Zitto: IGP amemdhalilisha Waziri Gwajima na Rais Samia

Zitto: IGP amemdhalilisha Waziri Gwajima na Rais Samia

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Zitto amesema IGP Sirro anapaswa kujiuzulu maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa Rais Samia Suluhu kwa kukataa kumkamata Askofu Gwajima.

Na kwa kufanya hivyo Sirro amegoma kutii amri toka kwa Rais SSH.

Chanzo: StarTV medani za siasa.
 
Zitto kama kawaida yake, anazima moto kwa petrol, alafu anakaa anasikilizia, hapo anataka achochee ili Mh. Rais asipokuwa makini, ataona IGP kakaidi amri ya Waziri, ili amtimue, hapo Zitto atakenua mimeno ya migebuka hadi mwisho, kumbe IGP yuko sahihi na amefuata utaratibu na kiapo chake. Ila kwa jinsi Gwajima alivyo hovyo nataka akamatwe tu
 
Zitto kama kawaida yake, anazima moto kwa petrol, anakaa nasikilizia, hapo anataka achochee ili Mh. Rais asipokuwa makini, ataona IGP kakaidi amri ya Waziri, ili amtimue, hapo Zitto atakenua mimeno ya migebuka hadi mwisho, kumbe IGP yuko sahihi na amefuata utaratibu na kiapo chake. Ila kwa jinsi Gwajima alivyo hovyo nataka akamatwe tu
Akili sana
 
JamiiForums2011088224.jpg
 
Zitto amesema IGP Siro anapaswa kujiuzuru maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa rais SSH kwa kukataa kumkamata askofu Gwajima.

Na kwa kufanya hivyo Siro amegoma kutii amri toka kwa rais SSH.

Source; StarTV medani za siasa.
Nampongeza Sirro, bora akubali afukuzwe kuliko kutii amri zisizo na uhalali
 
Back
Top Bottom