Zitto: IGP amemdhalilisha Waziri Gwajima na Rais Samia

Zitto: IGP amemdhalilisha Waziri Gwajima na Rais Samia

Zitto ni mtalibani anapigania dini.... ni mdini wa kutupwa... Rais angekuwa mkristo ange muunga mkono IGP
 
Weka sheria inayomtaka waziri kuamrisha mbunge(hata kama mbunge aliyeiba kura) kukamatwa?

Hukamatwi kwa sheria 😂😂😂!

Unakamatwa kwa tuhuma.

Hujaziona hapo? Au uko kwenye kwenye kutest mitambo tu, ewe muumini mwaminifu wa Gwajiboy?
 
Kwani kuna ambaye hajui kwanini igp amekataa maelekezo ya waziri?
Haya yote huwa yanadiscussiwa humu jf. Watu hawataki tu kuwa wazi. Lakini sababu zipo wazi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hizo ndio siasa za upinzani ‘making a fuss, about nothing’.

Wahusika wenyewe washayamaliza Zitto yeye anataka kuleta uchonganishi.
 
Akili yako inawaza upande mmoja ndio sababu hujawaza hivyo kuwa Baba Askofu Gwajima alimpinga Jk, akamuunga Mkono JPM na sasa anampinga Samia
Zitto siku hizi ni Pro Mama kwa sababu ya imani yetu ya dini ya Kiislam,ni ndugu kwa Imani.
 
Kuna viumbe hapa duniani wakipata vipesa wanakuwa na mchecheto sana. Uyo gwajima wenu angelikua hana hela sidhani ka angethubutu kumfanyia uyu mama.
 
huyu igp ni fake hasara aliyoisababishia jeshi la police haiwezi kufutika kirahisi
hiatoria ya ujinga wake utadumu kwa miaka 100 ijayo
huyu igp ni fake hasara aliyoisababishia jeshi la police haiwezi kufutika kirahisi
hiatoria ya ujinga wake utadumu kwa miaka 100 ijayo
Hii si busara ya matumizi ya Uhuru wa maoni. Umetumia lugha isiyo na heshima kwa IGP wa nchi.
 
Zitto kama kawaida yake, anazima moto kwa petrol, anakaa nasikilizia, hapo anataka achochee ili Mh. Rais asipokuwa makini, ataona IGP kakaidi amri ya Waziri, ili amtimue, hapo Zitto atakenua mimeno ya migebuka hadi mwisho, kumbe IGP yuko sahihi na amefuata utaratibu na kiapo chake. Ila kwa jinsi Gwajima alivyo hovyo nataka akamatwe tu

Kama Gwajima atakamatwa wewe ukaachwa itakuwa ni kuukosea heshima ubongo. Tumsichukie Gwajima kwa sababu ya Dini,Siasa, Kabila au Mtizamo. Kama kuna sheria kavunja akamatwe ila na wewe pia umeacha tumia akili.
 
Kuna viumbe hapa duniani wakipata vipesa wanakuwa na mchecheto sana. Uyo gwajima wenu angelikua hana hela sidhani ka angethubutu kumfanyia uyu mama.
Kuna viumbe hapa duniani vikikosa pesa na akili vinakosa kabisa. Umaskini ni shida. Mwacheni Gwajima atumie haki yake kikatiba.
 
Hata mimi namshangaa ujue unatakiwa ujiamini na uwe jeuri ukiwa mwoga watakuyumbisha Sana,asipomfukuza huyu IGP nitampuuza rasmi
Mwenda zake aliogopwe mpaka wale aliowatoa jalalani walikua wanahaha kumwita mheshimiwa mungu.
Yule Jamaa kwa kweli alitisha mpaka picha yake ilikua inaogopesha sana. Na Yote ni kwa sababu alikua hachelewi kumtoa mtu aliyemweka yeye. Mamlaka ya Rais ni makubwa sana hivyo anapaswa ayatumie kuhakikisha malengo yake yanatimia kwa haraka na kwa wepesi.

