Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

Maneno ya Zitto Kabwe ni ushahidi usiotia shaka kuwa alikuwa anatumiwa na TISS kwa niaba ya CCM kuidhoofisha Chadema tuhuma ambazo ndiyo zilimfufukuzisha Chadema.
 
Maneno ya Zitto Kabwe ni ushahidi usiotia shaka kuwa alikuwa anatumiwa na TISS kwa niaba ya CCM kuidhoofisha Chadema tuhuma ambazo ndiyo zilimfufukuzisha Chadema.
Mtasema mengi
Zitto Kabwe anaomba usajili CCM kijanja
 
Siku mjanjamjanja na mnafiki sana, anaweza kuwauza kabisa
 
Sijui lkn pia usimfananishe keynes na huo uchafu.
Einstein alipata gpa ya ngapi!?..gpa kubwa ni Kwa ajili ya nyie wamezaji,majinias huwa hawana time na gpa kubwa, Keynes uchumi wenyewe alikua na alama chafu
 
Maneno ya Zitto Kabwe ni ushahidi usiotia shaka kuwa alikuwa anatumiwa na TISS kwa niaba ya CCM kuidhoofisha Chadema tuhuma ambazo ndiyo zilimfufukuzisha Chadema.

Zitto Kabwe anaomba usajili CCM kijanja
Zitto alifukizwa chadema kwa kuunyemelea uwenyekiti, wenye akili tunalijua hilo, nyie nyumbu endeleeni kushikiliwa akili. Umeenda kwenye maandamano lakini?🀣🀣🀣
 
Mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni Zitto Kabwe kasema ukweli CCM ingekufa 2015

Mungu wa mbinguni mbariki Dr Kikwete kwa Kumleta Shujaa Magufuli aliyepindua meza

Mungu wa mbinguni mbariki Zitto Kabwe kwa kutufumbua macho Watanzania

Nawatakieni Dominica Njema πŸ˜€
 
Kikwete aliona CCM inakufa muda mrefu tangu 2012 alishaona dalili....
 
Zitto alifukizwa chadema kwa kuunyemelea uwenyekiti, wenye akili tunalijua hilo, nyie nymbu endeleeni kushikiliwa akili. Umeenda kwenye maandamano lakini?🀣🀣🀣
Wenye akili timamu tunajua jinsi Zitto Kabwe alivyotumiwa na TISS kuihujumu Chadema na ushahidi wote uko humu .
 
Wenye akili timamu tunajua jinsi Zitto Kabwe alivyotumiwa na TISS kuihujumu Chadema na ushahidi wote uko humu .
Huko ni kushikiliwa akili na kina Mbowe, huo ndio Unyumbu wenyewe. Na Chacha wangwe nae alitumiwa na nani?
 
Huko ni kushikiliwa akili na kina Mbowe, huo ndio Unyumbu wenyewe. Na Chacha wangwe nae alitumiwa na nani?
Na wewe umeshikiliwa akili na Zitto Kabwe. Usitake kila mtu aamini unachoamini wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…