Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano baada ya kugombea uchaguzi wa nyuma yake kwamba amuachie kijiti Freeman Mbowe na atampokea miaka mitano ijayo na badala yake miaka miwili kabla aliondolewa nyazifa zote za uongozi Chadema na wapo katika kundi lao walisema waende CCM.
Zitto Kabwe amesema Jakaya Kikwete alimuita na kumwambia ana machaguo mawili kwa kuwa alikuwa anachipukia kwenye siasa, kwanza kujiunga na chama tawala cha CCM na endapo angefanya hivyo angempa uwaziri wa fedha siku inayofata.
Rais mstaafu Kikwete alimpa angalizo Zitto Kabwe kwamba kwa maono yake CCM haitakuwepo madarakani muda mrefu ilhali Zitto bado kijana mdogo na kumshauri kutafuta jukwaa lingine lakini sio la chama tawala.
Zitto amesema kwenye hicho kikao mmoja wa waliokuwepo ni rafiki yake Deo Fulikunjombe naye akamshauri asiende CCM.
Japo ni kweli sioni mtanzania mwenye akili timamu akimpigia kura mkojani Kwa kipindi Cha pili Cha wwamu inayofuata zaidi ya kutumia Dola kushika hatamu hakuna Cha maana kwenye chaguzi zetu!!
Zitto Kabwe amesema aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wakati anaingia kwenye siasa, Jakaya Kikwete alimuita na kumwambia ana machaguo mawili kwa kuwa alikuwa anachipukia kwenye siasa, kwanza kujiunga na chama tawala cha CCM na endapo angefanya hivyo angempa uwaziri wa fedha siku inayofata.
Rais mstaafu Kikwete alipa angalizo Zitto Kabwe kwamba kwa maono yake CCM haitakuwepo madarakani muda mrefu ilhali Zitto bado kijana mdogo na kumshauri kutafuta jukwaa lingine lakini sio la chama tawala.
Zitto Kabwe amesema aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wakati anaingia kwenye siasa, Jakaya Kikwete alimuita na kumwambia ana machaguo mawili kwa kuwa alikuwa anachipukia kwenye siasa, kwanza kujiunga na chama tawala cha CCM na endapo angefanya hivyo angempa uwaziri wa fedha siku inayofata.
Rais mstaafu Kikwete alimpa angalizo Zitto Kabwe kwamba kwa maono yake CCM haitakuwepo madarakani muda mrefu ilhali Zitto bado kijana mdogo na kumshauri kutafuta jukwaa lingine lakini sio la chama tawala.
Zitto amesema kwenye hicho kikao mmoja wa waliokuwepo ni rafiki yake Deo Fulikunjombe naye akamshauri asiende CCM.
Zitto Kabwe amesema aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wakati anaingia kwenye siasa, Jakaya Kikwete alimuita na kumwambia ana machaguo mawili kwa kuwa alikuwa anachipukia kwenye siasa, kwanza kujiunga na chama tawala cha CCM na endapo angefanya hivyo angempa uwaziri wa fedha siku inayofata.
Rais mstaafu Kikwete alimpa angalizo Zitto Kabwe kwamba kwa maono yake CCM haitakuwepo madarakani muda mrefu ilhali Zitto bado kijana mdogo na kumshauri kutafuta jukwaa lingine lakini sio la chama tawala.
Zitto amesema kwenye hicho kikao mmoja wa waliokuwepo ni rafiki yake Deo Fulikunjombe naye akamshauri asiende CCM.
So baada ya Zitto kuamua kwenda upinzani ndio akaelekea Chadema, baadae ndio akaanza kutumiwa na Kikwete kukivuruga Chadema kwa mikutano yao ya usiku akiulizwa akasema Kikwete ni sawa na baba yake..
Sasa nimefahamu kwa nini diwani Wembe alimkunja Shukuru huku picha zikipigwa.
Hata Wembe aliitwa na mstaafu ili azushe varangati kumchafua Shukuru kisha dogo akamatwe ili Shukuru asafishwe kuwa yeye sio dalali wa viwanja then huyo dogo apelekwe kuchukua maokoto yake huko polisi na bifu la kashfa ya dalali inafikia mwisho.
Jakaya Kikwete alimuita na kumwambia ana machaguo mawili kwa kuwa alikuwa anachipukia kwenye siasa, kwanza kujiunga na chama tawala cha CCM na endapo angefanya hivyo angempa uwaziri wa fedha siku inayofata.
Hii habari sijui uelewa wangu mdogo!!. Unasema kikwete alimwita na kuahidi kumpa uwaziri akijiunga CCM. Kikwete huyohuyo anamwonya asihamie CCM kwani hakina muda mrefu madarakani. Rudieni kuisoma habari hapo juu. Je Kikwete na Zito walikuwa wamelewa Pombe?