Zitto Kabwe amefeli sana kwenye siasa tangia arubuniwe kuisambaratisha CHADEMA amekwenda ACT hana tena mvuto ameamua kustaafu

Kama amefeli ebu niambie leo hii Chadema Ina wabunge wangapi?
Kwa uchaguzi gani? Yale maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura nayo unaweza ukatoka kuhoji idadi ya wabunge wa Chama chochote?!
 
Chadema sio Zito na act wewe bwege kama huamini njoo huku kisesa jimbo alilopewa kwa nguvu luhaga mpina baada ya kugongwa na Kishabi wa chadema. Act huku hata bendera haijulikani.
 
Kifuteni chama chenu kisifanye siasa. Mnaweza mkakifanya kikawa kinaanda sherehe za unyago na jando na kitchen party. Siasa waachieni CCM.
 
Kisesa lipo chini ya CCM na litaendelea kubaki chini ya CCM. Mabwege kama babaako hawawezi kuishinda CCM kwenye uchaguzi.
 
Kifuteni chama chenu kisifanye siasa. Mnaweza mkakifanya kikawa kinaanda sherehe za unyago na jando na kitchen party. Siasa waachieni CCM.
Ccm hawawezi siasa, Bali ni vinara wa siasa chafu hapa nchini. Sisi sio waumini wa siasa chafu ndio maana hatutaki ccm iendelee kubaki madarakani.
 
Hutaki kupiga kura halafu unadai utaiondoa CCM madarakani? Labda unaota!!
 
Mbowe anashutumiwa kwa kuhodhi madaraka na kutostaafu, anatakiwa astaafu.

Zitto anashutumiwa kwa kustaafu.

Lawama haziishi. Ukistaafu, usipostaafu, lawama tu.
Pamoja na kuwa kisiki wa ubishi kumbe kuna wakati unajiropokea?

Zitto halalamikiwi kustaafu bali kukosa mvuto uliotokana na usaliti kiasi cha kushindwa au kukosa mvuto kulikompelekea kuachia ngazi
 
Zitto halalamikiwi kustaafu wapi? Umesoma posts zote ukaona Zitto hajalalamikiwa kwa kustaafu?

Umesoma hata heading ya thread?

Mimi nimejibu kwa kuanzia na sehemu mtoa mada alipoandika hivi.

"Amepambana awezavyo ameshindwa imemlazimu aamue kung'atuka chama kisife mikononi mwake."

Kwani Zitto hawezi kung'atuka kwa sababu za kifalsafa kwamba hapendi chama kiwe na kiongozi mmoja miaka nenda rudi? Mtu anawezaje kuingia katika ubongo wa Zitto na kujua sababu zilizomfanya ang'atuke?

Kwani Zitto hawezi kung'atuka siasa za Tanzania ili apate muda zaidi wa kusaidia siasa za Tanzania kwa kujikita katika asasi za kimataifa zaidi?

Mbona Zitto kashafanya mahojiano na kujielezea vizuri tu sababu zake za kung'atuka?

Watu walitakaje? Walitaka Zitto ang'ang'anie uongozi ACT miaka yote kisha wamseme kama wanavyomsema Mbowe kuwa Zitto anahodhi madaraka miaka yote?

Kwa nini tunamhukumu mtu kwa kung'atuka ikiwa hata kujua sababu zilizomfanya ang'atuke, ukiachilia mbali maneno ya speculations, ni kitu kigumu sana?

Watanzania wengi kama hawa wana shida sana kumpa mtu the benefit of the doubt katika mambo ambayo hawawezi kuyajua kwa uhakika wa kutosha kuhukumu one way or another.

Katika dunia inayosisitiza umuhimu wa kanuni ya "innocent until proven guilty" kama haki ya kiutu ya watu wote iliyomo katika "Universal Declarationnof Human Rights" tangu December 10 1948, kanuni iliyopo katika katiba ya Tanzania pia, kibongobongo tunakwenda na kanuni ya "guilty until proven innocent".

Unapotoa shutuma, toa na ushahidi wa shutuma zako.
 
Hutaki kupiga kura halafu unadai utaiondoa CCM madarakani? Labda unaota!!
Kama kura zingekuwa zinaheshimiwa Leo hii ccm ingekuwa kwenye kaburi Moja na KANU ya Kenya. Mtu mjinga tu ndio anaweza kushiriki hizo chaguzi ambazo kigenge Cha ccm kijiitacho system ndio kinachoamua nani atangazwe mshindi.
 
Tanzania hii hakuna mpiga kura mjinga wa kukipa uongozi chama chochote zaidi ya CCM. Hicho unachofikiria ni utopia!
 
Tusingeona mabox ya kura za wizi yakiletwa vituoni kwa uratibu wa vyombo vya Dola. Ule uhayawani unaondelea kwenye chaguzi zetu usingetokea iwapo ccm ingekuwa na hata uhakika wa kupata 50% ya kura. Kizazi Cha kuifanya ccm iendelee kukaa madarakani kwa kura halali kiliisha kwenye uchaguzi wa 2010, na haitakaa iweze tena kupata 50% ya kura za halali.

Ukiona watu hawataki tume huru ya uchaguzi sio kwa bahati mbaya, wanajua kwa uchaguzi halali hiki sio kizazi Cha ccm tena. Hutaji jinyonge.
 
