Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Ni viongozi wa dini wangapi wanaongea vitu vya kijinga kama Gwajima? Jibu ni kwamba hamna, hajaanza leo kuongea huo upupu wake, mtu kama huyo ni wa kumpuuza!!Huoni hatari ya kuwa na undumila kuwili hapo?
Kumbe ili kuepuka kuwajibishwa dawa yake kujifanya wa kubwabwaja?
Leo hii mambo anayoyaongea yeye wakiongea watu kama Pengo, Kakobe, Gwamanya, Malasusa hapo lazima watu washtuke, lakini siyo huyo jamaa!!
Kama aliweza kuprint matokeo ya Bashite na kuwapa waumini wake wasambaze kama vipeperushi ni nini atashindwa kusema ama kufanya? Hivi mtu anayesema sehemu uliyochanjwa itatokea alama ya 666 ana utimamu hata wa kuhangaika naye?