UdiniZitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.
Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.
Udini na ukabila. Zitto ni mdini sana.Udini wa kujifanya anasifia ubovu wa mama Samia
Tatizo baadhi ya watu ni wadini zaidi ya kuwa wanasiasaZitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.
Zitto ni mdini sn watu hawamjui, Ingekuwa Kalemani ni Waziri nchi ipo gizani ange bwabwanja haswaZitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.
Wewe chizi kweli umewehuka. Magufuli angetukanwa na ZItto si angemtwanga risasi mchana kweupe? hembu tukumbushe zitto alifunguliwa kesi ngapi wakati wa magufuliLaana ya kumtukana Magufuli
Wao CDM ✔️Sisi CDM ❌Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano
---
Ushauri wa kisiasa: Act Wazalendo mfukuzeni Zitto sio mpinzani halisi. Sisi Chadema tulimtimua baada ya kujua ni msaliti
Sisi tulishutuka tukamtimua.Zito kapewa hela za kujenga ofisi ya ACT, watu wanategemea ataongea nini? CDM walikuwa sahihi kumtimua. Wapemba ndio walikuwa hawajamjua, ila kuna baadhi wameanza kumstukia. Ni suala la muda tu Wapemba watataka awape maelezo kama yeye ni ndege ama ni popo.
Acha upuuziWao CDM ✔️Sisi CDM ❌
Zitto ni mdini sanaTatizo baadhi ya watu ni wadini zaidi ya kuwa wanasiasa
CCM hamuwezi kumtimua mwanachama wenu.Sisi tulishutuka tukamtimua.
Kwani hao viongozi na wanachama wa ACT hawana midomo ya kuikosoa Serikali? Kila binadamu ana akili zake na katiba inatambua uhuru wa maoni. Hakuna haja ya kumsubiri Zitto kabwe akosoe kitu ambacho mwanachama binafsi anaona hakiendi sawasawa.Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.