secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Zitto is a real chameleonWow just wow!! Zitto yupo concerned kuhusu optics tu sasa hiviš¤£
What a fall from grace
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto is a real chameleonWow just wow!! Zitto yupo concerned kuhusu optics tu sasa hiviš¤£
What a fall from grace
Siyo ''kudharirisha'' ni kudhalilisha. Tena unarudia mara mbili mbili. Sijui kwa nini watu wasiojua kuandika maneno ya kiswahili mara nyingi mada zao zinakuwa za kipumbavu! Kuna correlation kubwa sana kati ya IQ na uwezo wa mtu kuandika. Ulisoma shule gani ambayo ulimaliza mpaka darasa la saba huku hujui kuandika neno rahisi kabisa.Mambo ya wanasiasa wa Kiafrika yanatafakarisha sana. Zitto anayefahamika pia kama Ayatola kulingana na majukumu yake ya kimwinyi ACT Wazalendo amesema kuwa IGP amemdharirisha Mh Rais at kwa kile alichodai kukaidi amri iliyotolewa na Waziri wa afya daktari Doroth Gwajima. Kauli hiyo siyo kuwa inatuonyesha ni kwa namna gani Zitto Kabwe ni mnafika lakini pia inaonesha kabisa mtu huyu ni mbinafsi na mtu anayetumiwa na wanaccm wa msoga. Wakali wa uongozi (naweza kuuita pia utawala) wa Magufuli Zitto aliwahi kumuita Magufuli na washirika wake ni WASHAMBA na Malimbukeni. Maneno haya yalikuwa maneno makali na yenye kudharirisha mamlaka ya urais nchini lakini hakuna mtu aliyempelekea police kwa kauli yake hiyo. Je hatuoni kuwa ni dharau pia kwa Zitto kumtaka IGP Siro kumkamata mtanzania kisa tu katoa maoni yake binafsi?
THE LOST, lost and gone.
Wewe ''mama'' ni fiksi kweli kweli. Wakati Magufuli anaugua ulitupiga fiksi mimi nikadhani ni mtu wake wa karibu kabisa.Zitto sijawahigi kumuelewa kabisa.
Kwa kuwa kafuata utawala wa sheria eehš¤£! Hafauti maelekezo mihemkoššš¤£ššš!IGP wa hovyo kabisa
Subiri siku ukamatwe na polisi akili ndiyo zitakaa sawaK
Kwa kuwa kafuata utawala wa sheria eehš¤£! Hafauti maelekezo mihemkoššš¤£ššš!
K
Kwa kuwa kafuata utawala wa sheria eehš¤£! Hafauti maelekezo mihemkoššš¤£ššš!
Hapo namba 10 umegusa penyewe, hao jamaa ni vigeugeu sijapata kuonaWatu ambao kwa Tanzania hutakiwi kuwaamini saaana
1.Mwanasiasa
2.Watu wa Kigoma
3.Wachaga
4.Wasukuma
5.Wagogo
6.Wanyakyusa
7.Wahaya
8.Wasomi hasa Maprofesa na Madokta PhD
9.Wasanii hasa bongo Muvi
10.Wamakonde.
Tuache unafiki wake ila hoja yake si unaona iko vizuri?Mambo ya wanasiasa wa Kiafrika yanatafakarisha sana. Zitto anayefahamika pia kama Ayatola kulingana na majukumu yake ya kimwinyi ACT Wazalendo amesema kuwa IGP amemdharirisha Mh Rais at kwa kile alichodai kukaidi amri iliyotolewa na Waziri wa afya daktari Doroth Gwajima. Kauli hiyo siyo kuwa inatuonyesha ni kwa namna gani Zitto Kabwe ni mnafika lakini pia inaonesha kabisa mtu huyu ni mbinafsi na mtu anayetumiwa na wanaccm wa msoga. Wakali wa uongozi (naweza kuuita pia utawala) wa Magufuli Zitto aliwahi kumuita Magufuli na washirika wake ni WASHAMBA na Malimbukeni. Maneno haya yalikuwa maneno makali na yenye kudharirisha mamlaka ya urais nchini lakini hakuna mtu aliyempelekea police kwa kauli yake hiyo. Je hatuoni kuwa ni dharau pia kwa Zitto kumtaka IGP Siro kumkamata mtanzania kisa tu katoa maoni yake binafsi?
