Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
That is neither here nor there.Kula mihogo yako ukajilalie
Argue, don't shout.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That is neither here nor there.Kula mihogo yako ukajilalie
Kwa uchaguzi gani? Yale maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura nayo unaweza ukatoka kuhoji idadi ya wabunge wa Chama chochote?!Kama amefeli ebu niambie leo hii Chadema Ina wabunge wangapi?
You are absolutely right! Akitoka amekwisha na ACT kwisha maana Zanzibar watatafuta chama chao/kuanzisha chama chao!Huyu anautaka uwenyekiti tu ,mda mwalimu mzuri
Chadema sio Zito na act wewe bwege kama huamini njoo huku kisesa jimbo alilopewa kwa nguvu luhaga mpina baada ya kugongwa na Kishabi wa chadema. Act huku hata bendera haijulikani.Kama amefeli ebu niambie leo hii Chadema Ina wabunge wangapi?
Kifuteni chama chenu kisifanye siasa. Mnaweza mkakifanya kikawa kinaanda sherehe za unyago na jando na kitchen party. Siasa waachieni CCM.Kwa uchaguzi gani? Yale maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura nayo unaweza ukatoka kuhoji idadi ya wabunge wa Chama chochote?!
Kisesa lipo chini ya CCM na litaendelea kubaki chini ya CCM. Mabwege kama babaako hawawezi kuishinda CCM kwenye uchaguzi.Chadema sio Zito na act wewe bwege kama huamini njoo huku kisesa jimbo alilopewa kwa nguvu luhaga mpina baada ya kugongwa na Kishabi wa chadema. Act huku hata bendera haijulikani.
Ccm hawawezi siasa, Bali ni vinara wa siasa chafu hapa nchini. Sisi sio waumini wa siasa chafu ndio maana hatutaki ccm iendelee kubaki madarakani.Kifuteni chama chenu kisifanye siasa. Mnaweza mkakifanya kikawa kinaanda sherehe za unyago na jando na kitchen party. Siasa waachieni CCM.
Hutaki kupiga kura halafu unadai utaiondoa CCM madarakani? Labda unaota!!Ccm hawawezi siasa, Bali ni vinara wa siasa chafu hapa nchini. Sisi sio waumini wa siasa chafu ndio maana hatutaki ccm iendelee kubaki madarakani.
Pamoja na kuwa kisiki wa ubishi kumbe kuna wakati unajiropokea?Mbowe anashutumiwa kwa kuhodhi madaraka na kutostaafu, anatakiwa astaafu.
Zitto anashutumiwa kwa kustaafu.
Lawama haziishi. Ukistaafu, usipostaafu, lawama tu.
Zitto halalamikiwi kustaafu wapi? Umesoma posts zote ukaona Zitto hajalalamikiwa kwa kustaafu?Pamoja na kuwa kisiki wa ubishi kumbe kuna wakati unajiropokea?
Zitto halalamikiwi kustaafu bali kukosa mvuto uliotokana na usaliti kiasi cha kushindwa au kukosa mvuto kulikompelekea kuachia ngazi
Hata shetani ni mpango wa Mungu ndio maana anakula mema ya duniaHata shetani na yeye ni mungu kwa watu wake🤔
Shetani mwenyewe mpango wa MunguCcm ni mango wa sheitwan
Kama kura zingekuwa zinaheshimiwa Leo hii ccm ingekuwa kwenye kaburi Moja na KANU ya Kenya. Mtu mjinga tu ndio anaweza kushiriki hizo chaguzi ambazo kigenge Cha ccm kijiitacho system ndio kinachoamua nani atangazwe mshindi.Hutaki kupiga kura halafu unadai utaiondoa CCM madarakani? Labda unaota!!
Tanzania hii hakuna mpiga kura mjinga wa kukipa uongozi chama chochote zaidi ya CCM. Hicho unachofikiria ni utopia!Kama kura zingekuwa zinaheshimiwa Leo hii ccm ingekuwa kwenye kaburi Moja na KANU ya Kenya. Mtu mjinga tu ndio anaweza kushiriki hizo chaguzi ambazo kigenge Cha ccm kijiitacho system ndio kinachoamua nani atangazwe mshindi.
Tusingeona mabox ya kura za wizi yakiletwa vituoni kwa uratibu wa vyombo vya Dola. Ule uhayawani unaondelea kwenye chaguzi zetu usingetokea iwapo ccm ingekuwa na hata uhakika wa kupata 50% ya kura. Kizazi Cha kuifanya ccm iendelee kukaa madarakani kwa kura halali kiliisha kwenye uchaguzi wa 2010, na haitakaa iweze tena kupata 50% ya kura za halali.Tanzania hii hakuna mpiga kura mjinga wa kukipa uongozi chama chochote zaidi ya CCM. Hicho unachofikiria ni utopia!
