Zitto Kabwe amefeli sana kwenye siasa tangia arubuniwe kuisambaratisha CHADEMA amekwenda ACT hana tena mvuto ameamua kustaafu

Zitto Kabwe amefeli sana kwenye siasa tangia arubuniwe kuisambaratisha CHADEMA amekwenda ACT hana tena mvuto ameamua kustaafu

KILA ATAKAYEJARIBU KUIUA CHADEMA ATAKUFA YEYE CHADEMA ni mpango wa MUNGU

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Watu sijui Mungu mnamchukuliaje!
Utasikia, JPM ni mpango wa Mungu, Samia ni mpango wa Mungu. Na wewe unasema chadema ni mpango wa Mungu. Mipango yenu wanadamu mnamsingizia Mungu. Sasa kama chadema ni mpango wa Mungu angekubali maccm yaendelee kutawala nchi?
 
Naelewa unachosema, lakini kumbuka Mbowe naye alialikwa kutumia umaarufu wake kuchangisha fedha kujenga kanisa. Kwa muktadha huo isingewezekan yeye achangishe halafu asiseme nani katoa kiasi gani. Samia Suluhu ni rais lakini ni mtanzania kama wengine.

Wengi walichangia lakini kwasababu ya umaalumu wake na kwakuwa wanatoka kambi mbili hasimu, mchango wa SSH ulionekana zaidi, na hasa pale ambapo Mbowe ndiye aliyeutangaza.

Kwanza ni majiriwa kwa nafasi yake kwa sababu analipwa mshahara. hivyo sielewi kwanini kuchangia kwake iwe Tatizo.

Pia kumbuka hii ni Tanzania lolote linaweza kuwa sahihi, pesa zimetoka wapi hata mimi sielewi ila nimejibu kwa mtizamo wangu siyo fact.

Anyway nisionekane namtetea lakini najiribu kuona mbali jinsi CCM wanavyoshambulia na kuwafanya watu waone wanvyotaka waone.
Rais kuchangia ujenzi wa kanisa katika nchi secular ni tatizo.

Rais kualikwa na kiongozi wa upinzani kufanya hivyo ni tatizo zaidi.

Rais kuchangia hela zisizojulikana chanzo chake vizuri ni tatizo.

Justice must not only be done, it must appear to be done.

Appearances matter. Leaders must not be corruption free, they must appear to be corruption free.Caesars wofe must be above suspicion.

Mbowe failed that test.

Siwezi kuwalaumu wanaosema kapewa asali, Mbowe mwenyewe katengeneza mazingira ya kuonekana hivyo.
 
Watu wamemgeuza Zitto punching bag ya kuvent frustrations zao!. Pambaneni na watoa taarifa kwenye vyama vyenu!

Hao akina Mbowe a.k.a mwenyekiti wa maisha wametufikisha wapi?
Kwani wewe ulikuwa unaenda wapi na nauli yako ulimpa nani?
 
Msaliti hana maisha marefu kwenye siasa. Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo waliandaa njama yakuivuruga CHADEMA , wakakamatwa na kufukuzwa. Akaenda kuanzisha chama chake kwa lengo lakuisambaratisha chadema . Amepambana awezavyo ameshindwa imemlazimu aamue kung'atuka chama kisife mikononi mwake.

Lakini alikuwa anakubalika sana kwenye jamii, leo hakuna mtu anayefuatilia siasa zake. Ameungana rasmi na akina Cheyo na Lipumba.

Waliomtuma kuivuruga chadema bado wanamfadhili au walishatumbuliwa ? Alifaidika nini na huo usaliti?
Anataka kugombea U-Rais mwakani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zitto aliambiwa atakuwa mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, akaambiwa atafikishwa mbali kisiasa . Alishindwa kufahamu wanaomlaghai hata uwezo wa ubongo anawazidi

Leo wale wote waliomlaghi wamefurushwa kwenye ulingo wa siasa amebaki bila focus

Na hapa ndipo akiba Halima Mdee wanapojutia hadi sasa, sehemu sahihi kwao ilikuwa chadema....leo hii hata wakipewa uwaziri bado lengo lao kuu litakuwa halijatimia kisiasa.... Walitumia muda mwingi kujijenga kulikomboa Taifa mikononi mwa CCM leo wameshindwa kuendelea na mapambano wananchi wamewafuta kwenye kumbukumbu za ukombozi
 
Watu wamemgeuza Zitto punching bag ya kuvent frustrations zao!. Pambaneni na watoa taarifa kwenye vyama vyenu!

Hao akina Mbowe a.k.a mwenyekiti wa maisha wametufikisha wapi?
Wamuache zitto ajilie vyake kwa sasa. Ameshagundua huwezi shindana na ukuta. So ameamua kujilia ruzuku kimya kimya wanataka aanze mapambano na mitanzania yenyewe ndo hii.
 
Kusaafu kuwa kiongozi wa chama hakumaanishi kastaafu siasa.

Zitto si bwege kama wewe. Zitto ana malengo na pia anatazama maslahi yake. Ujuwe hapo tayari kanusa neema kwengine.
 
