Rais kuchangia ujenzi wa kanisa katika nchi secular ni tatizo.
Rais kualikwa na kiongozi wa upinzani kufanya hivyo ni tatizo zaidi.
Rais kuchangia hela zisizojulikana chanzo chake vizuri ni tatizo.
Justice must not only be done, it must appear to be done.
Appearances matter. Leaders must not be corruption free, they must appear to be corruption free.Caesars wofe must be above suspicion.
Mbowe failed that test.
Siwezi kuwalaumu wanaosema kapewa asali, Mbowe mwenyewe katengeneza mazingira ya kuonekana hivyo.
Rais ni mtanzani kwa utanzania wake aliona ni vyema kushiriki kuchangia kanisa kwasababu hao ndio hutumika kutangaza amani, hivyo ni sehemu yake ku promote peace. Kumbuka rais hakualikwa, ilikuwa ni harambee/fund raising yeyote mwenye utashi alichangia, live cash au kwa bahasha, au ahadi.
Chanzo cha pesa siwezi kukielezea kwasababu sifahamu. Ila kwa kanisa wao wanataka pesa, sasa kuanza kuchunguza kila mchangiaji katoa wapi pesa sijui kama hilo linawezekana hasa kwa nchi kama Tanzania, watu wana miliki mali zaidi ya vyanzo vyao halali vya mapato, na inaonekana ni sawa. Hivyo sioni kama ni jukumu la kanisa kuhoji, kwa mtizamo wangu hili ni swala la serikali na vyombo vyake.
Justice gani must be done, nchi hii we have laws but no justice and it seems to be ok, alaumiwe nani Mbowe, au Kanisa?
Hili la kusimamia sheria na vyombo vya utoaji haki kama mahakama na mabaraza ya usuluhishi ni jukumu la serikali. Lakini wewe na mimi tunaelewa ni jinsi gani sheria zina operate, sheria na vyombo vya,utoaji haki kama mahakama vina macho, vinachagua ni kwa nani sheria itumike vipi, na ni kwa nani haki itolewe na kwa nani isitolewe.
Laws must be blind, but not in Tanzania.
Mbowe anajengewa mazingira aonekane kapokea rushwa, aonekane kaisaliti chadema, lakini ukiangalia vizuri utaona ni propaganda za ccm tu. Wamemshindwa, sasa wanatumia njia haram au siasa za maji taka.
Mbowe hasn't failed, kuongoza chama kisichokuwa na vyanzo vya mapato, unaitegemea serikali ikupe ruzuku na michango ya wanachama ni ngumu. Hasa unapopambana kuiondoa hiyo hiyo serikali, kwasababu Tanzania serikali na ccm are the same.
But he has played his part, kaijenga chadema imekuwa chama kikubwa.
Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa ina vyama siyo chini ya 27 vyenye usajiri wa kudumu, ni vingapi viko active? Kwanini?
Utaelewa ukifuatilia kwanini hata vinasajiriwa, vinatumika tu kubariki wizi wa ccm miaka nenda rudi.
Mbowe anatengenezewa uongo, na haukuanza leo.
Cecil Mwambe alipewa mguvu na ccm agombee uenyekiti CHADEMA wakati aliisha tangaza kuondoka chadema, aloposhindwa wakasema Mbowe ni dictator. Waka mchukuwa Silinde, wakampa ubunge na unaibu waziri wakamsingizia Mbowe mbinafsi.
Ccm wamemshindwa Mbowe na hata hili watashindwa, subiri muda ufike utaelewa naongea nini?.