Zitto Kabwe: ACT Wazalendo imehujumiwa wazi uchaguzi wa Mtambwe

Zitto Kabwe: ACT Wazalendo imehujumiwa wazi uchaguzi wa Mtambwe

Hii ni kali.
👇

"Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."

View attachment 2805904
Zitto na ACT tumieni approach ile ilemnayoitumia kuaddress issues za Bandari, mafuta, inflation na kadhalika.

Kauli yenu hatuwaelewi mnasemana kusimamia nini.
 
Kwanini asiwaite rafiki zake wa CCM mezani wajadiliane, kuliko anavyowaanika hivi hadharani...
 
Tuhuma za ACTWazalendo ni nzito lakini sio mpya ni yaleyale yanayofanywa na na CCM miaka yote.

Swali langu ni je mbona Washirika wa Demokrasia na haswa Nchi za Magharibi wakiongozwa na USA wako kimya.
 
Hii ni kali.
👇

"Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."

View attachment 2805904
Nyinyi ni tawi la CCM Main, sasa mnaibianaje? Nyie ni kitu kimoja
 
Bila Uporaji CCM inakufa,hata huyo Mwinyi bila wizi wa Kura asingeingia Ikulu.

Walifanya uhuni mkubwa Sana. Wakajaza wanajeshi na polisi, halafu kura ikapigwa siku moja kabla kwa akili ya polisi na wanajeshi. Ule ulikuwa utoto na ukatili wa Hali ya juu. Shida watu husahau mapema.
 
Hii ni kali.
👇

"Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."

View attachment 2805904

Huyu chief Buthelezi akae kimya, si alidai chama chake sio Cha wapiga kelele.
 
Hii ni kali.
[emoji116]

"Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."

View attachment 2805904
Mbwe** wewe, wewe si ulisema wewe huwez kugomea uchaguzi?...,Endelea kulia lia..., CCM kwa CCM mnaibiana....
 
Analalamika nini? Kwani alitegemea jambo la tofauti? Viongozi wa vyama vya upinzani nao ni pasua kichwa, unategemea usawa katika nchi inayotukuza uchawa?

Kweli na hili kosa alitaka kukifanya Mbowe akapigiwa kelele, Sasa hivi atakuwa amelelewa SoMo. Usitegemee huruma kutoka kwa CCM
 
Chadema imejaa wapumbavu wengi sana wanajiona wao ndio wapinzani pekee na wengine wote wanawaona ni CCM! Majinga sana kwa sababu ni vigumu na haiwezekani wapinzani wengine wote wafuate njia zao.
Waache ujinga huo.

CHADEMA imeingiaje hapa?. Tupunguze CHADEMA Syndrome
 
Huyu chief Buthelezi wa kizazi Cha Leo aliwachwka CHADEMA wakati wanajitoa kwenye chaguzi ndogo. Yeye akaamua kushiriki chaguzi zote ndogo, Leo anamlalamikia nani?. Kama sio unafiki na maigizo.

Zitto asubirie huruma ya mama Samiah kumuachia majimbo yote ya Pemba na lile la stonetown na kama atamfurahisha na Jimbo la Kigoma. Aache maigizo asubirie huruma za CCM .
 
Kweli na hili kosa alitaka kukifanya Mbowe akapigiwa kelele, Sasa hivi atakuwa amelelewa SoMo. Usitegemee huruma kutoka kwa CCM
Inahitaji mtu mstaharabu sana kukupa chakula anachoamini ni chake wakati yeye ana njaa kali.

Siasa ya ushindani ni kwaajili ya jamii zilizostaharabika sisi kwetu bado sana. Rais Kikwete aliiweza kwa kiasi chake kwasababu ana ustaharabu hivi.
 
Bila Uporaji CCM inakufa,hata huyo Mwinyi bila wizi wa Kura asingeingia Ikulu.
Hakuna namna ccm itaweza tena kushinda katika uchaguzi halali. Namna pekee ya kuwafanya kuendelea kukaa madarakani ni kwa kunajisi uchaguzi. Machafuko pekee ndio yatarejesha heshima ya box la kura.
 
Back
Top Bottom