Zitto Kabwe adaiwa kutupiwa lawama na viongozi ACT Wazalendo kwa kushindwa kuikosoa Serikali

Zitto Kabwe adaiwa kutupiwa lawama na viongozi ACT Wazalendo kwa kushindwa kuikosoa Serikali

Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.

giphy.gif
 
Udini wa kujifanya anasifia ubovu wa mama Samia
Udini na ukabila. Zitto ni mdini sana.

Kumbuka kipindi anaingia Samia, ulikua ukimkosoa Zitto anasema kwa sababu ni mwanamke muislamu ndio maana mnamkosoa.

Ukiangalia Katibu mkuu kiongozi ni muislamu na muha kama Zitto kutoka kigoma, samia muislamu, hutaweza kusikia akikosoa serikali hata wamuue.

Wanasiasa wa hovyo kama hawa nyakati zitawakataa tu na zinaanza kuwakataa.
 
Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.

Zitto ni mdini sn watu hawamjui, Ingekuwa Kalemani ni Waziri nchi ipo gizani ange bwabwanja haswa
 
Laana ya kumtukana Magufuli
Wewe chizi kweli umewehuka. Magufuli angetukanwa na ZItto si angemtwanga risasi mchana kweupe? hembu tukumbushe zitto alifunguliwa kesi ngapi wakati wa magufuli
Magufuli hana uwezo wa kumlaani mtu kwakuwa yeye mwenyewe alilaaniwa kwa damu za watu alizomwaga pasi na hatia.
Mungu fundi
 
Zitto na Mbowe mzee wa maridhiano lao ni moja 😀😀😀😀 sasa hv wapo na sega hawawezi kusema kitu
 
Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano

---
Ushauri wa kisiasa: Act Wazalendo mfukuzeni Zitto sio mpinzani halisi. Sisi Chadema tulimtimua baada ya kujua ni msaliti

Wao CDM ✔️Sisi CDM ❌
 
Zito kapewa hela za kujenga ofisi ya ACT, watu wanategemea ataongea nini? CDM walikuwa sahihi kumtimua. Wapemba ndio walikuwa hawajamjua, ila kuna baadhi wameanza kumstukia. Ni suala la muda tu Wapemba watataka awape maelezo kama yeye ni ndege ama ni popo.
 
Opposition party acting bluntly,
Tanzania 😤
 
Zito kapewa hela za kujenga ofisi ya ACT, watu wanategemea ataongea nini? CDM walikuwa sahihi kumtimua. Wapemba ndio walikuwa hawajamjua, ila kuna baadhi wameanza kumstukia. Ni suala la muda tu Wapemba watataka awape maelezo kama yeye ni ndege ama ni popo.
Sisi tulishutuka tukamtimua.
 
Zitto ametupiwa lawama na baadhi ya viongozi wenzake ndani ya ACT Wazalendo kwa kile walichoeleza kuwa pamoja na Nchi kuingia gizani kwa ukosefu wa umeme, amekuwa kimya kuzungumza matatizo yanayowakabili wananchi kama alivyokuwa kinara kuikosoa Serikali ya awamu ya Tano.

Kwani hao viongozi na wanachama wa ACT hawana midomo ya kuikosoa Serikali? Kila binadamu ana akili zake na katiba inatambua uhuru wa maoni. Hakuna haja ya kumsubiri Zitto kabwe akosoe kitu ambacho mwanachama binafsi anaona hakiendi sawasawa.
 
Back
Top Bottom