Bora Zitto kuliko hao wanaoijdai ni wapambanaji kumbe wasanii tu!
Tangu wamkwamishe Mwabukusi hawa jamaa nawaona ni wasanii tu ktk mapambano ya kuing'oa CCM
 
Msaliti hana maisha marefu kwenye siasa. Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo waliandaa njama yakuivuruga CHADEMA , wakakamatwa na kufukuzwa. Akaenda kuanzisha chama chake kwa lengo lakuisambaratisha chadema . Amepambana awezavyo ameshindwa imemlazimu aamue kung'atuka chama kisife mikononi mwake.

Lakini alikuwa anakubalika sana kwenye jamii, leo hakuna mtu anayefuatilia siasa zake. Ameungana rasmi na akina Cheyo na Lipumba.

Waliomtuma kuivuruga chadema bado wanamfadhili au walishatumbuliwa ? Alifaidika nini na huo usaliti?IZitto
Zitto ataendelea kuwa kiongozi wa ACT , hata kama hatatumia jina la cheo cha Kiongozo mkuu. Subiri uchaguzi wao halafu uone kitakachoendelea. Ambacho watu hawaelewi safari hii atakuja na unafiki kwaxgia gani.

Unafiki wa Zitto sio wa karne hii ni wa karne ijayo.
 
Ukisikia ujinga WA kukaririshwa, basi ndio huu. Tatizo la Chadema na viongozi wake Mashuhuri na shupavu, halikuanza na Akina Zitto, hebu fuatilia tokea chama kuanzishwa, kila akitokea mpambanaji mzuri na akapata umaarufu mkubwa na kupenda, na kama hatokei maeneo ya mlima K, basi lazima wafanyiwe mizingwe Hadi watimuliwe na waitwe wasaliti. Haya tungojee ya List nayo yatakuwaje
 
Rais kuchangia ujenzi wa kanisa katika nchi secular ni tatizo.

Rais kualikwa na kiongozi wa upinzani kufanya hivyo ni tatizo zaidi.

Rais kuchangia hela zisizojulikana chanzo chake vizuri ni tatizo.

Justice must not only be done, it must appear to be done.

Appearances matter. Leaders must not be corruption free, they must appear to be corruption free.Caesars wofe must be above suspicion.

Mbowe failed that test.

Siwezi kuwalaumu wanaosema kapewa asali, Mbowe mwenyewe katengeneza mazingira ya kuonekana hivyo.
Rais ni mtanzani kwa utanzania wake aliona ni vyema kushiriki kuchangia kanisa kwasababu hao ndio hutumika kutangaza amani, hivyo ni sehemu yake ku promote peace. Kumbuka rais hakualikwa, ilikuwa ni harambee/fund raising yeyote mwenye utashi alichangia, live cash au kwa bahasha, au ahadi.

Chanzo cha pesa siwezi kukielezea kwasababu sifahamu. Ila kwa kanisa wao wanataka pesa, sasa kuanza kuchunguza kila mchangiaji katoa wapi pesa sijui kama hilo linawezekana hasa kwa nchi kama Tanzania, watu wana miliki mali zaidi ya vyanzo vyao halali vya mapato, na inaonekana ni sawa. Hivyo sioni kama ni jukumu la kanisa kuhoji, kwa mtizamo wangu hili ni swala la serikali na vyombo vyake.

Justice gani must be done, nchi hii we have laws but no justice and it seems to be ok, alaumiwe nani Mbowe, au Kanisa?

Hili la kusimamia sheria na vyombo vya utoaji haki kama mahakama na mabaraza ya usuluhishi ni jukumu la serikali. Lakini wewe na mimi tunaelewa ni jinsi gani sheria zina operate, sheria na vyombo vya,utoaji haki kama mahakama vina macho, vinachagua ni kwa nani sheria itumike vipi, na ni kwa nani haki itolewe na kwa nani isitolewe.

Laws must be blind, but not in Tanzania.

Mbowe anajengewa mazingira aonekane kapokea rushwa, aonekane kaisaliti chadema, lakini ukiangalia vizuri utaona ni propaganda za ccm tu. Wamemshindwa, sasa wanatumia njia haram au siasa za maji taka.

Mbowe hasn't failed, kuongoza chama kisichokuwa na vyanzo vya mapato, unaitegemea serikali ikupe ruzuku na michango ya wanachama ni ngumu. Hasa unapopambana kuiondoa hiyo hiyo serikali, kwasababu Tanzania serikali na ccm are the same.

But he has played his part, kaijenga chadema imekuwa chama kikubwa.

Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa ina vyama siyo chini ya 27 vyenye usajiri wa kudumu, ni vingapi viko active? Kwanini?
Utaelewa ukifuatilia kwanini hata vinasajiriwa, vinatumika tu kubariki wizi wa ccm miaka nenda rudi.

Mbowe anatengenezewa uongo, na haukuanza leo.

Cecil Mwambe alipewa mguvu na ccm agombee uenyekiti CHADEMA wakati aliisha tangaza kuondoka chadema, aloposhindwa wakasema Mbowe ni dictator. Waka mchukuwa Silinde, wakampa ubunge na unaibu waziri wakamsingizia Mbowe mbinafsi.

Ccm wamemshindwa Mbowe na hata hili watashindwa, subiri muda ufike utaelewa naongea nini?.
 
Back
Top Bottom