Ni ujinga uliopitiliza kuanza kupambana na wapinzani ambao hawana majukumu toka kwa rais na serikali na kuwaacha watu aliowateua kwa ajili ya kulinda maslahi ya nchi na serikali.
Mfano IGP anapaswa muda wote awe jicho la amiri jeshi mkuu kuhakikisha ndani ya jamii hakuna chokochoko za kimfumo zilizoko nje ya katiba.
Anachofanya Gwajima ni kuleta choko choko na kuvunja katiba mana katiba ipo wazi kuwa serikali yetu haina Dini na haifanyi kazi zake kwa matakwa ya Dini yeyote.

Gajima angekua na dini ya Kristo na sio Makristo asingekubali kura kuibiwa ili awe mbunge. Angesimama kwenye kweli na haki.
Kusimamia haki ni bora kuliko kugomea chanjo moja wakati nyingine zaidi ya tano amechanjwa toka utotoni na watoto wake wanachanjwa.
Ni kuijaribu serikali.

Waafrika ukiwachekea wanapotajirika wanataka kufanya chochote kama Gwajima.
Mwenda zake aliondoa hilo la wenye fedha kusema na kufanya chochote . Alisema wao ndio watakao fanywa chochote.

Sasa mama anatikiswa na watu ambao akiamka asubuhi anawatengua tu na kuwapumzisha au kuwapa ubalozi au kuwabadilishia idara.
Anahangaika na akina Mbowe ambao hakuwateua bali wanafanya majukumu yao ya kukosoa kikatiba.
Gwajima anapinga kwa kutumia Dini jambo linalomsababisha aonekane kuwa anatumia dini kupambana na mipango ya serikali.

Dini yake ni zao la dini za kirumi na sayansi ni zao la kirumi na kigiriki hivyo akipingana na sayansi anapingana na waasisi wa dini yake inayompa utajiri na umaarufu.
Gwajima anapotosha kwa maslahi yake na sio dini.
Yesu alisema kwa wanaoamini hata wakipewa sumu hawatakufa. Sasa Gwajima anaogopa kasindano tu wakati Mungu ni mkuu kuliko sindano !!!
Aachane na upotoshaji kwani alipaswa akazie masuala ya Haki ,uadilifu ,utu,heshima,upendo, utii,uaminifu na ukweli kwa watanzania waliopungukiwa kwa kiwango cha juu sana kwenye mambo hayo.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Dini ni imani ya mtu binafsi haiingiliwi na ili mradi haivunji katiba. Gwajima anatumia haki yake kikatiba. Chanjo ni Hiyari. AnAyechanjwa anajitangaza amechanjwa na asiyechanjwa anajitangaza hajachanjwa sasa kwa nini mwingine alazimishe watu kuchwanjwa? Au kutochanjwa? Jibuni maswali ya Gwajjma. Acheni blah blah.... Jibuni ili ionekane amepotoka wapi... Msianike upumbavu wenu mkitaka watu wakausage wapikie uji.

Mwenda zake aliogopwe mpaka wale aliowatoa jalalani walikua wanahaha kumwita mheshimiwa mungu.
Yule Jamaa kwa kweli alitisha mpaka picha yake ilikua inaogopesha sana. Na Yote ni kwa sababu alikua hachelewi kumtoa mtu aliyemweka yeye. Mamlaka ya Rais ni makubwa sana hivyo anapaswa ayatumie kuhakikisha malengo yake yanatimia kwa haraka na kwa wepesi.

