Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Unakumbuka alivyomwacha Membe kwenye mataa? 🤣Jamaa ni opportunistic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakumbuka alivyomwacha Membe kwenye mataa? 🤣Jamaa ni opportunistic
Umewaza na kunena vyema!Kwani waliutekeleza? Kama hawakuutekeleza na siyo rafiki kwanini usiwekwe wazi? Maana siyo mkataba wamambo jeshi waweke wazi tuone kaa kweli nchi ilitaka kuuzwa maana aliyeuoana akatwambia ndiyr pia alitwambia ATCL inatengeneza faida na gawio likaletwa, ni afadhali uwekwe wazi tuache kusikia sikia tu tuwe na hakika na yaliyomo.
Yeye Zitto kasema kwakuwa hajui yaliyomo yeye aliona tu presentation, kama wale walikuwa na terms mbaya tunaweza tafuta washirika wengine au serikali ikajenga yenyewe ila anachelea kwa ukubwa wa bandari ile serikali haiwezi kuijenga bila usadizi.
Mimi ningependa wasifanye move bila kuweka mkataba wazi kama alivyosema zitto.
Nisizungumze Sana,maana wenda Kuna watu wanajua na wanaupeo mkubwa kuhusu bandali hii,lakini wenda wengine atuhujui vizuri ila tumebatika kua na karama ya fikra,KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania
Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto
Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.
Chanzo: Clouds 360
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania
Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto
Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.
Chanzo: Clouds 360
Berth no 13 port ya Dar imekodishwa kwa Tiscn tukapewa hadithi kama vile port yetu inakuwa kama port ya SingaporeKwani vimeuzwa vingapi?.
Tatizo la watanzania wanajifanya wajuaji wa kila kitu!We ndiyo wawaza hivyo lakini kumbua China ndiye exporter mkubwa duniani nani kwanini meli iende mpaka China kama inaweza chukua mzigo huo huo bagamoyo ikarudi ilipotoka.
Mabeberu nawapenda sana.Zitto huwaga mpiga debe wa mabeberu tu hata sinshangai, hii meli kubwa kiasi gani istue dar? Muongo sana huyo. Na yeye kaiona wapi?
Wachangiaji wengi hawajamsikiliza. Wanamshambulia tu na hii ni hulka ya wengi. Kuna muda uwa nakwepa kuchangia baadhi ya threads kwakuwa mtu anaweza bisha jambo ambalo hata hakulifuatilia kabisa.Tatizo la watanzania wanajifanya wajuaji wa kila kitu!
Malayman tu wanajadili mambo ambayo hawana hata basic knowledge! Nonsense kabisa.
Umejaribu kuwaelewesha kwa kina kuhusu mradi huu na maelezo ya Zito lakini watu wanapinga tu kwa kuwa wameamua hivyo! Hawataki kusikiliza hoja!
Hizo terms ziko wapi na je, kama zipo kwano majadiliano yamefika mwisho ???Huyu ni wale ambao Mwalimu alisema wanatabia ya kimalaya malaya; ananunulika, kwa bei fulani!
Hakuna mtu aliyepinga bandari kama bandari. Kilichopingwa ni terms and conditions za ujenzi wa hiyo bandari. Maelezo aliyoyatoa yeye ni useless katika debate ya utekelezaji wa huo mradi.
huwa ni kadalali fulani halafu kakishapewa pesa kanajiona kana akili kuliko watu woteSijui kwa nini tu huyu jamaa huwa siamini ayasemayo....
Hivi mkuu umesikiliza interview yake kweli? Hata yeye anataka kujua terms and condition anataka mkataba huo uwekwe wazi kwa umma maana zaidi ya kuwa ikulu hata wabunge hawajawahi uona hizo terms mlimegewa na jpm ambaye ndiye pia aliwamegea kuwa ATCL inapata faida na gawio akapokea.Huyu ni wale ambao Mwalimu alisema wanatabia ya kimalaya malaya; ananunulika, kwa bei fulani!
Hakuna mtu aliyepinga bandari kama bandari. Kilichopingwa ni terms and conditions za ujenzi wa hiyo bandari. Maelezo aliyoyatoa yeye ni useless katika debate ya utekelezaji wa huo mradi.
Mameli makubwa huwa yanabeba nn ambavyo ukanda huu hauhitaji? Mkataba uwekwe wazi tuone hayo masharti kama ni ya kipuuzi tuachane kinyume na hapo ni nafasi nzuri kwa nchi kuwa na bandari ya kiwango kikubwa.Kwa huu ukanda wety, hatuna mizigo ya kuleta mameli makubwa...
Ni sawasawa unapeleka Yu tong kijijini huko ukapaye abiria wkt ukijua hakuna abiria wa kujaza hilo gari....
Ukanda umekaa kushoto, hata nchi zilizotuzunguka hazina mahitaji ya mameli makubwa....
Zitto ana % zake kwenye hili
Alafu yaambie yawekeze yenyewe hayawekezi.Alafu yanaiba yanapeleka huko huko kwa wazungu.ndiyo maana yanapowaita wazungu mabeberu nayaona ni mambuzi jike tu ambayo ni mapumbavu fulani hiviAfrica is always the victim, nothing is ever our fault. Yaani kila muwekezaji ni mbaya na anataka kutuibia.
twambie nini alikuahidi binafsi na hakutekeleza .fungukaSijui kwa nini tu huyu jamaa huwa siamini ayasemayo....
ulishasoma ripoti ya CAG juu ya uwekezaji wa Mlimani city kwa chuo kikuu kama bado kaitafute halafu uone hata wanajiita wasomi wanavyoingia mikataba ya hovyoGharama ni dola bil 10,ambazo wao wanatakiwa wazipate pamoja na faida katika hicho kipindi cha muda wa concession ambayo ni miaka 50 au chini ya hiyo kulingana na umahiri wetu kwenye negotiation.
Ni kama wawekezaji kwenye mradi wa Mlimani City wanavyofanya. Baada ya muda wa mkataba,majengo yote ya Mlimani City yatakuwa mali ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Nasema sitaruhusu huyo upuuzi ufanyike nchi,sipo tayari kuweka rehani nchi yangu kwa bepari jinping,srilanka wanalia,Zambia wanalia,Kenya wanalia lkn mimi sipo tayari kulia.KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania
Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka Bagamoyo na kusambaza sehemu mbalimbali duniani amesisitiza Zitto
Tusiiache fursa hii jamani na siyo kweli kwamba kila mradi ulioanzishwa awamu ya Kikwete ulikuwa mbaya kwani hata reli ya SGR mradi uliasisiwa vizuri na serikali ya JK lakini serikali ya awamu ya tano imekuja kuutekeleza kwa namna tofauti, amemalizia Zitto.
Chanzo: Clouds 360
Umenena vyema!Kwakuwa aliyekuwepo hakutaka mawazo tofauti akikusikia kitakachokupata wanakijua kilichowapata. Hivi shida iko wapi kuweka mkataba wazi maana hata yeye hajasema utekelezwe bila huo mkataba kuwekwa wazi.
Ni now kwasababu ndiyi watu wanajisikia huru walau kuzungumza mawazo yao. Mbona wakati wa JK watu walikuwa wanazungumza tu akitaka atayachukua akigoma basi sasa hiyo chance waliikosa sasa wameipata.