Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

Mashinji, Silinde, Lijualikali, Peneza, Katambi hawa zamani tulidhani ni makamanda na watu safi kuliko Zitto leo wako CCM tumewafumbia macho ila Sisi kwa miaka zaidi ya 10 tuko busy kumnanga Zitto aliyeamua kuendesha harakati zake za siasa kupitia ACT.

Kuna mawili
1. Either tunaapreciate sana uwezo wa Zitto kwa hiyo tuna ile inayoitwa HATE and LOVE scenario

2. Au ni Inferiority complex dhidi yake tu inatusumbua maana uwezo wake ni mkubwa sana kwa hiyo tunachuki itokanayo na roho ya korosho
 
Kwenye uchaguzi huru na wa haki, CCM haiwezi kushinda. Viongozi wote wa CCM wanalijua hilo. Ndiyo maana hawawezi kukubali katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi.

Ni wajinga wajinga wachache na wale CCM maslahi ya tumbo, ndiyo bado wapo na CCM. Huo ndiyo ukweli.
 
AACHE UONGO kwanini Zitto hakusema kipindi hicho kwanini aseme sasa
 

Inategemea kwenye nini.

Ikiwa Kama hivi kwenye kufanya β€œPolifix, hana mpinzani kwa sasa nyuma ya Mzee Freeman.
 
Zitto muda sio mrefu inaanzia miaka mingapi?ulikuwa ni wasi wasi wa jk chama kumfia mikononi maana alikumbatia mafisadi!
 
Mbowe kung'ang'ania madaraka ya uenyekiti kwa miaka 20 ndiyo kaburi la CDM.
 
Hili la Zitto kutumika na Kikwete hakuna asiyelifahamu na ndio maana alitimuliwa Chadema mapema sana , Hata Mahakamani alikuwa analindwa na Walinzi waliolipwa na Kikwete , nani amesahau ?
 
Zito ni plan B ya kikundi cha Kikwete February. Hivyo akiwa Kikwete au February, Zito anapata, wakikosa basi Zito akipata, February na Kikwete wanapata
 
Katiba ya Chadema haijawahi kuwa na kipengele cha Makubaliano ya kuachiana Madaraka kiushikaji , hakuna , Utaratibu wa miaka yote ni kila mtu kuchukua fomu na kuomba kura mbele ya Wanachama kwa kujinadi, hizo porojo ni Batili na hazikubaliki
 
Zitto alikuwa anatembelea nyota ya mama yake 🐼

CCM ilimshindwa Tundu Lisu tu na Shujaa Maguful mwenyewe alikiri hadharani πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…