Mbona huyu anaeleweka ni mzee wa maigizo? Hana madhara yoyote katika uchaguzi wala hakuna mtu wa kuangaika nae. Yeye aendelee na maigizo yake. Kama ni gerezani labda ajipeleke mwenyewe.
Na wewe umemuamini Ayattolah!!
Wakati wapinzani wanaondoka bungeni kupinga hotuba ya dikteta Magufuli baada ya Maalim Seif kuporwa ushindi Zanzibar , Zitto alibaki bungeni na kusifiwa sana na Dikteta Magufuli , tulimuonya kwamba Shetani hana rafiki lakini akatupuuza
Hawa jamaa wakati mwingine wako kama wamechanganyikiwa. Mara Tanzania hatuna tume huru ya uchaguzi, mara CCM wanaiba kura! Sasa kama tuna tume inayosaidia CCM kuiba wataogopa nini mpaka wamweke ndani? #kuchanganyikiwa.Na wewe umemuamini Ayattolah!!
Magufuli ni udongo Kama Binadamu wote tulivyo, mwache atimize kazi za Shetani alizotumwa kutoka kuzimu kabla hajarudi udongoni
Exactly, na ni mwaka huu huuAtakufa tena ghafla kwa shinikizo la juu la damu
Huyu jamaa amekuwa kama mfaa maji tu..watu wamempuuza kabisa..hopeless
Kama watendaji wote wa kata wa tz nzima waliwahi kuhamia Ikulu kupewa mbinu za kuharibu form za wagombea wa upinzani, takukuru nzima kuhamia kigoma itashindikanaje??Ofisi nzima ya makao makuu ya Takukuru imehamia Kigoma?!!
Huu ni urongo!
Mimi natamani iwe leo hiiI can't wait to hear that...natamani iwe week ijayo
Huyo KUB Mbowe pale Hai anashughulikiwa na DC tu akisaidiwa na Takukuru Wilaya ndio ije kuwa huyu bwana mdogo Zitto.Kama watendaji wote wa kata wa tz nzima waliwahi kuhamia Ikulu kupewa mbinu za kuharibu form za wagombea wa upinzani, takukuru nzima kuhamia kigoma itashindikanaje??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba ile betri itaisha chaji ghafla?Atakufa tena ghafla kwa shinikizo la juu la damu
Wanaruhusu watu kujipeleka kule kweliMbona huyu anaeleweka ni mzee wa maigizo? Hana madhara yoyote katika uchaguzi wala hakuna mtu wa kuangaika nae. Yeye aendelee na maigizo yake. Kama ni gerezani labda ajipeleke mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ukonga uwaulize mkuu.Wanaruhusu watu kujipeleka kule kweli
atakufa kifo cha aibuHuyo Magu atakaa milele?
Kwani wewe siku hizi hauko pale
Umetisha aiseeI can't wait to hear that...natamani iwe week ijayo