Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Yaani unalinganisha mwanasiasa vs mwanasiasa na Mwanasiasa vs mkuu wa chombo cha dola ambaye ni mteule wa Rais pia, kweli?!!
Magufuli na zitto walikuwa wanasiasa na ndo maana hata Magufuli alikuwa anawadhalilisha pia wanasiasa wenzie wa upinzani, lakini IGP sirro sio mwanasiasa na kwa kazi yake ya uaskari anatakiwa amtii kwelikweli rais ambaye ni bosi wake pia kule jeshini.