Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Unapokuwa mbunge kwenye Bunge la Tanzania ujue kuwa ubunge wako unatambuliwa na Jumuia ya Madola kwa sababu Bunge la Tanzania ni mwanachama wa mabunge ya Jumuia ya Madola.Ni sawa unachosema. Na kwa mantiki hiyo alitakiwa aandike barua kama Zitto au kama Kiongozi wa ACT wazalendo, na si kama Mbunge wa Bunge la JMT.
Hujajibu niliyokuuliza na uliyojibu sijakuuliza.Mwambie Lema aandike barua akiomba Chadema inyimwe mkopo.
Hiyo siku unyumbu utakutoka na utaanza kuelewa ni maana ya usaliti na msaliti ni nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlishaonyesha roho zenu mbaya kwa Mh Tundu Lissu. Sasa majike tulieni mabeberu yawashughulikie vizuri.Ni mojawapo ya kazi za Bunge ndiyo, ila Ofisi ya Bunge ikiwa ina taarifa, na imeridhia. Siyo mtu analipuka tu kutoka jimboni kwake anaadika barua tena ya kipumbavu, kisa ni mbunge. Wenye roho kama yangu Mungu apishie mbali asitupatie mamlaka. Hii issue ukinipa mimi halafu nina mamlaka, lazima mtu awaeleze vizuri watanzania alikuwa na nia gani
Zitto ni pandikizi la wadau wa maendeleo na ni adui wa nchi.Zitto ni pandikizi la mabeberu na ni adui wa nchi!
Hata yeye ni Raia Huru.zitto anajisumbua bure. mwambieni tanzania ni nchi huru.
Nimeuliza maswali matatu.Ni mojawapo ya kazi za Bunge ndiyo, ila Ofisi ya Bunge ikiwa ina taarifa, na imeridhia. Siyo mtu analipuka tu kutoka jimboni kwake anaadika barua tena ya kipumbavu, kisa ni mbunge. Wenye roho kama yangu Mungu apishie mbali asitupatie mamlaka. Hii issue ukinipa mimi halafu nina mamlaka, lazima mtu awaeleze vizuri watanzania alikuwa na nia gani
Inawezekana humtaki ww peke yako ukute hata mkeo bado anampendaNa wewe umechapia..... Zitto wana kigoma hatumtaki
Miaka yote hoja za mikataba mibovu hazikusikilizwa na tuliloshuhudia waliozipeleka wakizomewa na kuadhibiwa, eti baada kuingia Magufuli ndipo waliokuwa wakiiunga mkono wakageuka kuikataa na kuikashifu! Hawa wabunge wa CCM ni wa hovyo na Nyerere enzi zake aliwasema ni wabunge wa ajabu na wa hovyo wanapitidha sheria kisha inapoaanza kutumia wanaanza kulalamika kuwa sheria inawakandamiza wananchi! Akamalizia kwa kuwaita wapumbavu.Nani aliwahi kutolewa bungeni kwa kutoa mapendekezo ya maboresho ya sera?