THE LOST, lost and gone.
Subiri siku ukamatwe na polisi akili ndiyo zitakaa sawa
Weka sheria inayomtaka waziri kuamrisha mbunge(hata kama mbunge aliyeiba kura) kukamatwa?Tuhuma anazohusianishwa nazo Gwajiboy kwenye kadhia hii, wewe huzioni?
Vipi Sirro naye hazioni?
Gwajiboy amewatuhumu SSH na vigogo kadhaa hadharani kwa rushwa.
Gwajiboy hapaswi kutakiwa kuthibitisha tuhuma zake?
Sawa BashiteUtakamatwa mwenyewe! Kwangu mimi utasubiri saana!
Nimekusamehe bure!Sawa Bashite
Nitamshangaa Sana Rais asipomfukuza Kazi huyu,Trump alikuwa anakufukuza peupe live bila chenga.Ni kweli IGP amevunja sheria ya Public Health na amekaidi agizo la bosi wake. AJIUZULU AU RAIS AMFUKUZE.
Utamlisha wewe šššš ,subiriaNampongeza Sirro, bora akubali afukuzwe kuliko kutii amri zisizo na uhalali
Ulikuwa unanidai mkuu?Nimekusamehe bure!
Hata mimi namshangaa ujue unatakiwa ujiamini na uwe jeuri ukiwa mwoga watakuyumbisha Sana,asipomfukuza huyu IGP nitampuuza rasmiKosa kubwa alilofanya SSH ni kuonyesha woga na kuogopa walioteuliwa na Mwenda zake. Itamkosti sana.
Mwenda zake hakuogopa mtu yeyote hata angekua nani alisema akamatwe na kutiwa ndani na ikiwezekana kutaifisha mali zake alizopata kwa rushwa na wizi. Hii ilisababisha watendaji wake wote wamuogope ndani ya chama na serikali.
Siro alipaswa atenguliwe mara tu baada ya kuwaruhuhusu wanazengo kuweka njama ya kuichafua nchi kwa kubambikia watu kesi za ugaidi na kumfumbia macho Gwajima atumie dini yake kuwa kama mwongozo kwenye nchi isiyofungamana na dini yoyote.
Kuchanganya dini na siasa kwa misimamo mikali ni jambo la hatari kuliko kudai Katiba Mpya.
Dini ya Gwajima imetoka Ulaya sio Usukumani ,namba 666 imetoka ulaya sio usukumani, Covid 19 imetoka China.
Chanjo etoka Ulaya tangu chajo ya ndui.
Sawa leo Gwajima anatumia dini iliyotoka ulaya kupinga wazungu waliompa PhD na elimu ya dini yao.
Yote anayoyahubiri yameandikwa kwenye mitandao ya Wazungu sio Wasukuma wala wangoni wala wachaga.
Mwamko wa makanisa ya Kilokole ulianzia Marekani na sio Usukumani sasa leo ametumia Elimu na dini za kizungu kutajirika anataka kuwaita wazungu ni Mabeberu ,wauaji, wanyama wa 666. Bila kujua kuwa yeye pia ni 666 mkubwa kabisa na mjanja mjanja mpenda fedha na madaraka huku akiwa anazitumia kujilimbikizia mali kwenye kundi la maskini wanaomzunguka.
Ni bora angetokea Mganga wa kienyeji toka Sumbawanga akapinga Chanjo huyo nisingemshangaa.Ningesema ni mzalendo na mwafrika wa asili.