Ni ujinga uliopitiliza kuanza kupambana na wapinzani ambao hawana majukumu toka kwa rais na serikali na kuwaacha watu aliowateua kwa ajili ya kulinda maslahi ya nchi na serikali.
Mfano IGP anapaswa muda wote awe jicho la amiri jeshi mkuu kuhakikisha ndani ya jamii hakuna chokochoko za kimfumo zilizoko nje ya katiba.
Anachofanya Gwajima ni kuleta choko choko na kuvunja katiba mana katiba ipo wazi kuwa serikali yetu haina Dini na haifanyi kazi zake kwa matakwa ya Dini yeyote.

Gajima angekua na dini ya Kristo na sio Makristo asingekubali kura kuibiwa ili awe mbunge. Angesimama kwenye kweli na haki.
Kusimamia haki ni bora kuliko kugomea chanjo moja wakati nyingine zaidi ya tano amechanjwa toka utotoni na watoto wake wanachanjwa.
Ni kuijaribu serikali.

Waafrika ukiwachekea wanapotajirika wanataka kufanya chochote kama Gwajima.
Mwenda zake aliondoa hilo la wenye fedha kusema na kufanya chochote . Alisema wao ndio watakao fanywa chochote.

Sasa mama anatikiswa na watu ambao akiamka asubuhi anawatengua tu na kuwapumzisha au kuwapa ubalozi au kuwabadilishia idara.
Anahangaika na akina Mbowe ambao hakuwateua bali wanafanya majukumu yao ya kukosoa kikatiba.
Gwajima anapinga kwa kutumia Dini jambo linalomsababisha aonekane kuwa anatumia dini kupambana na mipango ya serikali.

Dini yake ni zao la dini za kirumi na sayansi ni zao la kirumi na kigiriki hivyo akipingana na sayansi anapingana na waasisi wa dini yake inayompa utajiri na umaarufu.
Gwajima anapotosha kwa maslahi yake na sio dini.
Yesu alisema kwa wanaoamini hata wakipewa sumu hawatakufa. Sasa Gwajima anaogopa kasindano tu wakati Mungu ni mkuu kuliko sindano !!!
Aachane na upotoshaji kwani alipaswa akazie masuala ya Haki ,uadilifu ,utu,heshima,upendo, utii,uaminifu na ukweli kwa watanzania waliopungukiwa kwa kiwango cha juu sana kwenye mambo hayo.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mwanasiasa ndani ya nchi hii asiye mnafiki.

Hata Madam President naye ni mnafiki tu kama wengine. Anajifanya ana huruma, macho ya upole, sauti ya kubembeleza, lakini kwa ndani ni ana roho ngumu kuliko Jiwe.

Matendo ya Serikali yake yanajionesha yeye ni mtu wa namna gani. Tozo, inflation rate, kesi za ugaidi n.k.
.
IMG_20210821_203837.jpg
 
Watu ambao kwa Tanzania hutakiwi kuwaamini saaana
1.Mwanasiasa
2.Watu wa Kigoma
3.Wachaga
4.Wasukuma
5.Wagogo
6.Wanyakyusa
7.Wahaya
8.Wasomi hasa Maprofesa na Madokta PhD
9.Wasanii hasa bongo Muvi
10.Wamakonde.
Japo nami kundi moja kwenye hiyo orodha yako linanihusu lakini kwa asilimia nyingi nakubaliana na utafiti wako, [emoji848][emoji848][emoji3][emoji3].
 
Afadhali sisi wahehe, wapangwa, wabena, wangoni, hatumo kwenye hiyo orodha. Tupatie basi uongozi ili tuwaongoze kwa ukweli, haki na upendo.

Kuna baadhi ya makabila, sijui ila ndugu zangu wasukuma, kuna shida kubwa. Wanapenda sana kuongea. Kuthamini muda zero, kuheshimu makubaliano zero, ukigeugeu 100%, nidhamu ya kazi zero (leo anaweza kuja kazini, kesho asije kwa sababu ya sherehe, au mganga wa kienyeji alitembelea kwetu, n.k.).

Thubutu! Mna yenu mazito hata nyie!
 
Back
Top Bottom