Zitto Kabwe ameporomoka sana kisiasa. Hana ushawishi tena. Hata Kigoma walishamkataa

Zitto Kabwe ameporomoka sana kisiasa. Hana ushawishi tena. Hata Kigoma walishamkataa

Huyu ndio aliwalazimisha ACT washiriki uchaguzi maana cdm hawashiriki, hivyo wao watatumia nafasi hiyo kuwa chama kikuu cha upinzani. Aliwaingia na gia kuwa sasa ni zamu yao maana walianza NCCR wakafubaa ikaingia CUF, kisha baada ya CUF wakaingia cdm, hivyo akaona cdm kugomea kushiriki wao ni nafasi ya kuchukua nafasi. wakamchukua na Mpina ili apate kura za watu wa kanda ya ziwa na waliokuwa wafuasi wa Magufuli.

Bahati mbaya mkeka umechanika, na kilichotokea mo29 kimewalipa cdm huku chama chake kikipoteza hata imani ya hilo kundi dogo lililokuwa likimuani. Kwa sasa ACT wanataka kujifanya wana Urafiki na chadema ili wangalau wajifanye ni wapinzani wa kweli.
Sio ACT tu.Huyu ndio alimaliza Hamad Mwamba wa Upinzani ZNZ akajiunga ACT akaenda kumlaliza kisiasa. Mzee alifanya kosa kubwa sana maishani.
 
Okay swali gumu dah! Labda niseme tu zile porojo zake bungeni kwenye kujadili mambo ya uchumi nilikuwa nazochukulia kama ni nondo(za kwenye makaratasi though).
Kiujimla zaidi ya hapo sikuwahi kumuona kwamba anafaa kwenye lolote.
Mwanasiasa ni kama mwana soccer, akipotea kwenye pitch tu usitegemee kumsikia popote aise, yuko wapi Wenje? yuko wapi Machali??
 
uyu kibaka kawa danganya sana ila mshaulini wakati wake umeisha kabisa yani haupo kama mbishi mwacheni atakutananacho
 
Back
Top Bottom