Zitto Kabwe ameporomoka sana kisiasa. Hana ushawishi tena. Hata Kigoma walishamkataa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Amebakiza makunyanzi tu usoni.

Amekuwa hana ushawishi na hata CCM waliokua wanamtumia walishamtosa.Ndio maana ameshindwa na kilaza Kama baba Levo ambaye hajui hata Hansard ni nini

Shetani hana rafiki. Ayatollah wa ujiji

image_search_1777644466393.jpg
 
Amebakiza makunyanzi tu usoni.

Amekuwa hana ushawishi na hata CCM waliokua wanamtumia walishamtosa.Ndio maana ameshindwa na kilaza Kama baba Levo ambaye hajui hata Hansard ni nini

Shetani hana rafiki. Ayatollah wa ujiji

View attachment 3582517
Seriously sijawahi kumuelewa tokea aanze siasa, anauelewa sana wa mambo ya uchumi lakini ni snitch, hypocrite, two headed serpent, untrustworthy, ana price tag, ni egoistic na hayuko opposition kwa sababu truly anataka mageuzi bali from word go alikuwa analenga maslahi binafsi.
 
Zitto alijimaliza kisiasa alipoharibu CHADEMA na kutimkia ACT!.
Angebaki CHADEMA kwa uaminifu mkubwa leo angekuwa mbali sana!.
 
Seriously sijawahi kumuelewa tokea aanze siasa, anauelewa sana wa mambo ya uchumi lakini ni snitch, hypocrite, two headed serpent, untrustworthy, ana price tag, ni egoistic na hayuko opposition kwa sababu truly anataka mageuzi bali from word go alikuwa analenga maslahi binafsi.
Hata kwenye mambo ya uchumi, ni mhuni tu.

Nahisi ni kwasababu tulikuwa wavivu wa kujisomea.

Nilimuona mpumbavu zaidi aliposema TANESCO iwekwe soko la hisa, wakati huko DSE asilimia wanunuzi wa hisa nyingi ni wageni wenye mitaji.
 
Huyu ndio aliwalazimisha ACT washiriki uchaguzi maana cdm hawashiriki, hivyo wao watatumia nafasi hiyo kuwa chama kikuu cha upinzani. Aliwaingia na gia kuwa sasa ni zamu yao maana walianza NCCR wakafubaa ikaingia CUF, kisha baada ya CUF wakaingia cdm, hivyo akaona cdm kugomea kushiriki wao ni nafasi ya kuchukua nafasi. wakamchukua na Mpina ili apate kura za watu wa kanda ya ziwa na waliokuwa wafuasi wa Magufuli.

Bahati mbaya mkeka umechanika, na kilichotokea mo29 kimewalipa cdm huku chama chake kikipoteza hata imani ya hilo kundi dogo lililokuwa likimuani. Kwa sasa ACT wanataka kujifanya wana Urafiki na chadema ili wangalau wajifanye ni wapinzani wa kweli.
 
Umeongea kweli
 
Seriously sijawahi kumuelewa tokea aanze siasa, anauelewa sana wa mambo ya uchumi lakini ni snitch, hypocrite, two headed serpent, untrustworthy, ana price tag, ni egoistic na hayuko opposition kwa sababu truly anataka mageuzi bali from word go alikuwa analenga maslahi binafsi.
Unaweza kunipa mfano wa uwezo wake kiuchumi
 
Huyu ndio aliwalazimisha ACT washiriki uchaguzi maana cdm hawashiriki, hivyo wao watatumia nafasi hiyo kuwa chama kikuu cha upinzani. Aliwaingia na gia kuwa sasa ni zamu yao maana walianza NCCR wakafubaa ikaingia CUF, kisha baada ya CUF wakaingia cdm, hivyo akaona cdm kugomea kushiriki wao ni nafasi ya kuchukua nafasi. wakamchukua na Mpina ili apate kura za watu wa kanda ya ziwa na waliokuwa wafuasi wa Magufuli.

Bahati mbaya mkeka umechanika, na kilichotokea mo29 kimewalipa cdm huku chama chake kikipoteza hata imani ya hilo kundi dogo lililokuwa likimuani. Kwa sasa ACT wanataka kujifanya wana Urafiki na chadema ili wangalau wajifanye ni wapinzani wa kweli.
We jamaa una mambo kikenge sana. Sasa nani wa kanda ya ziwa angempogia Mpina? Samia tu pamoja na kumuweka Jesca Magufuli kama mpiga debe wake hajapata kura kanda ya ziwa.

Magufuli alikubalika kwa upigahi kazi wake na wala sio kitu kingine. Alikubalika Tanzania nzima hadi mikoa ya Pwani na kusini. Bila Magufuli daraja la Mkapa lisingekuwepo.
 
Back
Top Bottom