Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Daaah unamkana mwenzenu?Mtu anadiriki kusema anaunga mkono chochote watakachofanya CCM huyu sio mtu bali ni baradhuli na fedhuli.
CcM ni mafisadi na madhurato wasio na huruma na wananchi ndio kusema Zitto anaunga mkono ufedhuli na ubaradhuli wa CcM.
Rais na mwenyekiti wa CCM anabariki ufisadi illi watanzania waibiwe na kufanywa wa wajinga. Zitto anaunaga mkono.k
Ni lini aliwahi kuipinga serikali ?Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati
Ni lini aliwahi kuipinga serikali ?
Kuunga mkono juu ya miradi ya maendeleo inayofanywa na serikali ni jambo baya??!! 😱Hii ni mara ya sita anaongea kuhusu kuiunga mkono serikali hii nyizi na onevu kwa wananchi wake ,nikwamba anatafuta huruma ya mama apewe teuzi au?? Maana haeleweki.
We elimu yenyewe huna yakutosha kuajiliwa,jiajili tu binti yangu,Hivyo na sisi tuendelee kuunga mkono juhudi za serikali?
Licha ya tozo juu, bizaa kupanda bei, ukosefu wa ajira na mengine mengi?
Kama ndio ngoja tuendelee kuunga mkono juhudi za serikali
Pumbaf.kama huna chakuchangia pita kimya kimya comments za Aina hii hazina afya Kwa Taifa ohoooHahahaha Zitto bhana yani mpaka aseme kila siku yeye hakuna baya kwenye serikali maana inaongozwa na muislam mwenzetu
Hivi hamkumbuki kwamba Mr Heavy ^Car-bwe^ alimwombea msamaha Mr Hai, lakini ninyi mkaishia kumguyuguza kwa maneno yenu ya vijembe shoka?Imagine ingekuwa kipindi cha Magu then Mbowe yupo ndani....jamaa angeimba udikteta kuliko kawaida.
Leo mama yetu, mtu wetu yupo madarakani so hawezi kumkosoa, anaunga juhudi.
Tatizo la Zitto lilikuwa Magufuli! Baada ya Zitto kutegemea mlaji kutoka kwa Magufuli na akaukosa akawa adui yake! Pia kingine Magufuli ni mkristo na mama Samia muislam!Ok tumemuelewa kuwa Zito tatizo lake ilikua Magufuli na sio yaliyokuwa yanafanyika.
Samia anafanya miradi ile ile ya Magufuli ambayo kipindi kile Zito alikua anaipinga ila sasa ameamua kuisupport.
Well hii tuite nini??
Hazina afya ila inafahamika Zitto ni mdini na ACT wengi ni wavaa madera na doa jeusi usoni!Pumbaf.kama huna chakuchangia pita kimya kimya comments za Aina hii hazina afya Kwa Taifa ohooo
Kwani Zitto ni nani kwenye upinzani hadi uwataje wapinzani kwenye issue za huyo mwana ccm?Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati
Zitto ni zaidi ya mchumia tumbo mkubwa na hajawahi kuwa mpinzani kamwe.Hii ni mara ya sita anaongea kuhusu kuiunga mkono serikali hii nyizi na onevu kwa wananchi wake ,nikwamba anatafuta huruma ya mama apewe teuzi au?? Maana haeleweki.
Kama siasa suo uadui, Been Saanane Yuko wapi? Alipotezwa kwa sababu gani? (Kama sio siasa) Mawazo Alphonce Yuko wapi, aliuawa kwa sababu gani (kama sio siasa), Tundu Lissu alishambuliwa hadharani tena mbele ya CCTV camera, kwa kiburi na jeuri, sababu ilikuwa nini kama sio siasa?Mhe. Zito Kabwe ni Mzalendo wa kweli mwenye uchungu na kuipenda nchi yake kwa dhati ya moyo wake.
ACT ni chama ambacho nakikubali, chama cha siasa kinacho nadi sera mbadala kwa hoja sio matusi wala dhihaka kama walivyo Chadema na Nccr...
Anacho jali ni kuhakikishiwa shibe yake na watawalaVipi kuhusu katiba mpya, vipi kihusu uhuru wamaoni na vipi kuhusu kiheshimu Sheria na katiba yetu, ni yapi maoni japo mepesi ya Zito Zuber
SahihiAnatumikia Ajira yake anayolipiwa mshahara
Labda mzalendo kwenu kazuramimbaMhe. Zito Kabwe ni Mzalendo wa kweli mwenye uchungu na kuipenda nchi yake kwa dhati ya moyo wake...