Ina hitaji akili kubwa kiasi gani kujua kuwa Mbowe tayari kafichwa kwenye mfuko wa Mama Kizimkazi?

Acheni kusindikiza watu kwenye safari za maisha yao.
Unauhakika gani na hilo au ndio ubunifu wa ccm kulazimisha mambo hata yasiyokuwepo. Akisindikizwa Mama kizimkazi ndio poa?

Siasa lazima iwe na watu na watu ndiyo nyie. Hayo ni mawazo yangu siyo yako, kama huyapendi sikulazimishi ni mtizamo wangu binafsi siiwakilishi taasisoyote, na simsindikizi yeyote.
 
Kwanza kabisa Samia kaenda kama rais, na kaalikwa na Mbowe. Katumia hela za umma kwenye shughuli ambayo ni ya kidini. Ile michango waumini walipewa fomu za kualika wachangiaji.

Kiongozi wa secular state anapofanya siasa kutumia dini analeta matatizo zaidi ya anayotatua. Tayari kuna watu misikitini Zanzibar wiki hii wanamsema vibaya kwa kuwaopendelea Wakristo.

Kama hujui chanzo cha pesa, hilo ni tatizo kubwa. Walipa kodi wengine hatutaki pesa za kodi zitumike kwenye mambo ya dini. Dini si kazi ya serikali.

Mbowe na Samia wote wana lawama, wamevunja misingi muhimu ya Separation of Religion and State. Mbowe kwa kumualika Samia na Samia kwa kukubali. Wanaingiza siasa makanisani.

Mbowe mwenyewe anajijengea mazingira ya kuonekana kapewa rushwa. Kama kanisa kuchangiwa na Samia ni controversial, kwa nini ajiingize kwenye hiyo controversy kwa kumualika Samia? Yani hata ile favor tu kusema Tanzania kuna makanisa maelfu yanahitaji michango, Samia kaenda la Mbowe, ni scandal tayari. Political favoritism.

Kwa nini hatuoni hili?

Hebu msikilize JFK alivyokuwa anagombea urais Marekani akizungumzia suala la Swparationnif Rwligion and State halafu uangakie sisi tunavyochukulia poa mambo haya.

View: https://youtu.be/LAvHHTt2czU?si=9XltUA-Gw8NgutUI

Nimekuelewa hoja yako, lakini Mbowe alialikwa kuchangisha kwa umaarufu wake, na Samia ni mtanzania mchangiaji hakualikwa na Mbowe kuchangia. Alitangazwa kwa kuchangia.

Kumbuka hii ni Tanzania, Marais wetu woote ambao wamewahikupita hata walipo na naamini wajao hawaoni tatizo ya kuchanganya dini na siasa. Kumbuka tangu enzi za Nyerere haya mambo yapo na wanaona sawa tu.
Samia kachangia Makanisa na misikiti kabla hata ya hili la kutangazwa na Mbowe.

Mimi na wewe tunaweza kuona Tatizo, wao wasione Tatizo na wala wananchi walio wengi au wafuasi wa vyama vyao wasione Tatizo.

Waislamu au wakristo kulalamika ni kawaida ni mtizamo. Wakati wa MFUNGO tunaona na kusikia taasisi nyingi ZINAFUTURISHA haya yoote ni kinyume na utaratibu lakini huwa wanafanya kutafuta kuwa karibu na viongozi wa dini ya kiislamu walioko madarakani. Husikii wakati wa Kwaresma kuna kufuturisha. Husikii kuchangia Majuzuu au vyakula kwenye vituo vya kulelea watoto wa mitaani. Lakini haya utayasikia wakati wa MFUNGO wa WAISLAMU, Vituo vya kulelea watoto wenye mahitaji /wasio na walezi vinapewa MAJUZUU siyo KATEKISIM.

Dini zote zina malalamiko lakini who cares, Siasa za TANZANIA ziko hivyo. Magufuli alikuwa anagawa pesa wapo walioona swa lakini wote tunafahamu ile hazikuwa pesa zake, na lakini alitumia pesa za umma kugawa kama sadaka.

Sisi tunachukulia poa separation of religion and state kwa sababu katiba imeacha mianya hiyo, na watawala huona kana kwamba kufanya vile watatusaidia sisi walalahoi.

Kwao wanaona ni sehemu ya Kurudisha kwenye jamii yaani CRS. Tunafahamu ni pesa zetu lakini pesa zetu nchi hii mwenyewe ni Rais, anaweza kuzigawa vyovyote na akaonekana shujaa.

Kumbuka pesa za ofisi ya Rais Hazikaguliwai na CAG.

political favartism ni kitu cha kawaida nchi hii, angalia Teuzi zote zito kwa mujibu wa katiba lakini haziangalii Elimu ya muhusika, uzoefu wala ufahamu wa eneo husika, bali utashi wa Rais.

Siasa za marekani na hizi zetu ni mbingu na ardhi. Zao tuwaachie tujadili hizi zetu tu .
 
You are not making sense. Your arguments are full of "argument from tradition" logical fallacies.

And you do not even see this as a problem.
 
Anyway if that is how you see it, I am ok with that, But I was trying to answer/reply your message.
Hivi vitu ni ni upendavyo kila mtu ana mtizamo na maoni yake. Labda yangu hukuyapenda ni mawazo yangu, ni ni kweli sioni tatizo kabisa.
 
Back
Top Bottom