Zitto Kabwe amdhihaki Tundu Lissu kwa kumuita CHIBA. Aomba radhi baada ya kulalamikiwa

Zitto Kabwe amdhihaki Tundu Lissu kwa kumuita CHIBA. Aomba radhi baada ya kulalamikiwa

Ameomba radhi! Seems alijua ni jina la utani lakini hakujua linahusishwa na ulemavu. Itakuwa ajabu hili tukitaka kulifanya topic.

Nashauri likomee hapo, kulizungumza zaidi halitamuumiza tu Zitto bali hata ndugu yetu. Mengine tuache yapite.
Hana adabu,hivi Zito ni kuokota,Neno mtaaani aanze kulitumia Ttu...huuu alizoea kumwita mamake Chiba!
 
Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.

Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau

Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno ''CHIBA'' kama linamaanisha mlemavu, bali alijua ni maneno ya vijana tu

Nukuu
Kwa kweli sikufahamu kama jina Chiba linahusiana na ulemavu. Nilidhani ni majina ya Vijana ya kutaniana. Mama yangu mzazi alikuwa mlemavu kamwe siwezi kutweza ulemavu wa Mtu. Naomba radhi sana Kwa hili. Hakika Sio Sawa. Uzee umeingia tunapitwa na majina ya mtaani. Mniwie radhi

naman chadema walivyomshambulia na maneno waliyoyatoa, nimeamini chadema wana roho mbaya sana. kwasababu wameanza kumtukana marehemu mamake kwanza kwamba na yeye alikuwa kilema. kina boniface wa ubungo n.k wengi, na sijaona tofauti kati ya kile alichokifanya na kile ambacho wao pia wamefanya dhidi ya marehemu mamake. hivi kwanini cdm mnakuwa na mhemko na chuki hivi? ni kwasababu ya kukosa madaraka? zito kaomba radhi lakini hakuna cdm hata mmoja atakayeomba radhi kwa kumtukania marehemu mamake aliyekuwa mlemavu. kwa macho watu wanaonekana wastaarabu lakini wana chuki na roho ngumu kuiliko hata ccm.
 
mimi sio fun wa zitto, lakini naamini angekuwa anajua maana ya neno hilo, wala asingelitumia. tumpe benefit of doubt. hata mimi nilikuwa sijui neno hilo hadi leo baadaya kuona mjadala. watz wengi tu pia walikuwa hawajui hii kitu.
 
Kiburi Cha ndugu yetu Zitto Kabwe kimekuwa kikubwa Sana
Juzi alituita tunaotaka katiba mpya hatuna ubongo na Leo kamuita Tundu Lissu Chiba akiwa na maana ya mlemavu. Yaani inaonekana Zitto alifurahia saana Lissu aliposhambuliwa kwa risasiView attachment 2152717
Yeye mwenyewe lisu alijiita chiba
 
Kiukwel Zitto kakosea sana kama ndio alimdhamiria mwenzie na kumuita namna hyo

Lakini pia kabla ya kumuhukumu Zitto tujiulze ni watu wangapi hudhihakiwa humu au kwenye mitandao

Magu alidhihakiwa kwa kichwa chake na mengne

Ndugai alidhihakiwa kwa kuambiwa kakatwa vidole na kupewa majina ya hovyo sana humu humu

Tulia alidhihakiwa kwa rangi yake na wembamba wake

Mbowe alidhihakiwa kwa macho yake hata huyo Zitto alidhihakiwa kwa sura yake

List ni ndefu sana lakini nataka niseme tu tujifunze kuheshimiana maana unapofurahia mtu fulani kubezwa kwa muonekano au ulemavu wake

Usije kukasirika umpendae akisemwa.
 
mimi sio fun wa zitto, lakini naamini angekuwa anajua maana ya neno hilo, wala asingelitumia. tumpe benefit of doubt. hata mimi nilikuwa sijui neno hilo hadi leo baadaya kuona mjadala. watz wengi tu pia walikuwa hawajui hii kitu.
Uliwahi kulitumia...Kwa MTU ya level yake ni aibu,ku,okoteza maneno!
Amenikimbusha Kuna mama Moja mtaani alikuwa anawaiga vijana was sokoni kisema ...Laani kama unanawa😁😁 bila ya kuelewa maana yake!
 
Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.

Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau

Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno ''CHIBA'' kama linamaanisha mlemavu, bali alijua ni maneno ya vijana tu

Nukuu
Kwa kweli sikufahamu kama jina Chiba linahusiana na ulemavu. Nilidhani ni majina ya Vijana ya kutaniana. Mama yangu mzazi alikuwa mlemavu kamwe siwezi kutweza ulemavu wa Mtu. Naomba radhi sana Kwa hili. Hakika Sio Sawa. Uzee umeingia tunapitwa na majina ya mtaani. Mniwie radhi

Huyu jamaa ni mpumbavu sana yeye ana UKOMA hamna mtu anae mdhihaki

Hujafa hujaumbika kauli yake kunasiku itamrudia amesahau kilema cha uso wake

Lissu hakuomba kupigwa risasi kama ambavyo yeye hakuomba kuugua UKOMA

Mtizameni uso wake ulivyo ni CHIBA tosha mpumbavu kabisa huyu jamaa mijitu ya Kigoma bana sijui ipoje
 
Kuomba radhi ni swala moja kukubaliwa ni swala jingine.

Viongozi wajifunze kuwajibika pale wanapokosea, Ni aibu kwa kiongozi kariba ya Zitto kutamka maneno kama haya.

Hata CCM pamoja na kebehi zao zote kwa upinzani sijawahi kuwasikia wakimdhihaki Lissu kwa ulemavu wake.
Hivi kwa kejeli anazotoa Lissu kwa wengine lini kaomba radhi?Dr.Slaa kuondoka Chadema Lissu alikshambulia sana lakini alionekana shujaa
 
Zitto alisahau kuswitch account. Akajua anatumia ile account yake nyingine ya twitter yenye jina la kike anayotumiaga kudiss viongozi wa CDM.
 
Mi naamini kateleza kwa kutokujua maana.
Niliwahi enda mtaa mmoja nikawa namuulizia kijana fulani kwa vijana wenziwe.

Wakawa nao wananiuliza huyo jamaa ni chiba?
Chiba!? Nikawa nashangaa tu,bila kuelewa maana ya chiba,
Mmoja akagundua akanifafanulia ni mlemavu wa mguu?
Nikamwambia hpn yuko kawaida tu.

Ndo nikafahamu pale maana ya chiba,
Sasa mm ninaeshinda mtaani sikuwa nafahamu.
Je huyo mwenye v8 na office ya ac?
 
Anamsema mlemavu WA miguu wakati yeye ni mlemavu WA ngozi 🙄🙄🙄
 
Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.

Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau

Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno ''CHIBA'' kama linamaanisha mlemavu, bali alijua ni maneno ya vijana tu

Nukuu
Kwa kweli sikufahamu kama jina Chiba linahusiana na ulemavu. Nilidhani ni majina ya Vijana ya kutaniana. Mama yangu mzazi alikuwa mlemavu kamwe siwezi kutweza ulemavu wa Mtu. Naomba radhi sana Kwa hili. Hakika Sio Sawa. Uzee umeingia tunapitwa na majina ya mtaani. Mniwie radhi

Mama yake alikua chiba wa kuzaliwa bila fimbo haendi,zito ni kirusi ila iko siku ccm watamtoa kafara
 
Hujafa hujaumbika!

Kwa jinsi Zitto Kabwe alivyo siyo busara kumkejeli mwenzake kwani naye ana hitalafu nyingi tu mwilini mwake, ajiheshimu.

Labda kama hakusema ila wanamsingizia.

Kiuhalisia Chiba ni mtu aliyezaliwa akiwa na miguu isiyolingana.
Kama mama yake mzazi
 
Back
Top Bottom