Utaunga pekee yakoHivyo na sisi tuendelee kuunga mkono juhudi za serikali?
Licha ya tozo juu, bizaa kupanda bei, ukosefu wa ajira na mengine mengi?
Kama ndio ngoja tuendelee kuunga mkono juhudi za serikali
Huyu dogo bora cdm walimtema mapema ni kandumilikuwili ka waziwazi na sio kujificha.Zitto anajiona amefikia level ya kuwa waziri wa fedha. Anachokitafuta ni uteuzi ili akaitumikie serikali.
Kwa hatua aliyofikia anaweza kuwatelekeza wenzake kwenye chama akakimbilia CCM ili akaonje zile za kujipimia na zile za kupiga kwa urefu wa kamba.
God save our country.
Ungeniambia ni mwanatawi la ccm tungeenda sawa.Mhe. Zito Kabwe ni Mzalendo wa kweli mwenye uchungu na kuipenda nchi yake kwa dhati ya moyo wake...
Akosowe na maovu ya chifu hangaya na ccm kwa ujumla ,kwenye jambo zuri lazima tuunge mkono, lakini kwenye upumbavu tuunge mkono ili iweje!?Kuunga mkono juu ya miradi ya maendeleo inayofanywa na serikali ni jambo baya??!! [emoji33]
Kuchi mnazozipata athari zake NI kubwa kwenu nyinyi mmezoea na mmekaririshwa kwamba UISLAM NI UDUNI hivyo mkiiona jamii Yao inastawi roho zinawauma mtakufa Kwa vihoro na njia Bora ya kukuumizeni ni Kwa wao kupiga hatua Zaid za kimaendeleo.Hazina afya ila inafahamika Zitto ni mdini na ACT wengi ni wavaa madera na doa jeusi usoni!
Bora Zitto anaye toa mawazo ya kuijenga Nchi yetu Kuliko Chadema ambao wao kila kukicha wanaionbea Nchi ipate majanga.Ungeniambia ni mwanatawi la ccm tungeenda sawa.
Kwa mujibu wa wewe, wazalendo maslahi ndio rafiki zako kwakuwa ni mmoja wao, ila wazalendo wa kweli ni maadui zakoBora Zitto anaye toa mawazo ya kuijenga Nchi yetu Kuliko Chadema ambao wao kila kukicha wanaionbea Nchi ipate majanga.
kuunga mkono juu ya miradi ya maendeleo ni jambo jema. Inawezekana watu wengi wanatilia shaka uungaji mkono huu wa sasa, kwa kuwa miradi karibu yote inayofanywa sasa ni ile iliyoachwa na awamu ya 5, na wewe ni shahidi kuwa zito alipinga karibia kila mradi wa serikali kipindi kile,ila alivosikia Rais wa sasa anasema atafanya kazi na wapinzani basi anaunga mkono hadi maovuKuunga mkono juu ya miradi ya maendeleo inayofanywa na serikali ni jambo baya??!! [emoji33]
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati
Kuunga mkono Miradi ya maendeleo ni jambo la kipumbavu?!! --- kumbuka hapa mada ni miradi ya maendeleo na Zitto hajasema tuunge mkono katika mambo ya "kipumbavu".Akosowe na maovu ya chifu hangaya na ccm kwa ujumla ,kwenye jambo zuri lazima tuunge mkono, lakini kwenye upumbavu tuunge mkono ili iweje!?
Ndg. @Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo
Vipi kuhusu waletao mengi ya majanga hayo kwa taifa?Bora Zitto anaye toa mawazo ya kuijenga Nchi yetu Kuliko Chadema ambao wao kila kukicha wanaionbea Nchi ipate majanga.
Wafuasi wa Mboe/Chadema wao Furaha yao ni kuona Nchi yetu ikiwa na matatizo, migogoro, maradhi, majanga,Vifo, uchumi unaporomoka, hakuna maendeleo, njaa, yakitokea mambo kati ya hayo utaona Chadema/wafuasi wa mboe wanashangilia kabisaaaa bila hata aibu!!
Ni Maovu yapi ya Serikali ya CCM Zitto anayaunga mkono??!---- "mnyonge mnyongeni lakini haki zake mpeni".kuunga mkono juu ya miradi ya maendeleo ni jambo jema. Inawezekana watu wengi wanatilia shaka uungaji mkono huu wa sasa, kwa kuwa miradi karibu yote inayofanywa sasa ni ile iliyoachwa na awamu ya 5, na wewe ni shahidi kuwa zito alipinga karibia kila mradi wa serikali kipindi kile,ila alivosikia Rais wa sasa anasema atafanya kazi na wapinzani basi anaunga mkono hadi maovu
Acha uchwara!!Hata angekua na PhD kama kuna div.0 ya ndugu wa mwajiri asingepata kazi.Hususani huko serikalini pamoja na jeshini(JWTZ na Polisi)We elimu yenyewe huna yakutosha kuajiliwa,jiajili tu binti yangu,
Ule mkataba wa bandari ya Bagamoyo kulikoni?Ni Maovu yapi ya Serikali ya CCM Zitto anayaunga mkono??!---- "mnyonge mnyongeni lakini haki zake mpeni".
Kweli miradi hii mikubwa ilianzishwa na Magufuli lakini usisahau kuwa huyo Samia ndiye alikuwa Makamu wa Rais wakati huo kwa maneno mengine na yeye alihusika katika kuanzisha miradi hiyo tofauti ni hii...
Huo Mkataba unasemaje?Ule mkataba wa bandari ya bagamoyo kulikoni?
unaposema taarifa ya CAG imewekwa wazi kipindi hiki tu,nako nikuendeleza chuki ulizozikataza mwenyewe.wakati taarifa za CAG zimewekwa wazi mwaka hadi mwaka labda kama kwa hisia zako ulikuwa hukubaliani nazo..kama kigezo cha kuunga mkono ni uwazi kupitia taarifa za CAG,Ni Maovu yapi ya Serikali ya CCM Zitto anayaunga mkono??!---- "mnyonge mnyongeni lakini haki zake mpeni".
Kweli miradi hii mikubwa ilianzishwa na Magufuli lakini usisahau kuwa huyo Samia ndiye alikuwa Makamu wa Rais wakati huo kwa maneno mengine na yeye alihusika katika kuanzisha miradi hiyo tofauti ni hii...
Siasa sio ugomvi wala uadui bali siasa ni kushawishi kwa hoja madhubuti. Chama cha kwanza kuonyesha hiyo dhana kilipaswa kuwa CCM. Badala yake wao wanaendekeza uadui na chuki katika jamii.Mhe. Zito Kabwe ni Mzalendo wa kweli mwenye uchungu na kuipenda nchi yake kwa dhati ya moyo wake.
ACT ni chama ambacho nakikubali, chama cha siasa kinacho nadi sera mbadala kwa hoja sio matusi wala dhihaka kama walivyo Chadema na Nccr...