Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Hivi mkuu umesikiliza interview yake kweli? Hata yeye anataka kujua terms and condition anataka mkataba huo uwekwe wazi kwa umma maana zaidi ya kuwa ikulu hata wabunge hawajawahi uona hizo terms mlimegewa na jpm ambaye ndiye pia aliwamegea kuwa ATCL inapata faida na gawio akapokea.
Kukata mzizi wa fitina mkataba uwekwe wazi.
Zitto yeye alichoona ni presentation ya mradi mkataba naye anatamani uona ajue nini kilichomo kitu ambacho serikali haijawah fanya
Kaka mizigo unatoka China kuja huku kwetu ni Mitambo,Magari,Steel Product,Nguo,Viatu na madawa. Meli nyingi kutoka China ni General Cargoes.We ndiyo wawaza hivyo lakini kumbua China ndiye exporter mkubwa duniani nani kwanini meli iende mpaka China kama inaweza chukua mzigo huo huo bagamoyo ikarudi ilipotoka.
I suspect hata yeye mwenyewe haamini asemayo.Sijui kwa nini tu huyu jamaa huwa siamini ayasemayo....
Hizo terms ziko wapi na je, kama zipo kwano majadiliano yamefika mwisho ???
Tatizo la hiki kizazi, majadiliano yanaongozwa na CHUKI, UMSUKULE, UNYUMBU na UPUMBAVU.
Hakuna nchi makini duniani inaweza kukataa FDI.
Mambo ya mikataba ni majadiliano na makubaliano.
Hiyo predatory and exploitative FDI iko wapi ??Hiyo dunia unayoisema ni hii hii ambayo sote tunaijua au dunia nyingine? Yaani nchi ikubali predatory and exploitative FDI just because hiyo ni FDI?
Zitto amekuwa Mbunge kwa miaka kadhaa, je, amefanikisha japo kuendeleza ufuko wa Ziwa Tanganyika? Ni Zitto huyo huyo aliyedandia zao la korosho wakati la mchikichi jimboni kwake lisiendelezwe.Kama Zitto Mchumi Mbobezi amesema hivyo mimi ni nani ngumbaru wa MATEJOO nikatae? JIWE alidanganywa.
Umeuona na kuusoma huo mkataba? Tanga na Mtwara kwenye kina cha asili sio Tanzania ambapo viwanda hivyo vingeweza kujengwa?Tatizo lenu hamtaki kusikiliza!
Mngekuwa mnasikiliza hoja na kizipima badala ya kupinga tu kwa kuwa mtoa hoja humpendi...
Berth no 13 port ya Dar imekodishwa kwa Tiscn tukapewa hadithi kama vile port yetu inakuwa kama port ya Singapore
Presentation yake ilikuwa nzuri sasa anachotaka ni kuona mkataba, hakuna.mahali aliposema bandari ijengwe kwa huo mkataba maana hajauona ndiyo maana anataka uwekwe wazi kila mtu auone kama ni mbaya basi itafutwe plan B ama renegotiation.Ukikuta mtu anatetea kitu bila ya kuwa na all relevant information, unamweka kundi gani?
Achana na Bandari tu , nchi yote ikodishweAcha na ya bagamoyo ikodishwe
Achana na Bandari tu , nchi yote ikodishwe
Zito naye ni mtu wa madili. Meli kubwa kubwa za nini kama Kodi anakusanya mchina!!!
Hatutaki mameli makubwa tunataka maslahi makubwa kwa nchi hawa makuwadi wa uchumi wanataka kutufikisha pambaya.KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania...
Na mie ngumbaru wa Morombo ni nani nikubishie dingi?Kama Zitto Mchumi Mbobezi amesema hivyo mimi ni nani ngumbaru wa MATEJOO nikatae? JIWE alidanganywa.
Mchumi ama mchumia tumbo mbobezi , hivi tangu uanze kufuatilia siasa umeshawahi kusikia zitto anampiga mawe J.K?Kama Zitto Mchumi Mbobezi amesema hivyo mimi ni nani ngumbaru wa MATEJOO nikatae? JIWE alidanganywa.
Na mie ngumbaru wa Morombo ni nani nikubishie dingi?
Acha Bla bla kama una ushahidi weka na sio kuokoteza story zenu kwa wanaCUF wa vijiweni na kuleta JF.Mchumi ama mchumia tumbo mbobezi , hivi uanze kufuatilia siasa umeshawahi kusikia zitto anampiga mawe J.K?