Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ni jambo jema, next time mawaziri na viongozi wengine watasita kutoa amri kwa mihemko wakiwa majukwaani!! Miaka 5 ya JPM ilikuwa ndiyo tabia yao hii, kitu kidogo kamata huyo weka ndani, bila hata kufuata utaratibu! Hongera IGP! Kwa hulka ya Samia hili nadhani yupo upande wa IGP, kwanza yeye kama Rais hajawahi kutoa amri za kidwanzi kama hizi, hivi hawa mawaziri hadi leo hawajajua Rais huyu si sawa na yule kwenye baadhi ya mambo hasa mihemko ya majukwaani?
Hamna lolote, huyo IGP angeagizwa hata na balozi wa nyumba kumi wa ccm kumkamata mpinzani, angetoa hata gari kumi kutekeleza hayo. Ila kwakuwa ni mwanaccm anajifanya kuna sheria za kufuata. Siku zote poli hujisifia kutii amri toka juu, mbona hasemi barua huwa zinatoka kwa nani?