Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Serikali ya umoja wa kitaifa SUK iko.nchi ya ZanzibarHii ni kali.
πView attachment 2805843
Wamewaibia CCM wenzaoBila Uporaji CCM inakufa,hata huyo Mwinyi bila Wizi wa kura asingeingia Ikulu.
Mwinyi aliingia Ikulu kwa umwagaji mkubwa wa Damu za Ndugu zetu wa Visiwani.Wamewaibia CCM wenzao
Hii ni kali.
πView attachment 2805843mnafiki huyu
Zitto ni mjinga sn, alitegemea CCM imuache salama?Hii ni kali.
πView attachment 2805843
Tamaa na rushwa vinamtesa sn ZittoTulimwambia huyu bwege hakuelewa
CCM yeyote haoni tabu kuua sababu ya madarakaMwinyi aliingia Ikulu kwa umwagaji mkubwa wa Damu za Ndugu zetu wa Visiwani.
Na sasa wanaiua Nchi kwa Uporaji na kuliingiza Taifa kwenye Madeni ya kutisha.CCM yeyote haoni tabu kuua sababu ya madaraka
Kuua kwao ni kwenda kuiba mali za ummaNa sasa wanaiua Nchi kwa Uporaji na kuliingiza Taifa kwenye Madeni ya kutisha.
Zitto acha upumbavu,wewe ni CCM B,unataka kutuzuga?Hii ni kali.
[emoji116]View attachment 2805843
Sio kuibakura Kura Tu, wanauwa mpaka raia ili washinde uchaguziBila Uporaji CCM inakufa,hata huyo Mwinyi bila Wizi wa kura asingeingia Ikulu.
Sasa wewe ndugu yangu, Chadema inaingiaje kwenye mjadala na povu lote hilo!.Chadema imejaa wapumbavu wengi sana wanajiona wao ndio wapinzani pekee na wengine wote wanawaona ni CCM! Majinga sana kwa sababu ni vigumu na haiwezekani wapinzani wengine wote wafuate njia zao.
Waache ujinga huo.