Unauhakika gani na hilo au ndio ubunifu wa ccm kulazimisha mambo hata yasiyokuwepo. Akisindikizwa Mama kizimkazi ndio poa?Ina hitaji akili kubwa kiasi gani kujua kuwa Mbowe tayari kafichwa kwenye mfuko wa Mama Kizimkazi?
Acheni kusindikiza watu kwenye safari za maisha yao.
Kwanza kabisa Samia kaenda kama rais, na kaalikwa na Mbowe. Katumia hela za umma kwenye shughuli ambayo ni ya kidini. Ile michango waumini walipewa fomu za kualika wachangiaji.
Kiongozi wa secular state anapofanya siasa kutumia dini analeta matatizo zaidi ya anayotatua. Tayari kuna watu misikitini Zanzibar wiki hii wanamsema vibaya kwa kuwaopendelea Wakristo.
Kama hujui chanzo cha pesa, hilo ni tatizo kubwa. Walipa kodi wengine hatutaki pesa za kodi zitumike kwenye mambo ya dini. Dini si kazi ya serikali.
Mbowe na Samia wote wana lawama, wamevunja misingi muhimu ya Separation of Religion and State. Mbowe kwa kumualika Samia na Samia kwa kukubali. Wanaingiza siasa makanisani.
Mbowe mwenyewe anajijengea mazingira ya kuonekana kapewa rushwa. Kama kanisa kuchangiwa na Samia ni controversial, kwa nini ajiingize kwenye hiyo controversy kwa kumualika Samia? Yani hata ile favor tu kusema Tanzania kuna makanisa maelfu yanahitaji michango, Samia kaenda la Mbowe, ni scandal tayari. Political favoritism.
Kwa nini hatuoni hili?
Hebu msikilize JFK alivyokuwa anagombea urais Marekani akizungumzia suala la Swparationnif Rwligion and State halafu uangakie sisi tunavyochukulia poa mambo haya.
View: https://youtu.be/LAvHHTt2czU?si=9XltUA-Gw8NgutUI
You are not making sense. Your arguments are full of "argument from tradition" logical fallacies.Nimekuelewa hoja yako, lakini Mbowe alialikwa kuchangisha kwa umaarufu wake, na Samia ni mtanzania mchangiaji hakualikwa na Mbowe kuchangia. Alitangazwa kwa kuchangia.
Kumbuka hii ni Tanzania, Marais wetu woote ambao wamewahikupita hata walipo na naamini wajao hawaoni tatizo ya kuchanganya dini na siasa. Kumbuka tangu enzi za Nyerere haya mambo yapo na wanaona sawa tu.
Samia kachangia Makanisa na misikiti kabla hata ya hili la kutangazwa na Mbowe.
Mimi na wewe tunaweza kuona Tatizo, wao wasione Tatizo na wala wananchi walio wengi au wafuasi wa vyama vyao wasione Tatizo.
Waislamu au wakristo kulalamika ni kawaida ni mtizamo. Wakati wa MFUNGO tunaona na kusikia taasisi nyingi ZINAFUTURISHA haya yoote ni kinyume na utaratibu lakini huwa wanafanya kutafuta kuwa karibu na viongozi wa dini ya kiislamu walioko madarakani. Husikii wakati wa Kwaresma kuna kufuturisha. Husikii kuchangia Majuzuu au vyakula kwenye vituo vya kulelea watoto wa mitaani. Lakini haya utayasikia wakati wa MFUNGO wa WAISLAMU, Vituo vya kulelea watoto wenye mahitaji /wasio na walezi vinapewa MAJUZUU siyo KATEKISIM.
Dini zote zina malalamiko lakini who cares, Siasa za TANZANIA ziko hivyo. Magufuli alikuwa anagawa pesa wapo walioona swa lakini wote tunafahamu ile hazikuwa pesa zake, na lakini alitumia pesa za umma kugawa kama sadaka.
Sisi tunachukulia poa separation of religion and state kwa sababu katiba imeacha mianya hiyo, na watawala huona kana kwamba kufanya vile watatusaidia sisi walalahoi.
Kwao wanaona ni sehemu ya Kurudisha kwenye jamii yaani CRS. Tunafahamu ni pesa zetu lakini pesa zetu nchi hii mwenyewe ni Rais, anaweza kuzigawa vyovyote na akaonekana shujaa.
Kumbuka pesa za ofisi ya Rais Hazikaguliwai na CAG.
political favartism ni kitu cha kawaida nchi hii, angalia Teuzi zote zito kwa mujibu wa katiba lakini haziangalii Elimu ya muhusika, uzoefu wala ufahamu wa eneo husika, bali utashi wa Rais.
Siasa za marekani na hizi zetu ni mbingu na ardhi. Zao tuwaachie tujadili hizi zetu tu .
Anyway if that is how you see it, I am ok with that, But I was trying to answer/reply your message.You are not making sense. Your arguments are full of "argument from tradition" logical fallacies.
And you do not even see this as a problem.