko kutii amri zisizo na uhalali
Halafu watu wa Mara wanadharau sana wanawake
Gwajiboy ni mtu wa kubwabwaja, hajaanza leo!! Mtu kama huyo ni wa kumpuuza, ukianza kupambana naye wote mtaonekana ni vichaa kama yeye alivyo